Dkt. Slaa Tabora leo, picha...

Dkt. Slaa Tabora leo, picha...

CHADEMA

Political Party
Joined
Apr 13, 2013
Posts
495
Reaction score
2,539
Slaa kuhutubia Tabora mjini 1..jpg

Katibu Mkuu Dkt. Slaa akihutubia mkutano wa hadhara Tabora Mjini, jioni hii baada ya kuwa ametokea Ugoweko na Kakola...
 
Hiki chama kinahitaji sifa za kila namna...

Chadema ni chama chenye kibali mbinguni na duniani..
 
Kurugenzi ya Habari mnacheza na kazi picha mnaweka chache mno!
nataka muweke picha mitandao yote hapa Tz
na mjipange vizuri 2014~2015
!
 
Last edited by a moderator:
utafiti unaonyesha kwamba hivi sasa DR SLAA NDIYE mtu maarufu zaidi TANZANIA , hivyo usitarajie mkutano wake kukosa watu .
 
Slaa kuhutubia TBR 3..jpg

Tabora leo ilizizima kumpokea na kumsikiliza Katibu Mkuu Dk. Slaa...
 
Tabora ndio kazi inaendelea hongereni kwa kuwajibika ili kupata ukombozi
attachment.php
 
utafiti unaonyesha kwamba hivi sasa DR SLAA NDIYE mtu maarufu zaidi TANZANIA , hivyo usitarajie mkutano wake kukosa watu .

Arythrocyte, hapa Katibu Mkuu akiambatana na viongozi wa chama, kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kanda, Shaaban Mambo na kulia kwake ni Diwani wa Viti Maalum CHADEMA, Kata ya Kakola...msafara unakwenda kupata chakula cha mchana kilichoandaliwa na wanakijiji wa Kakola...

DSC_9112.JPG
 
Hii thread itaenda mwendo wa konokono. Mbele ya picha hizi ambazo zinawapa maumivu makali Lumumba group na pro-CDM hakuna wa kuchangia labda kwa kujikokota na kujifariji huku wakifa kisomi..
 
Back
Top Bottom