Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
Mie naomba death iji reverse irudi ilikotoka pamoja na waliojadiliana. Hapo ndo utashangaa kitakachotokeaKwanini wanataka Mwakyembe afe?
Kwasasa wamejareibu kumuuua, lakini bado MUNGU HAJAMPENDA ZAIDI,
ni vyema wauaji wake wamuombe msamaha na watubu kwa Mwenyezi Mungu kutokana na dhambi hiyo ya uuaji