Mark Francis
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 605
- 310
Walikisema Dr Slaa alipigiwa kura kwa sababu ya Ukristo wake inamaanisha mwaka 2000 hakukua na mgombea mkristo? Mbona Mbowe hakupata kura nyingi kama alivyopata Dr Slaa wakati wote ni wakristo?
