Dkt. Slaa: Udini ni propaganda ya CCM kuficha maovu yake!

Dkt. Slaa: Udini ni propaganda ya CCM kuficha maovu yake!

Rudi studio hii nyimbo mixing yake hajakaa vizuri......buuuuuuuuuu buuuuuuuu buuuuuuuuu mavi kabisa
 
Bila shaka Ndugu Mingoi "Anakaa Nyagwa" (Mjibu pumbavu kwa kadri ya upumbavu wake....)
 
Last edited by a moderator:
kama unafanya kampeni muda wake bado,subiri 2015 ndio uanze kumsifia huyo mtu wako mwenye tabia chafu ya kunyanganya watu wake zao,je akiwa rais si itakuwa balaa zaidi?

kichwa cha kuku.....
 
allah mwingi wa rehema hebu tuepushe watanzania na mambo ya kushabikia udini.
 
Watanzania wengi wamepumbazwa na propaganda za kijinga kuhusu udini, bahati mbaya wamezipenda na kuzimiliki kama dhahabu.Tambueni kwamba CCM ni waroho wa madaraka,wametawala miaka mingi sana lakini hata akitokea mtu bora nje ya chama hicho wanatumia kila hila kufanya mbinu chafu za kuchafuana ili washinde uchaguzi. Kumbukeni, mtazamo hasi wa baadhi ya Waislamu ulianza pale CCM walipotumia propaganda chafu kuwa CUF ni chama cha Kiislamu, ni kwa uroho wa madaraka huo huo baada ya kuona wamefanikiwa kuwatenganisha Watanzania wengine na waislamu kisha wakashinda mwaka 2000 na 2005,basi mwaka 2010 wakaja na upande wa pili kwa CHADEMA. Ukweli ni kwamba hata kama asingegombea Dr.Slaa mbinu hiyo chafu ilipangwa kutumika mapema.Wito wangu ni kwa watanzania wenzangu, tujiulize CCM wanaposema watatawala milele ni kwa misingi gani? Kwa mbinu zipi? Na sisi tufanye nini kwani kwa mbinu zao tutachukiana tu?
 
2015 hatutaki used kuna watanzania wengi wenye uwezo ndio tunaotaka wajitokeze.

Anza wewe,au wataje hao wengine ambao niwapya!Manenomaneno sasa basi!Utendaji mbele....!
 
Mkuu, kwa kichwa hicho cha habari utawaingiza wengi mkenge kama tayari unavyoshuhudia hapo juu walivyokuja mbio wakakuta sio wakaanza kuporomosha matusi (maneno mbofu mbofu).

Chukua Like,Mod mpeni like yake!Kisimu chatochi ndio shida.
 
Dr. Slaa ni mkweli na anasimamia ukweli, waliopigia debe udini 2010 ndo wadini wenyewe, hakuna mtanzania mdini zaidi ya CCM na viongozi wake! Ndo wenye historia ya kuvibatiza vyama vingine udini, wao sijui chama chao ni cha dini gani?
 
Kaka sio kweli tupo milioni 44,929,002 (44.9). Usitupunguze brother.
Hao waliobaki kuna kuna wanazi,ambao hawafanya maamuzi na wengine hawatokuwa na sifa ya kupiga kura kama umri,magonjwa na vifo.
 
Back
Top Bottom