Dkt. Slaa: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ni 'mjinga fulani'

Atachezea virungu?

Bado mnaongea vitisho wakati mzee kasema yuko kwake ka chill ???

Dr Slaa has a ball and half, sio wa kutishwa na RC, tena Chalamila of all the people, Slaa alipanda kwenye uwanja wa mpira uswahilini kweupee, Mwembe Yanga Temeke, akawasamburua mawaziri wakuu na amiri jeshi na wakuu wa itifaki na usalama wa taifa, sembuse RC Chalamila ? Give me a freaking break....
Nchi hii kila mwanasiasa anayo bei yake, duniani pote ni binadamu wachache sana wasioweza kununulika.
 
Mzee, Dr Slaa wiki hii katrend sana hapa JF. Naogopa asije akapata shinyikizo la damu. iLA NAMUOMBA APUMZIKE NA hizi pres kwa faida yake mwenyewe. Du, mara hii kamvaa Chalamila, Mmmmm haya mi sina neno. Ila kusema kweli Dr kaangukia pabaya.
 
Huyu mzee sasa anachanganyikiwa au anatafuta kiki kwa nguvu.

Hivi yule demu wake aliyemgonga Mwanza mpaka akamvunja mkono bado anae? mashumbusi sijuwi, sikumbuki vizuri jina lake.
Toa utaahira wa ukoo wako hapa,huyo mama ana uhusiano gn na dpword?,
 
Na pia ukiwa mzee hustahili kuwa mnafiki. Unatakiwa utoe kauli zilizo nyoka. Chalamila is not a leader, ni comedian. Lakini kwa sababu nchi hii wale watu wa ajabuajabu, ndiyo wanaokuwa viongozi, basi na yeye yupo hapo.
Sema wanakuwa wakuu wa mkoa Dar slam; atumike vizuri
 
Back
Top Bottom