Do you have a birthmark? Where is it?

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409

As the title reads.............

Do you have one/ Where on your body is it? Is it noticeable in size?

What exactly is a birthmark and how does it relate to your birth?

Mimi ninayo juu ya paja la kushoto (alama ya mviringo) na nimezaliwa nayo.....sijui maana yake ni nini?
 
BT true, wapo ambao wanazaliwa na hawana birthmark.
Ila me ninayo,ipo ktkt ya maungio ya paja na kiuno,
ila yangu inanishangaza kidogo coz ipo kama alama ya kopa hv.
Nilijaribu kumuuliza mom(R.I.P) nae akanithibitishia kwa kunipa picha za utotoni.
So nimezaliwa nayo.
 
Acha uongo bana madame , sema ulichorwaga enz izo na bf wako, em weka picha hapa 2one iyo love sign
 
Last edited by a moderator:
Boflo, binti yangu anayo kwenye t.ko lake la kushoto. Nilimzaa hivyo hivyo. Ukimaliza kutoa mahari utaiona! LOL by the way, nilicheck bank balance sikuona umedeposit ile wan em!
 
Last edited by a moderator:
Acha uongo bana madame , sema ulichorwaga enz izo na bf wako, em weka picha hapa 2one iyo love sign

Samito,cwezi tania,
Me mwenyewe nilibisha coz nilijua nimechorwa.
Ila nilipopewa picha zilizopigwa utotoni,ndipo nika-prove hiyo kitu.
Ila ukibisha sana,takuonesha hyo alama kinamna namna....¿¿¿??!!!
 
Last edited by a moderator:
me ninayo kwenye nyonga a.k.a kwenye h.i.p.s.i ina light color kuliko color yangu. . . haina umbo kamili!
 
birthmark yangu iko kwenye mpini. Nakuvujishia siri, mpini wangu una matawi

As the title reads.............

Do you have one/ Where on your body is it? Is it noticeable in size?

What exactly is a birthmark and how does it relate to your birth?

Mimi ninayo juu ya paja la kushoto (alama ya mviringo) na nimezaliwa nayo.....sijui maana yake ni nini?
 
BT true, wapo ambao wanazaliwa na hawana birthmark.
Ila me ninayo,ipo ktkt ya maungio ya paja na kiuno,
ila yangu inanishangaza kidogo coz ipo kama alama ya kopa hv.
Nilijaribu kumuuliza mom(R.I.P) nae akanithibitishia kwa kunipa picha za utotoni.
So nimezaliwa nayo.

dah kumbe kuna ambao hawana? Sikuwa najua hilo......

Ila hiyo yako nimeipenda........kijikopa kimechagua sehemu muafaka pa kukaa....
 
Mimi pia ninayo, katika paja la kushoto. Kwetu tumezaliwa wa3, wa2 tunazo mwenzetu hana. Kuna kipindi nilikuwa naisugua sana nione kama itatoka, sikufanikiwa

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
mmmmmmmmmh....
Picha tena?

Mabwaku....loh

Ndo hapo sasa BT nimshangaapo Samito.

We Samito nikiweka picha ya hyo makitu yangu hapa, si utahama kwako wewe...???
Sitaki dhambi mie Madame B.

Mh! Mabwaku nasa yaha..!!!
 
Samito,cwezi tania,
Me mwenyewe nilibisha coz nilijua nimechorwa.
Ila nilipopewa picha zilizopigwa utotoni,ndipo nika-prove hiyo kitu.
Ila ukibisha sana,takuonesha hyo alama kinamna namna....¿¿¿??!!!

Madame B,Kama ndo hivyo na mimi nabisha ili unionyeshe
 
Mi ipo juu kidogo ya ziwa la kulia iko kama palilazwa kiganja cha mkono ila vidole vinaonekana vitatu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom