Do we need a Price Regulatory Authority in Tanzania?

Swali zuri sana... and i think sheka kama great thinker anaelewa kabisa kwamba huwezi kuamka na kusema nataka body hiyo kabla ya ku-define mipaka yake, expectations, TORs etc

The question is vague and if you want answers, you may get vague answers, its not like one plus one equals to two

Labda niulize kidogo tu, why do we regulate certain prices and leave others??

labda la pili ni je how do we moderate or at least analyse and document value chain of various products (categories) ?? be commodities, equipment and services??

Naomba sheka unipe upeo kwenye swali lako

Is that not what I asked?!Safari tuliyo nayo kweli ni ndefu!!
 
Kwenye capitalist economy kunatakiwa kuwe na price control,monopolies zote inabidi zizibitiwe ili bei kwenye soko iwe ni ya ukweli
 
Is that not what I asked?!Safari tuliyo nayo kweli ni ndefu!!
Nope... you just gave a yes and no question and i wanted some more...

Nafanisha swali lako na lile la mtoto wa darasa la kwanza anaulizwa mkiwa wawili na una machungwa manne kila mmoja atapata mangapi?? halafu unajibu machungwa mawili while we dont know kama mwenye nayo angeamua kugawa au hapana, au angegawa moja tu, au hata angegawa yote manne na yeye kubaki na sifuri... we are primary school kids for fook sake!!

Your question shows how shallow answers you desire and for that case my answer will be to your thinking level kwamba hatunitaji bodi

tunahitaji kila respective department in the ministry kuwa na market intelligence unit ambayo itakua inashauri tu na kumonitor price indexes
 
BOT inafanya nini kuhusu "Price Stability" kwenye uchumi wetu?
 
In Tz soko ndio mwamuzi! Kwa utawala huu usiokua na mwelekeo wakidhubutu kuweka bodi ya kufuatilia bei (of which member wake ni hawa hawa tunaowajua) yatakuja kuwa yale ya kina Kleruu tu! Shaba tu basi!
 
These days Great Thinkers in JF are as abundant as Great Thinkers in the current TZ gov.
Kuna haja sana ya mchujo.
 
JF ni chombo huru,ni mtandao wa kijamii km ilivyo mingine,hakuna kipengele kinachokataza wapuuzi kujoin ilimradi katimiza vigezo of which hata km ni vya kubuni! Si lazima mtu kuwa na busara kabla huenda akapata busara humu humu hivyo ni kosa kufikiri mwenzako ni dumb kwa kua hafikiri km unavyofikiri wewe!
 
katika bei za bidhaa za petrol wana kitu kinaitwa price windfall.hiyo kodi hukatwa kwa kila lita ili kuziba mfumuko wa bei unapotokea
maajabu yake zinaliwa na mfumuko ukitokea consumer ndio anaumia

Hii ilikua wakati TPDC wananunua mafuta ya nchi nzima. Sasa hivi yakipnda bei Uarabuni ahsubuhi, price mpya inakuwa reflected hapa jioni.
 
Swali zuri sana... and i think sheka kama great thinker anaelewa kabisa kwamba huwezi kuamka na kusema nataka body hiyo kabla ya ku-define mipaka yake, expectations, TORs etc

The question is vague and if you want answers, you may get vague answers, its not like one plus one equals to two

Labda niulize kidogo tu, why do we regulate certain prices and leave others??

labda la pili ni je how do we moderate or at least analyse and document value chain of various products (categories) ?? be commodities, equipment and services??

Naomba sheka unipe upeo kwenye swali lako

Kwa kuongezea kaka MTM,Nitaomba kuuliza na kusema yafuatayo:
1. "REGULATORY BODIES AND REGULATORY FUNCTIONS" sijui kama kwa Tanzania tunaelewa kinachotakiwa wafanye (WAJIBU).Hapa nazungumzia zote na siyo za bei tu.

2. PRICE REGULATORY BODIES ZILIZOPO zinafanya kazi kwa maslahi ya nani?

Kila Agency iliyoanzishwa na kupewa hizi 'regulatory" functions kimsingi zinatakiwa kuwa na uelewa mpana wa sector husika na pia kujua vilivyo hadidu za rejea.Kazi kubwa ni kuhakikisha interests za pande zote zinahuishwa.Ubora vs compliance.

Kuna maeneo hizo bodies zinafanikiwa na mengine hazifanikiwi.Kuna mtu kagusia bei za nauli na hata mafuta - petrol, diesel etc. Hii sijui tutaielezea vipi. Je hizi bidhaa zina bearing yoyote katika uendeshaji wa serikali??Kwanini bei za bidhaa nyingine huyumba kutegemeana na soko linavyotaka? Kwanini bei ya umeme kwa mfano haiangalii kumpunguzia mwananchi mzigo na badala yake humwongezea au kumbebesha mzigo zaidi? Najua kuna mengi yatakayosemwa kwenye hili la umeme.
 
Oil can't easily be regulated,in order to regulate in a free market you have to subsidize,it's almost impossible to subsidize while you are poor,thats why free market in third world countries is so laissez faire.Tanzania spends 3mil USD a day on oil(hard earned dollars) and cant afford to distribute and sell at break even.With hydroelectricity going down,we become more dependent on oil as a source of energy,this is disastrous!
Every country on this planet needs oil and major reserves are declining at a rate of 4 to 6%.We need to be less dependent on oil and start investing on other forms of energy.
Tanzania has one of the lowest kwh price in subsaharan africa,and honestly electricity is almost subsidized in Tanzania.eg;We pay like 0.12$ per Kwh and US price is like 0.3$.So if we keep on depending on oil to run our generators,expect price hikes just bcos it's too expensive to generate electricity using oil.
 
Mugabe alikuwa nayo imemshinda, haifai kabisa, haina tija is not scientific:angry:
 
Industry/price regulatory bodies zipo Tanzania chini ya serikali. Nazo ni zifuatazo:

1. EWURA - Inapanga bei ya umeme, gesi, maji, petroli, dizeli, mafuta ya taa, etc. Kampuni lazima zipewe kibali na EWURA kabla ya kuongeza bei. Inatoa bei elekezi na za kikomo na ina uwezo kuifuta leseni kampuni inayolangua bei.

2. SUMATRA -- Inapanga bei za nauli za daladala, mabasi ya mikoani, meli, treni, nk

3. TCRA -- Inasimamia bei za simu eg mobile phone tariffs, landlines, internet/data connections, mpaka masuala ya posta na courier companies nadhani.

4. Fair Competition Commission (FCC) -- Hii nayo ina mamlaka kusimamia ushindani na bei za bidhaa mbali mbali eg bia, etc. Lengo lake kuu ni kuhakikisha kuwa kuna fair competition hence fair prices, lakini huwa haipangi bei za bidhaa moja kwa moja.

5. Central Bank - Benki Kuu husimamia huduma na ina mamlaka pia ya kusimamia bei za huduma kwenye mabenki, financial institutions, bureaux de change, nk

6. Legal statutes -- Sheria mbalimbali za nchi zinazuia kampuni kufanya kazi kama cartels, hoarding, economic sabotage, etc hivyo serikali ingekuwa makini ingeweza kuzitumia kuhakikisha sisi wateja tunatozwa fair prices kwenye bidhaa na huduma zote.

Pamoja na hayo, kwa vile Tanzania ilikubali shinikizo la sera za IMF, World Bank, EU, WTO, Marekani na mabepari wengineo, imeamua kuachia soko holela hivyo kila mtu anajipangia bei zake.
 
Mdondoaji,angalia jambo kwa upana wake.Kwa kiasi kikubwa derived,utakuwa unaongelea imports (out of hand unless we have a control on international business which we don't),consumables (YES,we can by tax / subsidy tools).

Let me insist here,hata taifa la kibepari linaweza kuwa na price regulatory board.It might not appear exactly that way but will perform its duties.We are all aware of what the Obama Administration did to the House Market baada ya GFC.

Sheka,

Labda nikufafanulie kwanini nimekuuliza vile kuna products aina tatu katika sekta ya uchumi nazo zinategemeana na mahitaji ya nchi. Products hizo zimegawanyika sehemu kuu tatu :-
a. Derived goods kama vile Oil, umeme na financial derivatives hizi demand yake inakuwa inaambatana na demand ya mahitaji katika soko husika na hapa zipo regulatory bodies kama Fareed amekwisha taja kuwa kuna Ewura, CMSA na Bank of Tanzania wanazisimimamia.

b. Consumable goods : Hizi ni bidhaa zinatumiwa na wananchi na zinatumika on a day to day basis. Mfano chakula, maji, nauli ya basi etc. Kuna regulatory bodies hapa kama vile Sumatra, TBS zinasimamia hivyo vitu.

c. Financial goods: Mostly banking products, pensions, insurance and etc kuna mamlaka zinazosimamia hivyo vitu kama Bank of Tanzania, Insurance Board etc.

Kitu ambacho mpaka sasa sijakiona na wala kujua kama kipo Consumer protection board ambayo inakazi ya kujua clients gets value for their service and product wanazutumia (value for money). Hii board sijaiona na ndio maana bei za vitu Tanzania ziko highly inflated kwasababu nchi haina regulator wa kuhakikisha kama customers get what they deserve. Mfano moja wapo sasa hivi bei za viwanja vimekuwa aghali mno kiasi bei yake ni unrealistic na superficial. Ila jambo linaachwa tu liendelee but iko siku litakuja kutumaliza (this is a housing bubble in the making). Sasa board kama hii inaweza kuwafikisha mahakama wauzaji kama hawa na kuwauliza huduma wanazotoa kweli ni halisi au kutaka kuwaumiza wateja? Wakishindwa wadhibitiwe na mamlaka husika. Vile kuna sekta kama mabasi, umeme na kadhalika vyote hivi mtumiaji anahitaji chombo cha kumtetea asimalizwe na greedy producers.
 
Mdondoaji,
Hapo kwenye bold ndipo kuna utata.Regulations kwa watanzania ni kumbana zaidi mlaji au hata muuzaji bila kuhakikisha ubora au value for money.Ndio sababu nikauliza hizi bodies ziko kwa manufaa ya nani?

" Consumer protection"bado ni kitendawili.
 
Industry/price regulatory bodies zipo Tanzania chini ya serikali. Nazo ni zifuatazo:

1. EWURA - Inapanga bei ya umeme, gesi, maji, petroli, dizeli, mafuta ya taa, etc. Kampuni lazima zipewe kibali na EWURA kabla ya kuongeza bei. Inatoa bei elekezi na za kikomo na ina uwezo kuifuta leseni kampuni inayolangua bei.

2. SUMATRA -- Inapanga bei za nauli za daladala, mabasi ya mikoani, meli, treni, nk

3. TCRA -- Inasimamia bei za simu eg mobile phone tariffs, landlines, internet/data connections, mpaka masuala ya posta na courier companies nadhani.

4. Fair Competition Commission (FCC) -- Hii nayo ina mamlaka kusimamia ushindani na bei za bidhaa mbali mbali eg bia, etc. Lengo lake kuu ni kuhakikisha kuwa kuna fair competition hence fair prices, lakini huwa haipangi bei za bidhaa moja kwa moja.

5. Central Bank - Benki Kuu husimamia huduma na ina mamlaka pia ya kusimamia bei za huduma kwenye mabenki, financial institutions, bureaux de change, nk

6. Legal statutes -- Sheria mbalimbali za nchi zinazuia kampuni kufanya kazi kama cartels, hoarding, economic sabotage, etc hivyo serikali ingekuwa makini ingeweza kuzitumia kuhakikisha sisi wateja tunatozwa fair prices kwenye bidhaa na huduma zote.

Pamoja na hayo, kwa vile Tanzania ilikubali shinikizo la sera za IMF, World Bank, EU, WTO, Marekani na mabepari wengineo, imeamua kuachia soko holela hivyo kila mtu anajipangia bei zake.
EWURA only regulate charges and rates in electricity and water,transpport fees are regulated when it comes to mass transportation(like buses,trains and boats) and not things like cabs,bajajis,air.However depending on the cost of production,SUMATRA will be more likely to base on the provider rather than user's side.
And ooh!....These bodies came way after IMF,World Bank deals!But all in all it's just so hard to regulate when you are broke,thats the basis!
 
Back
Top Bottom