TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,814
- 3,155
Mtamfanya nini?mlizani kumpokonya hadhi ya ubalozi mmemfunga mdomo?Slaa atakipata anachotafuta
Mtamfanya nini?mlizani kumpokonya hadhi ya ubalozi mmemfunga mdomo?Slaa atakipata anachotafuta
Miaka mitatu tujifunze Katiba, nani kamwambia kuwa tunataka nishani?Hakuna sehemu sheria za Nchi zimevunjwa kwenye hiyo statement Wana CCM wasimtishe Mtu.
Mama kazidisha kukaa kimya angekuwa marehemu huyu mzee asingethubutu kumwambia mpumbavu angemkata mapumbu yake.
Sio ugari ni ugaliUsalama wa taifa, tafuteni mtu anaewapa ugari hawa watu, wanashiba hadi wanavimbiwa.
Aambiwe kama anahela nyingi basi akafanyie shughli zingine, la sivyo asije akalalamika baadae. Apewe onyo kali.
Anakutafuta wewe mama surmeer, siku moja ataku...m...aSlaa atakipata anachotafuta
Kha? Kumbe alipigwa na mwanamke? Ni mkewe huyo aliyempiga?Kuanzia apigwe na mwanamke hakuna mtu anayemsikiliza. Yaani umepigwa na Josephine Mushumbusi hadi kwenda kulala kwenye gari alafu unasimama na kuongea mbele za wanaume?
“Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people” - Eleanor RooseveltKuanzia apigwe na mwanamke hakuna mtu anayemsikiliza. Yaani umepigwa na Josephine Mushumbusi hadi kwenda kulala kwenye gari alafu unasimama na kuongea mbele za wanaume?
“Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people” - Eleanor RooseveltKha? Kumbe alipigwa na mwanamke? Ni mkewe huyo aliyempiga?
Sawa“Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people” - Eleanor Roosevelt
Umeanza kuwakana jamaa zakoMbona hamchukulii hatua? Endeleeni kuwachekea na kulalamika mitandaoni.
Mwendazake alisema Katiba haipo kwenye ilani nyie mkaileta Sasa ndio mfuate utaratibu wake.
Ukilikoroga lazima ulinywe.
Toa ujinga wako hapa. Kwani hajapigwa na mwanamke?“Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people” - Eleanor Roosevelt
Huyu mzee amekwisha ladha kabisa ya kumsikia. Muacheni aendelee kuropola labda ndiyo tiba ya matatizo yake ya sonona.Naandika Rashda binti Zunde✍️
Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".
Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?
Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.
Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.
#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.
Acheni kutisha watu,mnataka muambiwe kwa kubembelezwa?,hizo nyakati zilishapitwa na wakatiUsalama wa taifa, tafuteni mtu anaewapa ugari hawa watu, wanashiba hadi wanavimbiwa.
Aambiwe kama anahela nyingi basi akafanyie shughli zingine, la sivyo asije akalalamika baadae. Apewe onyo kali.
Wewe huna Baba mzazi, bali una baba wa kambo tuVery sure hata baba angu akifanya kitu cha kipumbavu namchana tu,,,sasa sembuse rais afu rais mwenyewe samia mbona simple tu
Inaitwa fake outrage isiyo na sense ya proportionality. Kesi ya uhaini yenye adhabu ya kunyongwa sawa, lugha kali kwa wakubwa ndio wanaona nongwa. Unaweza ukawa unafikiri watu ni wajinga wanadanganyika kumbe all along mjinga ni weweMsipende kuangalia upande mmoja tu kutukanwa kwa huyo aliyeshika hiyo nafasi ya urais bali pia muangali na huyo aliyeshika hiyo nafasi anaitukanisha hiyo nafasi, anayoyafanya Mtawala Samia yaweza kuwa na athari zaidi kwa hicho kiti cha urais na nchi kwa ujumla kuliko hata kumwita yeye Samia mpumbavu.
Stupid.
Eti yeye ndio ana haki ya kumtukana lila mwananchiMbona Mkapa alitukana Sana vyama vya upinzani Kama wapumbavu, hamukusema kitu, juzi Samia katukana watendaji kwamba wapumbavu hamukusema kitu.
Napata hasira sana na serikali yetu kuwafumbia hawa watu macho, hapa ndio namkumbuka JPM hawa leo wangekuwa history. Usiruhusu watu kutaka kuleta uchochezi kutuharibia amani ya nchi, tukosoane lakini kwa staha. Leo anakuja huyo Mwambukusi sijui anasema yuko tayari kupigania kwa lolote hata kufa utasema alizaliwa jana, huko nyuma alikuwa wapi? kwani haya mambo yameanza leo? Serikali ni wakati sasa wakupitisha maamuzi magumu kwa mustakabali wa nchi yetu, kuna watu hawataki amani nchi hii.Slaa atakipata anachotafuta