


Ni nani huyu? Binafsi simfahamu na anadai Dunia nzima inamfahamu...mimi nipo Duniani sijaenda hata sayari ya karibu tu hapo. Nadhani pia anapaswa apunguze jazba. Ajielezee kwa utulivu mzuri. Amani haichafuki kirahisi kama anavyodhani. Na pengine anataka kuza jambo hilo analolizungumzia. Huyo Mwaka ni nani mpaka achafue amani? Some people are just to be ignored.
Imeisha hiyo........ by kidagaa.Hao wote na shehe wa mkoa ni matapeli zaidi ya shwetani
Dr Mwaka amezungumzia utapeli wa baadhi ya viongozi wa dini sio wote, sasa kutetea viongozi wa dini, Ijulikane wale wahuni watajifichia hapohapo.
Wanaofahamu huyu Mwaka kakinukisha nini tena wafunguke hapa, maana mpaka Bi Eshe aseme maneno haya, huyo Mwaka lazima kafanya madudu ya mwaka:
View attachment 2358428
Kisu kimegonga mfupe eh 😆Walikutapeli nini?
Umerudi lini toka London kumzika Queen Eliza?Wanaofahamu huyu Mwaka kakinukisha nini tena wafunguke hapa, maana mpaka Bi Eshe aseme maneno haya, huyo Mwaka lazima kafanya madudu ya mwaka:
View attachment 2358428
Haaaaa walipandishwa dala dalaUmerudi lini toka London kumzika Queen Eliza?