PreGE2025 Dkt. Slaa arejea rasmi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Matapeli wa kisiasa
 
Sheria inasema uanachama wa chama chako unakoma automatically ukihamia chama kingine. Hakuna ulazima wa kuchoma biblia ukisilimu toka ukristo na kuwa muisilamu.
Hakuna ulazima wa kuchoma biblia ukisilimu toka ukristo na kuwa muisilamu.
 
Wale covid 19 wasirudishwe ni mapandikizi ya ccm ; yatakihujumu chama!
Ila kubwa la mapandikizi(pandikizi kuu) limerudishwa?
Once a snitch always a snitch and once a traitor always a traitor.
Kukaamini hako kachawa ka Mwendakuzimu(Jiwe) lazima uwe na mtindio wa ubongo, I doubt kama kabibi ka Kizimkazi hakajamrithi huyo chawa mwandamizi na kuwa undercover argent wake.
 
Was Edwin Mtei behaving imprudently as well when he retired his chairmanship? Do you know what RETIRE translates? Definitely if asked for advice or financial contributions he is gonna do that though after the terribly dirty outbursts during the chairmanship campaigns it's better for him and for the new leadership to give each other a space.
Time heals so probably in due time they'll team up again to push the struggles.
 
Ni jambo jema
 
K
Kama lowwasa akirejea ccm, Kuna tatizo Gani slaa kurejea kwenye chama chake Cha zamani?
 
Kinacho mbeba slaa ni kumuunga mkono mzalendo JPM .Tanzania ni lazima itoke mikononi wa Raia feki na kurudi kwa wazawa
Nadhani atawaambia ukweli kwenye vikaovyao kama wanataka support ya wananchi wengi, waache ujinga wakumsingizia jembe Magufuli mambo ya kipuuzi.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Mzee bado anayo kadi ya chama tawala na hakuwahi irejesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…