Dkt. Wilbroad Slaa atumia lugha kali dhidi ya Rais Samia

Dkt. Wilbroad Slaa atumia lugha kali dhidi ya Rais Samia

Naandika Rashda binti Zunde[emoji3578]

Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".

Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?

Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.

Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.

#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.

Wewe ni hovyo kabisa Gabon is loading.......
 
Napata hasira sana na serikali yetu kuwafumbia hawa watu macho, hapa ndio namkumbuka JPM hawa leo wangekuwa history. Usiruhusu watu kutaka kuleta uchochezi kutuharibia amani ya nchi, tukosoane lakini kwa staha. Leo anakuja huyo Mwambukusi sijui anasema yuko tayari kupigania kwa lolote hata kufa utasema alizaliwa jana, huko nyuma alikuwa wapi? kwani haya mambo yameanza leo? Serikali ni wakati sasa wakupitisha maamuzi magumu kwa mustakabali wa nchi yetu, kuna watu hawataki amani nchi hii.
Kwani hii nchi ina Amani we kiazi?
 
Inaitwa fake outrage isiyo na sense ya proportionality. Kesi ya uhaini yenye adhabu ya kunyongwa sawa, lugha kali kwa wakubwa ndio wanaona nongwa. Unaweza ukawa unafikiri watu ni wajinga wanadanganyika kumbe all along mjinga ni wewe
Aongee Ndumbaro uje kumtukana Rais
 
Inaitwa fake outrage isiyo na sense ya proportionality. Kesi ya uhaini yenye adhabu ya kunyongwa sawa, lugha kali kwa wakubwa ndio wanaona nongwa. Unaweza ukawa unafikiri watu ni wajinga wanadanganyika kumbe all along mjinga ni wewe
Wewe ni mpumbavu?
 
Back
Top Bottom