Vipi, hiyo nafuu, nasi wa huku bara, inatuhusuuu?Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi ameondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani kwenye bidhaa ya Sukari
Hatua hii itawasaidia
Wafungaji kununua sukari kwa bei nafuu
Source: Ayo TV
Baraza la Mapinduzi linafika Bara?Vipi, hiyo nafuu, nasi wa huku bara, inatuhusuuu?
NdioZanzibar ni nchi halafu ya kiisilamu sio?
Kufunga au kubadili ratiba ya kula toka mchana kwenda usikuMwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi ameondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani kwenye bidhaa ya Sukari
Hatua hii itawasaidia
Wafungaji kununua sukari kwa bei nafuu
Source: Ayo TV
Ndo kufunga kwenyewe we ulitaka iwe je?Kufunga au kubadili ratiba ya kula toka mchana kwenda usiku...
Kuwepo na VAT categorries kwa bidhaa zanye kuhitajika sana.Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi ameondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani kwenye bidhaa ya Sukari
Hatua hii itawasaidia
Wafungaji kununua sukari kwa bei nafuu
Source: Ayo TV
Mlishashindwa hata kabla ya kuanza.....Kufunga au kubadili ratiba ya kula toka mchana kwenda usiku
Kuna muda huwa nawaelewa sana wakatoliki na kwaresma yao ,Wao wanasisitiza matendo ya huruma na toba lakini sio kushinda nja...
Lengo la kufunga ni toba na kubadili tabia,Waislam wamegeuza kufunga ni kula usiku kucha kutoka kula mchanaNdo kufunga kwenyewe we ulitaka iwe je?
Unatafuta wachungaji waanze kutowa miwaraka wewe,yaani urahisishe kwa kuwapa unafuu waislam bara? mhhh you must be kidding, au huijui Tanzania.Vipi, hiyo nafuu, nasi wa huku bara, inatuhusuuu?
Mkuu unafahamu historia ya unachokiamini au kwa kuwa Baba ni muislam au mkristo ukafuata tuMlishashindwa hata kabla ya kuanza.....
Waroma wale wa ndoa za kiume?Kufunga au kubadili ratiba ya kula toka mchana kwenda usiku
Kuna muda huwa nawaelewa sana wakatoliki na kwaresma yao ,Wao wanasisitiza matendo ya huruma na toba lakini sio kushinda nja..
Mambo ya Waislam yanakutesa vipi ewe kafiri,Kufunga au kubadili ratiba ya kula toka mchana kwenda usiku
Kuna muda huwa nawaelewa sana wakatoliki na kwaresma yao ,Wao wanasisitiza matendo ya huruma na toba lakini sio kushinda njaa
Hivi kama unakula usiku kucha isipokuwa masaa kadhaa kuna shida?
Kuna wakati tuambiane ukweli,Unaacha kula mchana halafu unakula usiku kucha
Prof Janabi yeye tu anakunywa chai anakaa masaa ishirini na nne ,Wakati wa mfungo atakuwa anawasikitikia sana wanaovimbiwa usiku wa manane