King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,685
- 68,671
Ze kalisimatiki fela and intateina at weki.
Kala banPopoma siku hizi amepoa sana,zamani alikua anaondoka na Kijiji humu.
Yashilaga...Mwizukuru mgikuru
Hiiiiiiiiiiiiiiiii Yayaa geteeeeeeYashilaga...
Everyday is Saturday................................
Bagoshaaaa datubagaah!Hiiiiiiiiiiiiiiiii Yayaa geteeeeee
Gentamycine akiwa amejifungulia uzi, ama kweli mcheza kwao hutunzwaIgwe wana JF!
Jana Balozi Slaa alikua hewani Radio Mashujaa pale Lindi, Mengi sana alizungumza kuhusu siasa za Tanzania na mambo ya familia yake pia kuhusu maisha yake baada ya kustaafu! Pia kaandika kitabu kinaitwa Nyuma ya Pazia! Kina mambo Mengi sana mle ndani.
Moja ya mambo yaliyonishitua ni kwamba kumbe mwaka 2010, Chadema walikua na mpango wakusimama na Marehemu Samwel Jonh Sitta agombee Urais, na wao Chadema walikua washampitisha, lakini ghafla bwana Samwel Jonh Sitta alibadili maamuzi yake, ndipo Dr Wilbroad Peter Slaa, alichaguliwa na chama chake kupeperusha bendera ya Chadema kwenye kiti cha Urais mwaka 2010! Kumbe mwaka 2010 Kikwete angepambana na mwana CCM mwenzake! Mambo mazito sana haya!
Pili aliweza kuweka bayana kwamba hata ile list of shame, Lisiti ya Mafisadi,kuna documents watu wa Usalama walimpa Bwana Wilbroad Peter Silaa, ili akawachane vizuri wale aliowataja, sasa najiuliza kwa nini Usalama ya sasa hivi ipo kwa ajiri yakuwazima watu pale wanapoibua masuala ya msingi yakitaifa?
Pia alizungumzia kuhusu yeye kutoka Chadema kwenye uchaguzi wa mwaka 2015,ni kwamba yeye ndiyo alikua mstari wa mbele kusema kwamba Lowasa ni fisadi, sasa angeweza vipi tena kusimama jukwaani akiwa Katibu Mkuu wa Chadema na kumnadi Lowasa? Lakini alisema Lowasa ni mtu mwema sana, Lowasa alitoa kipande cha Ardhi pale Msasani pakajengwa Hospital ya CCBRT.
La mwisho kabisa aliulizwa je huwa unapita pita kwenye social media? Alisema ndiyo huwa anapita na huwa anapenda sana kusoma kipindi akiona jina la mtu sahihi kaandika kitu, na sio mtu eti anaitwa GENTAMYCINE, hawezi kusoma kwa undani! GENTAMYCINE mwanangu popote ulipoanza kupunguza lugha kali, viongozi hua wanapita pita kwenye mabandiko yako.
Ndiyo yeye, wataalam wa mwandiko walishamfahamu hata aandike vipi, atajulikana tu!Unaweza kukuta ndio Genta mwenyewe!
Huwa anajihami kwa matusihalafu ni mbishi balaa asikuambie mtu, humbandui kwenye hoja yake mtabishana mwanzo mwisho, ni wachache aliwakimbia na kusalimu amri. Kubishana nae yataka uwe na pumzi vinginevyo anakutoa kwa knock out na anajipatia ushindi. Kuzipangua hoja zake ni shughuli pevu utulize kichwa
Hao Wataalam wa Mwandiko bado tu mpaka leo hawajajua Utaalam wa Kuusaidia Utahaira wako unaokutesa kwa miaka nenda rudi?Ndiyo yeye, wataalam wa mwandiko walishamfahamu hata aandike vipi, atajulikana tu!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kama yepi ( yapi ) labda kwa Mfano tu?
Ninachojua tu ni kwamba huwezi kuwa....
Purely Talented
Charismatic Fella
Game Changer
Entertainer
Kisha usifuatiliwe na Marais, Wanasiasa, Wasomi, Waandishi wa Habari, Wanamichezo, wana JamiiiForums, Watu wa Kawaida, Viongozi wa Kidini na Malaika Wakuu wa Mwenyezi Mungu akina Jibril na Mikaela.
I'm GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE Ok?
Unauliza 'Tozo' Tanzania?Hatimaye umekuja kujibu hoja za wanafki au sio
Haaaaa,haaaa King Kong IIINinachojua tu ni kwamba huwezi kuwa....
Purely Talented
Charismatic Fella
Game Changer
Entertainer
Kisha usifuatiliwe na Marais, Wanasiasa, Wasomi, Waandishi wa Habari, Wanamichezo, wana JamiiiForums, Watu wa Kawaida, Viongozi wa Kidini na Malaika Wakuu wa Mwenyezi Mungu akina Jibril na Mikaela.
I'm GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE Ok?
Unaweza kukuta ndio Genta mwenyewe!
Yani ni yeye kabisa uandishi lolSawa gnta