Kuna jamaa yangu alikuwa ame dedicate huo wimbo kwa mpenzi wake miaka ileee. So I still remember walivyokuwa wanacheza cheza na mimi nikiiga style zao kwa pembeniNdahani bana.....lol
....lol.... Nlikudediketia na wewe kimoyo moyo...Sweetlady kweli ndo ujanja wako.... Unafikiri sikuona wakati AJ kakupa wimbo wa kwenda kulalia.... Uknanisahau hadi mimi....
AshaDii,
Unataka kujifunza kiduku cha aina gani? Kuna vidugu vingi kipo kile cha kuendesha bajaji, kuna cha kuchana nywele.
Nataka kusahau kuna kingine cha kujitazama na kioo huku unaenda mbele..teh teh teh
Was last wkend dancing Bamboleo wa Julio Iglesias! Was alone in my room tryn to overthrow my lonelines. After there i take a veery long shower...nkajickia mpya!
Ningependa kujifunza kucheza Tango na waltz km ktk muv za banderas take the lead na ile ya shall we dance mr. Smith...km kuna EXPERT HUMU AJITOKEZE KUNIFUNDISHA, I'L PAY..
Kuna jamaa yangu alikuwa ame dedicate huo wimbo kwa mpenzi wake miaka ileee. So I still remember walivyokuwa wanacheza cheza na mimi nikiiga style zao kwa pembeni
.........lol........... Hio hapo juu ndio nini Sangara??[/QUOTE
Hii lugha yetu adhimu ina misemo maradufu...lol...itabidi tuchunguze uraia wako...
Hahaha... Ngoja akija Husninyo atanisaidia kujibu... Sangara pia ni shahidi...Sweetlady naona you are just trying to be sweet... But ADI hajakuamini kabisa!!! lol
Husny namuamini... akisema yeye then OK....
\
Toka unisingizie meaning by reading out of the box na kusema sio raia..... I have my doubts....lol
Kufikiri nje ya box yashauriwa sana tu...na la kujua misamiati ya kiswahili halikwepeki...anyways hata kama huniamini wewe ndio ulie score zaidi kwenye ile calculator ya jana usiku...tena kwa landslide kubwa...Husninyo na Sweetlady scored below average..lol.
Hahahaha... Kumbe AD alitupiga bao kwenye kalikuleta?.. Hebu jaribu tena kuweka majina yangu yote matatu...ntampita Ad!..Kufikiri nje ya box yashauriwa sana tu...na la kujua misamiati ya kiswahili halikwepeki...anyways hata kama huniamini wewe ndio ulie score zaidi kwenye ile calculator ya jana usiku...tena kwa landslide kubwa...Husninyo na Sweetlady scored below average..lol.