Do we need a Price Regulatory Authority in Tanzania?

Ernesto Sheka

Senior Member
Oct 24, 2010
102
0
Q:Do we have a price regulatory board in Tanzania?If not;Can we have it in a economy which is not socialistic?

Swali:Tuna bodi ya kufuatilia bei za bidhaa Tanzania?Kama hapana;Tunaweza kuwa nayo katika uchumi usio wa kijamaa?

Isije kuwa yale ya kujadili mabadiliko ya katiba bila kuifahamu katiba au ahadi ya mgombea ya kudhibiti bei za bidhaa bila kueleza mikakati!

Mungu Ibariki Tanzania.
 
The Home Of Great Thinkers.
 
nope!...we dont,CDM are just a bunch of loonies!
 
Tanzania hatuna price regulatory board na sidhani kama tunaweza kuwa nayo kwa sera hii ya soko na uchumi huria,sina experience ya nchi zingine zinavyo regulate prices with this globalization but i think ili hiyo board iweze kufanya kazi effectively kuna haja ya ku revive azimio la arusha,misingi yake ndiyo nguzo pekee inayoweza kuweka price regulatory board imara itakayofanya kazi kwa maslahi ya watanzania.
 
Hatuna hyo kitu bongo kaka, hata ktk wakala ambazo zimepewa rungu hilo ktk eneo lao bado wameshindwa, mfano EWURA wameshindwa kontrol gharama za umeme na hata SUMATRA wameshindwa kudhibiti bei ya nauli za magali teh! teh!
 
Tanzania hatuna price regulatory board na sidhani kama tunaweza kuwa nayo kwa sera hii ya soko na uchumi huria,sina experience ya nchi zingine zinavyo regulate prices with this globalization but i think ili hiyo board iweze kufanya kazi effectively kuna haja ya ku revive azimio la arusha,misingi yake ndiyo nguzo pekee inayoweza kuweka price regulatory board imara itakayofanya kazi kwa maslahi ya watanzania.

My God you are speaking of faith and not something that will punish people! we have Christianity, Islam and other religion, they are superior than Arusha declaration! yet all corrupts are from these religions! Those who knew much abaout A.D they are now currupt than anybody in this planet.

We need laws, we need to change system, we need to overhaul everything........A.D is dead and willnever be revived A.D dead when Nyerere was still strong!
 
SUMATRA inapanga bei za vitu gani? kwenye uchumi wa kibepari kama wa kwetu?
Wizara ya kazi inapanga vipi mishahara ya sekta mbalimbali ziwe za umma au binafsi?

Kwenye uchumi wa kibepari kamili bei za vitu zinatakiwa zitokane na soko - at least hivi ndivyo tulifundishwa kwenye classical economy kwamba "nguzu za soko" zitaamua bei ya vitu, vitu vinavyozalishwa na mahitaji yake.

Kwa vile uchumi wetu ni wa kibepari chini ya serikali ya CCM (ambayo inaongozwa na sera za kibepari) ni vizuri kuachilia soko liamue ili wasije kulirudisha taifa kwenye ujamaa au uchumi wa kijamaa.

My fifty cents.
 
Q:Do we have a price regulatory board in Tanzania?If not;Can we have it in a economy which is not socialistic?

Swali:Tuna bodi ya kufuatilia bei za bidhaa Tanzania?Kama hapana;Tunaweza kuwa nayo katika uchumi usio wa kijamaa?

Isije kuwa yale ya kujadili mabadiliko ya katiba bila kuifahamu katiba au ahadi ya mgombea ya kudhibiti bei za bidhaa bila kueleza mikakati!

Mungu Ibariki Tanzania.

Labda na mie nikuulize price regulatory ipi unaitaka derived commodities, consumable items, banking products hebu fafanua kidogo mkuu.
 
SUMATRA inapanga bei za vitu gani? kwenye uchumi wa kibepari kama wa kwetu?
Wizara ya kazi inapanga vipi mishahara ya sekta mbalimbali ziwe za umma au binafsi?

Kwenye uchumi wa kibepari kamili bei za vitu zinatakiwa zitokane na soko - at least hivi ndivyo tulifundishwa kwenye classical economy kwamba "nguzu za soko" zitaamua bei ya vitu, vitu vinavyozalishwa na mahitaji yake.

Kwa vile uchumi wetu ni wa kibepari chini ya serikali ya CCM (ambayo inaongozwa na sera za kibepari) ni vizuri kuachilia soko liamue ili wasije kulirudisha taifa kwenye ujamaa au uchumi wa kijamaa.

My fifty cents.

Mwanakijiji,ndio maana nimetaja extent/influential scope.
 
Labda na mie nikuulize price regulatory ipi unaitaka derived commodities, consumable items, banking products hebu fafanua kidogo mkuu.

Mdondoaji,angalia jambo kwa upana wake.Kwa kiasi kikubwa derived,utakuwa unaongelea imports (out of hand unless we have a control on international business which we don't),consumables (YES,we can by tax / subsidy tools).

Let me insist here,hata taifa la kibepari linaweza kuwa na price regulatory board.It might not appear exactly that way but will perform its duties.We are all aware of what the Obama Administration did to the House Market baada ya GFC.
 
katika bei za bidhaa za petrol wana kitu kinaitwa price windfall.hiyo kodi hukatwa kwa kila lita ili kuziba mfumuko wa bei unapotokea
maajabu yake zinaliwa na mfumuko ukitokea consumer ndio anaumia
 
I remember asking if dr slaa is against free market! cos he always ask the govt. to lower food prices,umeme etc!..does he want Arusha declaration back?
 
hata kama njia za uzalishaji zinatawaliwa na ubepari ama ujamaa ni lazcma kuwe na udhibiti toka serikalini. Kuachia soko kujiendesha ni kujimaliza. Na ndio maana tukawa na mamlaka kama ewura na sumatra. Hizi mamlaka zipo kutokana na kuwepo kwa soko huria. Bahati mbaya hazijui hata zinafanya nini
 
We all know what the question meant,under free market the govt can't directly regulate prices and the poorer the govt the harder it becomes.tanzania can't subsidize and expect development at the same time.
 
To cut the story short - Tanzania is the only country running without a functioning government .Somalis are better-off!
 
Mimi nadhani SUMATRA wako very successful kudhibiti bei za nauli, nauli ni very cheap Bongo. Personally sidhani kama kunatakiwa kuwa na price controls kwenye capitalist economy, wanatakiwa wadhibiti monopolies na collusion ili bei iwe ya soko la kweli.
 
Tanzania hatuna price regulatory board na sidhani kama tunaweza kuwa nayo kwa sera hii ya soko na uchumi huria.

Sisi tumechukulia soko huria kama in totality lkn hakuna kitu kama hicho. Hata nchi za kibepari zina indirectly regulatory price hawaachi tu eti soko lika dictate price. Mfano ni petrol na diesel serikali ya USA imeweka cut off threshold ambayo price haiwezi kuzidi hapo. Hivyo inachofanya serikali kama bei ya mafuta inapanda kwenye soko la dunia kuweka SUBSIDIZED PRICE kwenye bidhaa hizo. Hivyo hivyo kwenye bidhaa za mazao ya kilimo serikali inaweka subsidies ku control inflation.

Nakumbuka hiki kitu alkiwahi kuongelea Mwl Nyerere kwenye speach zake.
 
Mimi nafikiri inawezekana kuwa na PRICE REGULATORY BODY - in a sense that - HAI-CONTROL PRICE TO BALI NA SERVICES ZENYEWE

Kinachotokea Tanzania ni kwamba - SERVICES ARE VERY LOW/POOR BUT PRICES REMAIN HIGH - PRODUCTS ARE VERY POOR BUT HIGH IN PRICE -
Hii Body inaweza kuunda committees - e.g. EWURA, SUMATRA, CMSA , TBS etc.

na BODY INATENGENEZA RULES AND REGULATIONS - OR BLUE PRINT -

HIZI ZINAKUWA REVIEWED KUTOKANA NA HALI HALISI YA UCHUMI DUNIANI - NADHANI ITS POSSIBLE -

ILA NA NCHI YETU AMBAPO WATU WENGI NI WABINAFSI ...........HATA IKIWEPO - ITAFANYA KAZI KWELI???

oh............ seems am mixed up????? :embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2:
 
Swali zuri sana... and i think sheka kama great thinker anaelewa kabisa kwamba huwezi kuamka na kusema nataka body hiyo kabla ya ku-define mipaka yake, expectations, TORs etc

The question is vague and if you want answers, you may get vague answers, its not like one plus one equals to two

Labda niulize kidogo tu, why do we regulate certain prices and leave others??

labda la pili ni je how do we moderate or at least analyse and document value chain of various products (categories) ?? be commodities, equipment and services??

Naomba sheka unipe upeo kwenye swali lako
 
Back
Top Bottom