Mie nimeshasema tayari...na maneno yenyewe yanaendana sana tu na jina lake.
yaani im delighted kwa kweli...karibu sana Sweetlady ndani ya familia.
Nakusubiri ati....
Itabidi na mie nikalalamike maana wanatuharibia pozi hapa....
Mie nimekufagilia kimoyomoyo sana tu...ngoja nikusanye nguvu nifunguke hapa hapa jukwaani.
Usijali., we niPM tu kunijulisha venue.. Ila sijajua tutaanza class ya one by one or ndo utakuja na hao member wengine.( Just kujua tu ili kujiweka sawa kisaikolojia.., lolz)
<br />Inabidi uelekeze kwanza kama wewe na a guy or gal.... Si unajua haya mambo haya....lol
<br />ha ha ha.... Sabry i feel you man... I get exactly what you mean.... In most cases mie pia hucheza peke yangu room, mara nyingi sina guts za audience...lol
Siwezi kua comfortable... labda niwe naumwa....lol
Yoooote 9.... Hapo bold.... I DARE you!!! (I know Sweet L will like that)
Habari wana JF .
Lini mara ya mwisho ulicheza mziki kwa kujiachia na
kufurahia kabisa huo Musiki ulikua unacheza?? Haijalishi
ulikua wapi... Ilikua Chumbani kwako?? Sherehe?? Club??
Mtaani?? ama Kijijini?? Na if you don't mind ni wimbo gani
huo ulikukuna mpaka ukakunyanya kucheza... Naomba tafadhali
saana Ushee na Sie... KIKUBWA... Do you Remember???
P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe .(ADI)
Weee si ulikubali kuvaa swimming gear... Ulikua unatemea nini?? lol
.....lol..... Rutashubanyuma.... long time no see my friend.... But hata hivo... does it mean wee ndo wapenda Lingomba pia???
I think his girl was in love with me AshaDii....huwa sina tabia mbaya ya kupenda wapenzi wa watu wengine unless wapenzi wenyewe wanitake kufanya hivyo, tena kwa mkataba maalumuNdahani... where you in love with his gal?? What was so speacial??
Weee si ulikua unashangaa Husny anavocheza kiduku ufukweni?? lol
I think his girl was in love with me AshaDii....huwa sina tabia mbaya ya kupenda wapenzi wa watu wengine unless wapenzi wenyewe wanitake kufanya hivyo, tena kwa mkataba maalumu
I think his girl was in love with me AshaDii....huwa sina tabia mbaya ya kupenda wapenzi wa watu wengine unless wapenzi wenyewe wanitake kufanya hivyo, tena kwa mkataba maalumu
Na kapotea tangu jana anajifua...akirudi tutatambishiwa sana...kwa mpango huu leo lazima kwenda kwa Sweetlady.
About time Boss.... lol... Umenifurahisha... are you talking about pale ambapo hapa juzi kasema kwa Jolie kafika na kwamba he was neva happy with Aniston??