Dkt. Mpango: Kodi si tatizo Bandarini

na bado natabiri hiyo bandari kufungwa kabisa....
 
U have a point. N even he went far n said "Mimi Sijaribiwi" as if He is God.
 
Kwahyo furaha yako ni bandari kujaa mizigo ya wakwepa kodi?
Hiyo hiyo michache yamkini inatupa kodi inatosha kabisa
 
CCM INATAPA MNO KWA RAIA,,NGOJA WAPIGWE DORO NA BADO
 
H
Waondoke tu,majitu yalikuwa hayalipi kodi hayo
Hii ni uthibitisho tosha juu ya nchi ilivyokuwa inaliwa. Kuambiwa walipe kodi wameamua kutimua! Hongera Rais kwa kuondoa mtandao Wa wasiolipa kodi bandarini.
 
Nakufundisha ujue hill kwa kuwa unawaunga mkono wazembe kwenye uvivu wa kufikiri. Amka wewe!! Unakosoa kitu usichokijua. Ndio tunakufundisha hivyo ukawaekeze kwenye kijiwe chenu pale!!
Kwahiyo Unamaanisha Taarifa Iliyotolewa Na Mamlaka Ya Bandari Kuhusu Suala La Kupungua Kwa Mizigo Ni Ya Kizembe??.
 
Wewe naona unaongelea hapo bongo tembelea bandari ya mombasa uone jinsi mimeli inavyo pishana na ukienda bandari ya beira nako ni meli kibao
 
Harafu Bado Serikali Inadai Eti Mapato Ya Bandalini Yanaongezeka Siku Hadi Siku.

kwani ni sifa kuwa na mizigo mingi isio kuwa na maana , kama tuna michache halafu mapato ni mengi kuliko isivyokuwa hapo awali kuna haja gani
 
Watueleze kabla ya hapo
Kwa maana hiyo bandari yetu ilifanywa Shamba la bibi?
bandari mapato yalikuwaje na sasa yakoje
Kuna nchi ni landrocked na kiuchumi ziko vizuri kama kuna mgomo wa kupitishia kwetu kwa sababu ya kukwepa kodi ni heri wakaacha
 
Binafsi hii habari nimeiona. Lakini, imepungukiwa kitu kimoja. Wangetuambia na mlinganyo wa mapato wakati wa magari 3,500 na mapato ya magari 1,500. Kama na mapato yamepungua, hapo ni tatizo. Kama ni kinyume, tatizo nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…