Dkt. Slaa kuwataja walio nyuma ya uuzwaji wa Bandari kama 2007 alivyowataja Mkapa na Kikwete kwenye ‘List of Shame’ Mwembeyanga

Tarehe 24/10/2007 Balozi Dr. W.P. Slaa, akiwa viwanja vya Mwembeyanga Temeke alitaja majina 11 akiwemo Rais mstaafu Mkapa na Rais aliyekuwa madarakani Mh Kikwete kuwa ni miongoni mwa Mafisadi wa nchi.

Akiongea na waandishi wa habari kwenye hotel ya Regency 13 June, Slaa alisema,

“Waliohudhuria maonesho ya Dubai Expo 2022 ni viongozi wa Serikali, wamesafiri, wamelala hoteli, wamekula chakula kwa kodi ya watanzania.”

“Naomba pia kuwakumbusha kuwa Serikali ya Tanzania iliwakilishwa na Rais mwenyewe na kulisainiwa mikataba 17.”

Tutarajie makubwa tena kwenye mkutano wake unaotarajiwa kufanyika Jumapili ya tarehe 23/7 mwaka huu. Je atawataja wahusika wote walio nyuma ya uuzwaji wa Bandari zetu? Na je, majina ya baadhi ya walio kwenye Listi of Shame kama kina Rostam Azizi yatajirudia? Tutege masikio.

Mwembeyanga List of Shame.

1. Dr. Daudi T.S. Balali X
2. Gray Mgonja
3. Basil P. Mramba X
4. Patrick W.R. Rutabanzibwa
5. Nimrod E. Mkono X
6. Benjamin W. Mkapa X
7. Andrew J. Chenge
8. Edward N. Lowassa
9. Rostam Aziz
10.Nazir Karamagi
11. Jakaya Mrisho Kikwete.
Fala huyo, siyo mikataba 17 ni 37.
 
HIVI BALALI ALKUFA KWELI AU MCHONGO?
 
Kabla ya kuwataja hao anaodai wamehongwa kwenye Bandari...yeye sasa atuambie alihongwa nini mpakabakawa na uwezo wa kwenda kula bata na aliyekuwa Mkewe Bi Josephine Mshumbuzi kule Canada na baadae alifanya miujiza gani ya kiutumishi mpaka kuzawadiwa Ubalozi tena Ulaya. Asipotaja sisi tutamkumbusha
Andaa na wewe mkutano ukawataje
 
Kabla ya kuwataja hao anaodai wamehongwa kwenye Bandari...yeye sasa atuambie alihongwa nini mpakabakawa na uwezo wa kwenda kula bata na aliyekuwa Mkewe Bi Josephine Mshumbuzi kule Canada na baadae alifanya miujiza gani ya kiutumishi mpaka kuzawadiwa Ubalozi tena Ulaya. Asipotaja sisi tutamkumbusha
Na kweli...
 
Lkn huyu Padri kwa aliyofanya hana haya ht kidogo.
 
Lowassa baada ya hapo akawa Mgombea Urais kupiyia Chadema! Ahahahahaha!!! Rostam leo ndio anawalaza nje na DP World na Bandari ahahahahaha!!!
Umetaka nikueleze kilichowakuta baada ya list of shame nimekuonyesha hayo maelezo mengine ya leo wako wapi hayanihusu.
 
Kama una uhakika alihongwa wewe taja na yeye atawataja walionyuma ya mkataba kwa upande wake.
Na yeye aweke ushahidi, sio kutaja tu.
Ila sisi tuna ushahidi kuwa aliisaliti CDM ktkt ya mapigano na kisha akapewa ubalozi
 
Mkuu, jielekeze kwenye mambo yenye infect kwa nchi, sio kuleta umbeaumbea na mambo binafsi ya mtu.
Mambo binafsi mtu kusaliti chama tena kipindi ha uchaguzi!!?
We unaona hilo ni jambo binafsi!!!
 
Back
Top Bottom