Dkt. Slaa Tabora leo, picha...

Dkt. Slaa Tabora leo, picha...

Hata mm umenigusa sana ndugu..!!kilicho barikiwa daima kitapendwa na kila mtu..!
 
Siku umebakiza kazi moja tu kubumba picha tu.

Chadema kwisha habari yake.

Mkuu kama unahisi aliyeleta picha kaleta ambazo si halisi lete zako unazohisi ndo za kweli watu wajadili?Kweli nawaambia mbinu mnazotumia kuidhohofisha cdm ni mbinu ambazo zinaijenga CHADEMA na zinawavunja imani hata wale wenye mioyo migumu waliobakia CCM ,kaaeni chini fanyeni critical analysis tangu mwanze kutumia mbinu hizi MMEFANIKIWA au mmezidi KUPOTEA
 
Kweli Cdm ni noma songa mbele kama

watu kibao hurudisha kadi za ccm na kujiunga na CHADEMA katika ziara za gwiji hili la siasa tanzania lakini uzuri CHADEMA huwa hawa chukulii advantage kwa hilo sababu ni swala dogo na lakawaida kwa kwa chadema,lakini wangekuwa ccm hapo wangepost mara kumi kumi kuwaonesha wanao rudisha kadi feki wakidhan hiyo ndio hoja ya msingi walivyo ma mbumbumbu,na sie tunapokea kadi za ccm kimyakimya bila kutaka misifa, wao wenyewe badae watajishtukia hawana wanachama kabaki kinana na nape.
 
Sasa Ccm wanapendwa wapi? haya mambo yananichanganya, kama hata tabora Chadema wanaingia nguvu style hii basi sasa naelewa kwa nini Ccm wanalazimika.kutumia mbinu ya udini na ukabila kwa sababu kwa sasa wasipofanya hivyo wamekwisha! Angalau hiyo inawasogezea siku!
 
CCM = CHAMA CHA MIZIGO.....anayehitaji kadi a wasiliana na Hamy D ....hapa hapa Jf, na leo yuko shift ya usiku....
 
...Pamoja na kazi nzuri ya viongozi wakuu, CDM msiache ile programmu ya kutoa mafunzo kwa viongozi wa ngazi zote ili kuwajengea uwezo... Viongozi wa kanda waandaliwe na kuwezeshwa kukabilina na Nguvu kubwa wanayotumia majangili wa Taifa hili! Lazima tukubali ukweli kuwa CCM inachangiwa kiasi kikubwa na na MNCs zinazofaidi rasilimali zetu, silaha pekee kubwa ni ukombozi wa kifikra kwa wananchi... Amandaaa...
liked kamanda!
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr.Wilbroad Slaa akiwahutubia Maelfu ya Wakazi wa Urambo Tabora alisema Mbinu zote na Dhaifu za CCM zipo Mikononi mwa Chama hiki (Chadema), Kwa Mujibu wa Dr.Slaa CCM Wakiendelea Kutumia Mbinu hizi hizi, Chaguzi zijazo, Saa 4:00 Asubuhi Siku ya Uchaguzi, Watanzania Waanze Kushangilia Ushindi Kwa Sababu hakuna Mbinu yoyote Waifanyayo yenye Manufaa Dhidi yao, ila Mbinu za Kuwaangamiza Vibaya, akifafanua Dr.Slaa anasema "CCM Chaguzi zilizopita 2005 na 2010 Walijiamini sana na Mbinu za Wizi wa Kura hasa Maeneo ya Vijijini, ila Chadema Inapenda Kuwahakikishia Kwamba Chaguzi zijazo 2014/2015 ni Kipindi Kigumu sana Kwao Wapende Wasipende, Watake Wasitake... Haitawezekana tena. Zipo Mbinu Kadha wa Kadha Kama zile za Kuwaondoa Kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, Baadhi ya Wanachama, Wafuasi na Wakereketwa Wetu wanaoonyesha Msimamo Mkali ndani ya Chadema, hili nalo tunaahidi Kulishughulikia Ipasavyo Kuanzia sasa, na hakika Mpaka Kufikia Uchaguzi wa Mwaka Kesho Kitakuwa Kimeeleweka". MAONI!
 
Chadema Kweli Bado ni Baba lao! Endeleeni Kuweka Mbali na Watoto Used Condoms na hii Sumu iitwayo CCM Inayoua haraka sana!
 
kwanza tunataka uchaguzi ndani chama
usituletee porojo
 
Yani atakayejaribu kuiba kura adhabu yake itakuwa kali kuliko ile ya Mabina...
 
Good, kuzuia wizi wa kura unaitaji mkakati zaidi ya mengine yote. Watapanga kuiba, tutapamga kuziuia wizi huo tuone Mungu atakuwa upande wa nani.
 
ADAM MTIGA :-"Sio kila anaefika kwenye mkutano wa chama ni mwanachama wa chama na kuthibitisha hilo hebu weka idadi ya wanachama wa Tabora wako wangapi na waliokuja kwenye kikao wangapi"

Hao wasio kuwa wanachama ndo haswaa wanatakiwa kufika kwenye mikutano yetu ili wasikie sera na wabadilike tuongeze wanachama. Ni kama Kanisani Wachungaji hulia sana na wasio okoka muwalete Kanisani waokoke.
 
Back
Top Bottom