Dkt. Slaa Tabora leo, picha...

Tunaunga mikono hoja
attachment.php
 
Kurugenzi ya Habari mnacheza na kazi picha mnaweka chache mno!
nataka muweke picha mitandao yote hapa Tz
na mjipange vizuri 2014~2015
!

Safi kabisa. Haya ndio maagizo sahihi ili kazi ifanyike. Nami nasema hakuna kulala,kurugenzi ya habari ikizembea tunaitoa tunaweka nyingine maana habembelezwi mtu. Kazi ni kazi tuu mpaka kieleweke
 
Last edited by a moderator:
Hapa akikaribishwa Ugoweko ambako alifika kuweka jiwe la msingi la tawi la kijiji hicho. Mwenyekiti wa tawi hilo ametoa kiwanja chake takriban ekari moja kwa chama ili ijengwe ofisi.

DSC_9094.JPG
 
...Pamoja na kazi nzuri ya viongozi wakuu, CDM msiache ile programmu ya kutoa mafunzo kwa viongozi wa ngazi zote ili kuwajengea uwezo... Viongozi wa kanda waandaliwe na kuwezeshwa kukabilina na Nguvu kubwa wanayotumia majangili wa Taifa hili! Lazima tukubali ukweli kuwa CCM inachangiwa kiasi kikubwa na na MNCs zinazofaidi rasilimali zetu, silaha pekee kubwa ni ukombozi wa kifikra kwa wananchi... Amandaaa...
 
Wasaliti nawashauri msiwe na mawakili wa kutaka katiba iwalinde mnapoandaa na kutekeleza usaliti wakati hamkuitumia wakati mnauandaa wakati huu MNAPOVUNA MATUNDA YA USALITI WENU na KUWA WAHANGA WA MABADILIKO tafuteni pia madaktari wa kupima presha na dawa za usingizi msije anguka kabla matunda ya usaliti wenu hamjayachuma ya kuyala at the maximum huku mkiona mliowasaliti wakisonga mbele anzia kigoma, tabora, mwanza, singida na tanzania nzima CHADEMA MPANGO MZIMA CHADEMA OKSJENI ya Waadhirika wa Ukoloni Mweusi
 
CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA

WEEE ACHA TU HIKI CHAMA KWELI NI MPANGO WA MUNGU NA KILA APITAPO Dr. SLAA SHETANI UTIMKA MBIO.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom