Kurugenzi ya Habari mnacheza na kazi picha mnaweka chache mno!
nataka muweke picha mitandao yote hapa Tz
na mjipange vizuri 2014~2015
!
Hii thread itaenda mwendo wa konokono. Mbele ya picha hizi ambazo zinawapa maumivu makali Lumumba group na pro-CDM hakuna wa kuchangia labda kwa kujikokota na kujifariji huku wakifa kisomi..
umesikika kamanda , japo unaweza kutoa maoni yako bila kulaumu na ika sound tu .Kurugenzi ya Habari mnacheza na kazi picha mnaweka chache mno!
nataka muweke picha mitandao yote hapa Tz
na mjipange vizuri 2014~2015
!