VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
Kweli kabisa its one of the hardest dance..., lakini nadhani alisema kwamba ni easy sababu huwezi kufanya makosa hata ukikosea unaweza ukaendelea na hayo makosa yaani yakawa ni style fulani..., lakini unahitaji kuwa flexible na partner ambae nyote mpo kwenye same wavelengthVoR... Umenikumbusha mbaaaali.... I miss watiching Alpacino... na hio "The Scent of a Woman" hata sikumbuki the last time i watched... ila niko very doubtful na hio Tango... Have you seen their moves?? Haitakiwi uwe Rusty kabisa... and you need a very fluid move based partner....
Mie nitakuja kukupatia ujuzi wangu...nitajitahidi kuwahi.

uwahi, mwalimu hapendi wanafunzi wanaochelewa.
mhh long time.., wala siwezi kumbuka, nadhani sasa hivi takuwa rusty na nimesahau all the dancing moves..., ukizingatia mi ni mtu wa ma-slow kujiachia ni vigumu ati.., takuwa nakwenda tofauti na rhythm..,
Gotta learn some dancing moves..., chochote kile lakini nadhani tajaribu Tango..... (I have heard its the easiest dance..)
"The Tango is the easiest dance. If you make a mistake and get tangled up, you justTango on." (Al Pacino in "The Scent of a Woman.")
Mpaka chini mzee nilicheza hatari
Hahahaha.... Mwambie mwlm mwanafunzi mwingine atatia tim kesho...

uje na pensi nyanya halafu peku peku. Kiduku haitaki ujibanebane(according to mwalim wangu)
Umeonae? Yan anavyompenda Jk? Anatuharibia sredi letu huyu, apeleke kichefu chefu chake jukwaa la siasa, mwenzie jeykey keshaaga ye sijui anasubiri nini.. Samahan AD bt huyu mwita25 anaboa na alichoandika hapa ni uongo, anachokoza watu kwa makusudi...aende kule kwenye siasa bana, kama amezoea kumlamba Jk miguu ni yeye, sisi hatumfagilii Jk bana!..
Lmao.... Weee Roulette.... Sikutegemea kucheka hivi sasa!!! Dah!! That means he is good.... You should be proud of HIM... A great manipulator eeeh??
Tena ndio safi kabisa na nisivyoelewa itabidi unipe na mpaka tuition ya ziada

hahahaha! Nitakufundisha ila kama kichwa chako kizito utatoka empty.
Kweli kabisa its one of the hardest dance..., lakini nadhani alisema kwamba ni easy sababu huwezi kufanya makosa hata ukikosea unaweza ukaendelea na hayo makosa yaani yakawa ni style fulani..., lakini unahitaji kuwa flexible na partner ambae nyote mpo kwenye same wavelength
tunataniana sana na we are good friend. ni muhimu sana, maisha magumu unajua. bila siku kama hizi sijui tungekua wapi... na vitu hivyi ni bure, haviitaji pesa wala recomendation letter. mkiamua kufurahishana mnafurahishana tu... Au vipi?
..........lol........
hahaha!.. Bado naendelea kukumbuka....Oh! Sweet lady... yaani Mwita kafanikiwa kukuboa hadi wewe ambae always so sweet?? Huyu jamaa muache, kisha athiriwa hivo hakuna kitu waweza mwambia kuhusu JK akakuelewa.. mtaishia tu kupigana.... Sasa dear achana nae na uniambie wee ulicheza lini mara ya mwisho maana nimekuona ulivo mbana AJ hali wee bado ujaridhisha mtima wangu....lol
Mimi nilicheza sana disco kwenye club moja UK ulipigwa 'independent woman' wa kundi la kina beyonce kabla halijasambaratika, nakumbuka it was just a pub and us girls tulikuwa tumemaliza mafunzo na vyeti tumepata '..all the honeys who makin money....throw ur hands above meee'curazeeeeeeee
Sijawahi dance tht hard...wale wazungu pub walikuwa wanatucheer 'shake tht little body'
We were single, sexy n free!

I remember, was in November last year when celebrating Kikwete's landslide over Magwanda. I lost myself and boozed to an extent of mistaking my housemaid for my wife. The charming song during that night wa Kisanola.
hahahaha! Husni umepinda... Mwambie mwalimu aache unyanyapaa, hapa najaribu kumtetea Saranga manake yeye ndo mwenye matege kati yetu sote....Kabla sijasahau, VOR, sweetlady, ashadii na saranga, kama una matege hutakiwi kucheza kiduku.

Source: mwalimu.