Dkt Wilbroad Slaa anamjua hadi GENTAMYCINE

wewe ni genta kabisa....huwa una kiswahili kirefu mno
Kuna nyuzi GENTAMYCINE huwa anafungua fuatilia uone mnyukano wa kihoja ndiyo utagundua LOTH HEMA si GENTAMYCINE, KEROZENE wala mightier. Kama nadhaniwa kuwa ni id nyingine ya huyo member si kweli, avumaye baharini ni papa, wengine wapo. Uandishi wangu ni tofauti kabisa na huyo jamaa
 
Mods ungeni hizi id utoto upungue
yaani id yangu iungwe na huyo member? Maana nashangaa kuhisiwa kuwa mimi ni GENTAMYCINE katika id nyingine. Mbona ni rahisi kung'amua na kudadavua kuwa mimi ni tofauti na GENTAMYCINE kiuandishi na namna ya uwasilishaji wa hoja? Hata matumizi ya lugha kuna tofauti kubwa katika kutumia maneno
 
Binafsi naamini Dr Slaa ndiyo alikuwa chaguo sahihi la uchaguzi 2015.

Niliumia sana kwa yeye kushindwa kugombea, kikubwa zaidi niliheshimu msimamo wake baada ya chama kumkaribisha Lowassa kwenye chama chao.
 
Ninachojua tu ni kwamba huwezi kuwa....

Purely Talented
Charismatic Fella
Game Changer
Entertainer

Kisha usifuatiliwe na Marais, Wanasiasa, Wasomi, Waandishi wa Habari, Wanamichezo, wana JamiiiForums, Watu wa Kawaida, Viongozi wa Kidini na Malaika Wakuu wa Mwenyezi Mungu akina Jibril na Mikaela.

I'm GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE Ok?
Poti hongera sana.
 
Huyu mbwa ana ID kama 80 hivi. Mods wamemshindwa?
Mnakosea sana kunihusisha na GENTAMYCINE mkidhani hii nayo ni id yake nyingine na kuwashauri mods waunganishe id zake zote, hamuoni kuwa LOTH HEMA ni id ya member mwingine tofauti kabisa na huyo jamaa? Hebu fuatilieni nyuzi anazoanzisha GENTAMYCINE ndiyo mtagundua LOTH HEMA ni tofauti na huyo member
 
Mangungu umegeuka kuaa LOTH HEMA
 
yaani id yangu iungwe na huyo member? Maana nashangaa kuhisiwa kuwa mimi ni GENTAMYCINE katika id nyingine. Mbona ni rahisi kung'amua na kudadavua kuwa mimi ni tofauti na GENTAMYCINE kiuandishi na namna ya uwasilishaji wa hoja? Hata matumizi ya lugha kuna tofauti kubwa katika kutumia maneno
Tatizo uandishi wako jombaaa.

Yani wewe neno moja utalikuza yawe hata sita.

Hapo ndo watu tunapokung'amua.
 
GENTAMYCINE tafadhali rudi kwenye uzi ujibu hoja, LOTH HEMA nang'ang'aniwa kuwa ndiwe wewe katika id nyingine. Sijui kama utakubali nipewe sifa zako zilizotukuka wakati mimi ni sawa na kichuguu tu na wewe ni sawa na mlima kilimanjaro ulio mrefu Afrika na upo nchini Tanzania, sistahili hata kidogo kuhusishwa nawe katika uandishi wako uliotukuka na kufuatiliwa na wengi humu
 
Back
Top Bottom