Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,187
- 162,689
Kutoza VAT ni moja ya sababuBora hata litue container 1 lakini lilipe kodi kuliko kuingiza macontainer laki 2 yasiyolipiwa kodi
Kutoza VAT ni moja ya sababuBora hata litue container 1 lakini lilipe kodi kuliko kuingiza macontainer laki 2 yasiyolipiwa kodi
Ninyi mnajua nini? Nendeni kwenye UKUTA lakini maisha ya ujanja ujanja kwishney!!Harafu Bado Serikali Inadai Eti Mapato Ya Bandalini Yanaongezeka Siku Hadi Siku.
Hali hii imepelekea uongozi wa mamlaka ya bandari kufuta bandari kavu hii ni baada ya wafanya biashara kuikimbia.
Chanzo itv
Hao watumbuaji wana majipu sehemu nyeti zaoMutaita majina yote, mnayemwita dikteta uchwara ni mukombozi wa wengi, sasa majipu yanawiva, Kama muliziwea kuvuna kwenye shamba la bibi poleni sasa limewekwa kufuli sasa ni kazi tenda za kuiuzia selikali nyanya moja millions moja wakati nyanya zimetoka kwenye shamba la bibi umepita sasa ni kazi. Accept it and move on.
Kutoza VAT mizigo ya transit ndio kumetufikisha hapa acheni kupotosha.Kama walikuwa hawalipi kodi wasije kabisa.. wakafie mbali... tunataka wafanya biashara walipa kodi.. period..!!
Wanakuja lini?Kama walikuwa hawalipi kodi wasije kabisa.. wakafie mbali... tunataka wafanya biashara walipa kodi.. period..!!
Msijali watanzania, Magufuli atawaletea Tanzania ya asali, maziwa na viwanda! Hiyo ndiyo Tanzania ya Magufuli.. CCM hoyeee
Wewe ni mkurupukaji pia hujui lolote kuhusu biashara na miiko yake hivyo ni haki yako kujiona uko sawa kwa unacho kisema lakini mda utaongea na watu msio elewa na kutafakari kama wewe mtaelewa na kutafakariYasepe makwepa kodi hayo pumbav, sasa hv Tz sio shamba la bibi tena...!
Kuna msemaji mmoja kaongea kwa hasira kweli... Nafkiri alitukana kabisa.
Noma kabisa....na mvua ikinyesha roboti la matope linaharibika,Mwaka huuuuu tutakufaaaa
Nadhan unatafakari vyema na ndio hapo watanzania wengi wao hawawezi.Hivi ni kodi tu kupanda ama kulipwa ndio ikimbize wateja wote ?? Aisee kuna kitu hakipo sawa hapa
Mmawia naomba unijibu: Wakati bandani inajaa meli na sasa ambapo haijai kuna tofauti gani katika maisha ya mtu wa kawaida? Mimi sioni. Meli zilipojaa ni kina Home Shopping walikuwa wanafaidi.Nina masikitiko makubwa sana kwa kufikia hapa tulipo fikia
Waondoke tu,majitu yalikuwa hayalipi kodi hayo