Do you believe in love? ❤️

Yoooo I wish mkeo aone hapa
Hongera kwa mke bora na mwenye moyo safi bila shaka hata wewe ni bora kwake nimefurahi kusoma hii comment
 
hakuna namna ukwepa upendo na kuhisi kupenda ama kupendwa matokeo ya upendo ni pale huna thamani, hupendwi, usaliti, manyanyaso hivyo tunahitimisha hakuna upendo ila upendo wa kweli huishi na kuonekana kwa wapendanao
 
Afu anakubusu busu shingoni.....ngoja nilog out, kabla sijawa kama kaka angu mbalizi1
Kuna manzi yangu mmoja yeye alikua anapenda nichezecheze na mapaja yake tu yaan ana bonge la paja nyuma ana bonge la tako ile kumchezea mapaja huku natomasa makalio km napiga kinanda ndio ilikua raha yake sasa sijui ni mguso wa mikono ndio ulikua unampa msisimko km anatembelewa na chatu mwilini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…