Nyaraka: Waraka wa Paulo mtume kwa Wafilipi, Waefeso, Wagalatia n.k. Sasa Iweje Waraka wa Maaskofu kwa Watanzania iwe nongwa?!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,039
Mosi, Waraka umesomwa Makanisani kwa Watanzania Wote wenye Mapenzi mema.

Pili, Waraka umetoa angalizo na ushauri kwa Viongozi wenye Mapenzi mema na nchi yetu.

Waraka haujazungumzia mambo ya Imani ya Dini bali umezungumzia Ustawi wa taifa la Tanzania na Maendeleo ya Watu wake.

Nne, Waraka haujamlenga Mtu wala Kikundi cha Watu bali Watu ndio Wanaibuka Wenyewe mmoja mmoja na kujirengesha kwenye Waraka.

Mungu wa mbinguni awabariki. 😀
 
ee1d182305a30d7b43bd2911de0a77fc.jpg
 
Paulo alikuwa anazungumza na Wakristo wa huko.
Sidhani kama umeipitia biblia yako si nyaraka zote zimeandikwa kwa Wakristo soma

Warumi 1:7,14
....kwa wote walioko Rumi, wapendwao na Mungu, walioitwa kuwa watakatifu. ......
14.Nawiwa na Wayunani na wasio Wayunani, nawiwa na wenye hekima na wasio na hekima....

Sijaona anasema wakristo walioko Rumi ila alisema wote walioko Rumi..tena kwenye 14 anaendelea na kusema wenye hekima na wasio na hekimaa (Maana wenye elimu na wasio na Elimu)
 
Walioitwa kuwa watakatifu. Paulo barua zake zote alikuwa akiandikia Wakristo wenzake.
 
Mosi, Waraka umesomwa Makanisani kwa Watanzania Wote wenye Mapenzi mema

Pili, Waraka umetoa angalizo na ushauri kwa Viongozi wenye Mapenzi mema na nchi yetu

Waraka haujazungumzia mambo ya Imani ya Dini bali umezungumzia Ustawi wa taifa la Tanzania na Maendeleo ya Watu wake

Nne, Waraka haujamlenga Mtu wala Kikundi cha Watu bali Watu ndio Wanaibuka Wenyewe mmoja mmoja na kujirengesha kwenye Waraka

Mungu wa mbinguni awabariki 😀
Sauli na baadae Paulo ni chukizo kwa wale wa upande wa pili!!
 
Narudi Roman Cathoric, ni kati ya Dhehebu lenye uongozi thabiti na Wasomi na wanajielewa.

Naachana na Wasabato, wapo wapo tu.
Kwenye ishu za msingi za Kitaifa hawana Msaada.
Wao wanasisitiza Sadaka tu na ibada za Jumamosi.
 
DINI KWENYE ELIMU SAWA,NDIO MAANS WANAJENGA SHULE.DINI KWENYE AFYA ZA WANANCHI SAWA, NDIO MAANA WANAJENGA HOSPITAL. DINI KWENYE SIASA ETI NO NO NO NO NO KWANINI???? ILI UHUBIRIWE UELEWE, INABIDI UWE NA UELEWA MZURI( ELIMU) NA AFYA NJEMA. LAKINI PIA LAZIMA IWEPO AMANI. AMANI INATOKANA NA SIASA SAFI. HAPO DINI UTAITENGAJE NA SIASA.MBONA BUNGENI KUNA MAASKOFU NA WACHUNGAJI?
 
Narudi Roman Cathoric, ni kati ya Dhehebu lenye uongozi thabiti na Wasomi na wanajielewa.

Naachana na Wasabato, wapo wapo tu.
Kwenye ishu za msingi za Kitaifa hawana Msaada.
Wao wanasisitiza Sadaka tu na ibada za Jumamosi.
Imebaki raha ya sabato kwa watu wa Mungu na hao wazishikao amri za Mungu na imani ya YESU
 
Back
Top Bottom