Do you have a birthmark? Where is it?

Globu anayo juu ya kichwa cha mpini. Haa haa haaaa. Usitake kuiona, kwasababu ina mwenyewe Mama yeyo.
 
Madame B,Kama ndo hivyo na mimi nabisha ili unionyeshe

He! Makubwa jamani!!!
Inatisha jama!!!
Kuuchungulia mwili wa binadamu mwenzako yataka moyo wa ujasiri,na roho ngumu kama ya AminiDada ujue..!!!
Ndo yale ya kuacha viatu huku nguo ipo mkononi..!!!
 
Me nikijiangalia sehemu nazoweza kuona sioni alama, cjui kwa upande wa nyuma mana cna kioo kikubwa cha kujitazamia.
 
umeona sasa matokeo yake we Boflo? Kila mtu anataja ipo kati ya kiuno na juu ya magoti. Wachaache watasema mbali na hapo, ngoja tuendelee kuwaona
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana wenye hizobirthmark!Kisayansi nidalili inayoweka shaka kwenye vinasaba vyako!Nami ninayo!
 
by the way let me ask him, YM ulivyokuwa unakagua viwango, did u see any birth mark??? utanisaidia kujibu hapa! sweetlady birthmark ya kadogoo iko wapi? au bishanga ndio haswa ana majibu? nikiwa mama wa ubatizo ningependa kujua!
 
Me nikijiangalia sehemu nazoweza kuona sioni alama, cjui kwa upande wa nyuma mana cna kioo kikubwa cha kujitazamia.

Vua nguo,kisha muite House boy wako aje akuchungulie.
Afu mwaga data jamvini wapi una alama.
 
Eeeheeeee!! Sasa hzo ndo alama za freemason.. Mtu akizaliwa tu na ma basmaki ujue ni mwanachama asiyejijua wa firiimasoni.. Duuh! Kumbe na madame bi ni firiimasoni..??!!
 
Mh, labda kama ulishawahi kuchanjwa chale utotoni basi utakuwa nazo...
Manake mi nimejikagua naona makovu tu niliyoyapata utukutuni..
 
Eeeheeeee!! Sasa hzo ndo alama za freemason.. Mtu akizaliwa tu na ma basmaki ujue ni mwanachama asiyejijua wa firiimasoni.. Duuh! Kumbe na madame bi ni firiimasoni..??!!

mh,neiba bethimak ni tofaut na machata ya frimasons!
 
Mimi ninayo usoni kwenye shavu la kulia, ina alam nyekundu kidogo watu wananambia natumia mkorogo, wananiudhiiii...zamani nilipokuwa mtoto walikuwa wananitofautishia na mwenzangu, tulizaliwa wawili tulifanana sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom