Dkt Wilbroad Slaa anamjua hadi GENTAMYCINE

Popoma siku hizi amepoa sana,zamani alikua anaondoka na Kijiji humu.
halafu ni mbishi balaa asikuambie mtu, humbandui kwenye hoja yake mtabishana mwanzo mwisho, ni wachache aliwakimbia na kusalimu amri. Kubishana nae yataka uwe na pumzi vinginevyo anakutoa kwa knock out na anajipatia ushindi. Kuzipangua hoja zake ni shughuli pevu utulize kichwa
 
GENTAMYCINE mwenyewe akibanwa mbavu kwa hoja yake na memba kama watatu hivi huwa hana ujanja na kuanza kutafuta njia ya kuchomoka kutoka kwenye kibano kwa kuanza kudai wanaombana ni member mmoja mwenye id nyingine. Ana wababe wake humu wa kumhenyesha kwenye hoja zake
 
Huyo padri hebu akae kimya tu ajilie mkate wake taratibu baada ya kustaafu asianze kutaka umaarufu mwingine wakati siasa zake zimepitwa na wakati
 
The fact kwamba genta hajafika kwenye huu uzi, ni dhahiri huu ni uzi wa chapuo.
 
Au anataka uteuzi mwingine wa kumalizia maisha yake ya kisiasa? Ataonekana si mtu makini anapoanza kufukua siri zisizo na tija kufuatiliwa
 
Back
Top Bottom