Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,126
Inaonekana shule ya msingi mwalimu wako amekuvuta sana masikio na kukugonga na rula kichwani.Nimegundua uelewa wako una ukomo.Mbona picha yake inayotambuliwa na serikali inamtambua kama Ndugu?
Inaonekana shule ya msingi mwalimu wako amekuvuta sana masikio na kukugonga na rula kichwani.Nimegundua uelewa wako una ukomo.Mbona picha yake inayotambuliwa na serikali inamtambua kama Ndugu?
Yaani wewe ndiyo bure kabisa,unabishana na meleta mada wakati yeye ameinukuu habari hii kutoka gazeti la raia mwena na hakuongeze maneno yake!
Mkuu ni madhara ya kukurupuka hayo
Unagombana na upepo bure Raia Mwema sio jina la mtu ni jina la gazeti kama vipi mtafute mwandishi wake, by the way neno ndugu lina heshima yake toka zamani tunaitana hivyo.Raia Mpotevu haliwezi kumwita Mh Rais ndugu Kikwete
Subiri niwasiliane na mwanasheria wangu anipe msaada wa kisheria,asante kwa ushauri.Hapo kwenye RED, unaweza ukawithdroo hilo neno? Linapoteza kabisa maana ya ulichokiandika na vile vile haliongezi chochote kwenye ulichotaka tukielewe...
2015 hatutaki used kuna watanzania wengi wenye uwezo ndio tunaotaka wajitokeze.
Na mwenye kushikiliwa akili tu anaeweza kuja na fikra kama zako.Ni mgonjwa wa akili tu mwenye mawazo ya kuwakilisha wenye akili.
Na mwenye kushikiliwa akili tu anaeweza kuja na fikra kama zako.
Komu kasafiri tumeambiwa tuvute subira kwani ukombozi unahitaji moyo.Sawa mkuu kachukue posho
Kuna vitu vipo too open kushirikisha wanasheria, otherwise labda kama akili unashikiwa nao kwamba wewe umebaki kopo tu ndo unaweza ukauliza kwao kila kitu hata kile kidogo. Anyway, go ahead, may be the point was to tell us kwamba una mwanasheria. If so, umesikikaSubiri niwasiliane na mwanasheria wangu anipe msaada wa kisheria,asante kwa ushauri.
Duniani tumekuja kutafuta pesa ili itutumikie hilo lisikupe shaka nina vijana wengi watalifanyia kazi.Kuna vitu vipo too open kushirikisha wanasheria, otherwise labda kama akili unashikiwa nao kwamba wewe umebaki kopo tu ndo unaweza ukauliza kwao kila kitu hata kile kidogo. Anyway, go ahead, may be the point was to tell us kwamba una mwanasheria. If so, umesikika
Unachosema ni kweli, lakini si kwa kila kitu, kuna vitu hata uwe na pesa kiasi gani lazima ufanye mwenyewe, kwa mfano, kumeza chochote etc...Duniani tumekuja kutafuta pesa ili itutumikie hilo lisikupe shaka nina vijana wengi watalifanyia kazi.
Unapozungumza kumeza nadhani unamaanisha mfumo wa mdomo au kinywa,mdomo haumezi chochote ondoa usemi wako.Unachosema ni kweli, lakini si kwa kila kitu, kuna vitu hata uwe na pesa kiasi gani lazima ufanye mwenyewe, kwa mfano, kumeza chochote etc...
Nop huo usemi siondoi kwa kumshirikisha mwanasheria au la, watu wanameza hadi sumu we unashangaa chochote... Mi sijazungumza kuhusu kinachotokea baada ya kumeza chochote ila kumeza chochote tu..Unapozungumza kumeza nadhani unamaanisha mfumo wa mdomo au kinywa,mdomo haumezi chochote ondoa usemi wako.
Samahani nilikuwa sijui unawakilisha mawazo ya wendawazimu.Nop huo usemi siondoi kwa kumshirikisha mwanasheria au la, watu wanameza hadi sumu we unashangaa chochote... Mi sijazungumza kuhusu kinachotokea baada ya kumeza chochote ila kumeza chochote tu..