Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Yes hayo ndiyo maendeleoBandarini tutafugia kuku ngojeni tuone mwisho wake?
Yes hayo ndiyo maendeleoBandarini tutafugia kuku ngojeni tuone mwisho wake?
Wewe hujielewi na huelewi maana ya mizigo ya" Transit". Kwa hyo endelea kutokwa povuHiyo ndio hali halisi na ndio ukweli wa bandari yetu mizigo mingi ilikuwa hailipiwi kodi hivyo ni bora wasije kabisa...!
Naipongeza serikali kwa hatua hii ya kudhibiti kwa sasa tunajua kabisa tunapata mizigo ya aina gani na kiasi gani.. Nina hakika kwa sasa mtu akiagiza gari lake hato ibiwa...!
Mange kiboko @mangekimambi_Nimeona kwa Mange
Hilo ndiyo tatizo la nchi kuendeshwa kwa staili ya ONE MAN SHOW.....Mmh..ngumu kumeza... Tukubali tukatae maamuzi mengine ambayo yameshafanyika na ambayo yanaendelea kutekelezwa madhara yanaendelea kuonekana na bado yataendelea kuonekana na yataumiza wengi.
Jamani walio karibu waache woga wa kutoa ushauri au wasiache tu mpaka mambo yaharibike kabisa. Please do something...
Ukishakimbiwa na mteja akaenda sehemu nyingine kuja kumshawishi arudi siyo kazi ndogo..
Sudani ya kusini yajaZimbabwea mpya ya east Africa
Mmaw post: 17242006 said:Hali hii imepelekea uongozi wa mamlaka ya bandari kufuta bandari kavu hii ni baada ya wafanya biashara kuikimbia.
Chanzo itv[/QUOTE
Waliokimbia walikuwa siyo wafanya biashara bali walikuwa wezi wakwepa kodi, wakitumia bandari yetu bure na kodi hawalipi. Mishahara ya wafanyakazi bandalini ikilipwa na wafanyakazi walioajiriwa wakikatwa kodi direct kutoka kwenye mishahara yao. Waingizaji wa mizigo wanaingiza mizigo bila kodi, na kuuza bidhaa zao kwa walipa kodi walioajiriwa, AMA kweli unyonyaji wa khali ya juu, waache waende watatusaidia walikuwa wanatupa
Sababu Ni udikteta uchwaraHiyo ndio hali halisi na ndio ukweli wa bandari yetu mizigo mingi ilikuwa hailipiwi kodi hivyo ni bora wasije kabisa...!
Naipongeza serikali kwa hatua hii ya kudhibiti kwa sasa tunajua kabisa tunapata mizigo ya aina gani na kiasi gani.. Nina hakika kwa sasa mtu akiagiza gari lake hato ibiwa...!
Hawajazifuta. Hizo bandari kavu zipo tu ila hazipelekewi mzigo wowote maana bandarini kwenyewe mzigo umepungua kutoka magari 3500 kwa siku mpaka magari yasiyozidi 1500 kwa sikuHali hii imepelekea uongozi wa mamlaka ya bandari kufuta bandari kavu hii ni baada ya wafanya biashara kuikimbia.
Chanzo itv
Nina masikitiko makubwa sana kwa kufikia hapa tulipo fikia