Dkt. Mpango: Rais Samia anakerwa na mauaji yanayotokea nchini. Ameagiza Jeshi la Polisi kufanya msako kubaini wanaojiuhusisha na vitendo vya mauaji

Nimetafakari sana namna watu wanavyojazwa khofu kubwa kwa sasa, mauaji ni mengi sana kila kona ya nchi yapo yanayoropitiwa kimkakati na mengine hayaripotiwi kimkakati, naomba kufahamu kwanini tunajazana khofu kwa kutoa uhai wa watu wetu?....
alafu police wanasema tuko salama kabisa
 
Nimetafakari sana namna watu wanavyojazwa khofu kubwa kwa sasa, mauaji ni mengi sana kila kona ya nchi yapo yanayoropitiwa kimkakati na mengine hayaripotiwi kimkakati, naomba kufahamu kwanini tunajazana khofu kwa kutoa uhai wa watu wetu?....
Mauwaji yapo siku zote,sema tulikuwa busy na habari za Corona kwa muda flani,Sasa tumerejea tena kuwahabarisha habari za kitaa,!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom