Dkt. Magufuli tafadhali vumilia, mwaka huu ni zamu yako. Lowassa alivumilia ingawa aliumia

Mwaka 2015, aliyekuwa Mgombea wa Urais wa CHADEMA Edward Lowassa aliteseka sana. Alisemwa vibaya, alikejeliwa, alidhihakiwa, 'alitukanwa' alidhalilishwa na kutwezwa vya kutosha na kutisha. Lowassa alikosa ushawishi katika jukwaa la kampeni. Alikosa maneno ya kuongea. Aliishia kupata kigugumizi na kutoa salamu ya CHADEMA tu. Watu walijaa kwenye mikutano yake lakini hakuwa na cha kuwaambia kilichowavutia. Ulikuwa mwaka wake!

Mwaka huu, CHADEMA wana mgombea (Tundu Lissu) anayejua kusema, kusimanga, kunanga, kujenga hoja, kukera, kutangaza sera, kushawishi na kutupa vijembe. Mwaka huu makombora yanaelekezwa kwa Dkt. Magufuli, mgombea wa CCM. Yanaelekezwa kwake kwakuwa kwa miaka yote mitano ya awamu yake, ni yeye tu ndiye aliyekuwa akitajwa kwenye kila jambo linalohusu Serikali. Sifa zote alipewa yeye. Sasa apokee na kukosolewa yeye mwenyewe.

Mwaka huu, kwa nilivyomfuatilia, Dkt. Magufuli ameishiwa cha kuzungumza. Ameishiwa hoja. Hana jipya kwenye kampeni zake. Sasa imebaki 'kukopi' na 'kupesti' kutoka kwa Lissu. Mfano, jana tu ameahidi Bima ya Afya kwa kila mtanzania. Ni ahadi na sera ya Lissu tangu mwanzo. Nani kampa Dkt. Magufuli sera hii ya kuiga? Nasema, Dkt. Magufuli aseme mambo mapya; si abaki na yale yale na kuyasema vilevile.

Aseme alichoahidi mwaka 2015; alichofanikiwa na alichoshindwa. Halafu, aseme atawezaje kutimiza kile alichoshindwa. Wakati huohuo, avumilie 'madongo' ya mpnzani wake uchaguzini Lissu na kujibu kwa kutulia. Ajibu kwa kueleweka. Ajibu kwa hoja za haja. Mwaka huu ni mwaka wake, ni zamu yake katika kukosa cha kushawishi ingawa umati wa wananchi 'hukusanywa' na 'kuandaliwa' kutoa tafsiri ya kukubalika kwake.

Abadili santuri. Hakuna kipindi redioni au runingani kinachopiga wimbo mmoja tu!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Shinyanga Mjini)
za siku mzeee
 
Ni vigumu sana kwa jiwe kujifunza.
Magufuli sio wa mtu wa kujifunza kwa yeyote na hata yeye mwenyewe.

Che Nkapa ndie aliyemfikisha hapo. Angeweza kujifunza kwake akiwa nae au hata baadae kusikiliza mawaidha/wasia wa kitabu chake.
Lakini anajisikiliza mwenyewe kama kwenye swala la korosho, na baya zaidi, makosa yaleyale aliyoyafanya mlezi wake, yeye ndio anayarudia TENA kwa kiburi zaidi.

Magufuli sio kiongozi bora.
 
Mwaka huu, CHADEMA wana mgombea (Tundu Lissu) anayejua kusema, kusimanga, kunanga, kujenga hoja, kukera, kutangaza sera, kushawishi na kutupa vijembe. Mwaka huu makombora yanaelekezwa kwa Dkt. Magufuli, mgombea wa CCM. Yanaelekezwa kwake kwakuwa kwa miaka yote mitano ya awamu yake, ni yeye tu ndiye aliyekuwa akitajwa kwenye kila jambo linalohusu Serikali. Sifa zote alipewa yeye. Sasa apokee na kukosolewa yeye mwenyewe.

Hah Hah umeongea kwa hekima kubwa. Hakuna jinsi aliaswa na Mkapa kuhusu kuruhusu siasa za umimi na akatakiwa akatae kujitwika sifa zote, hivyo mgombea wa CCM awe na uvumilivu wa kisiasa kuwa kila kitu kikiwa kinaelekezwa Kwake badala ya chama cha CCM katika uchaguzi 2020 .
 
KAGERA WANA JAMBO LAO, TULIENI SINDANO ZIWAINGIE.
FB_IMG_1600032516842.jpg
 
Mwaka 2015, aliyekuwa Mgombea wa Urais wa CHADEMA Edward Lowassa aliteseka sana. Alisemwa vibaya, alikejeliwa, alidhihakiwa, 'alitukanwa' alidhalilishwa na kutwezwa vya kutosha na kutisha. Lowassa alikosa ushawishi katika jukwaa la kampeni. Alikosa maneno ya kuongea. Aliishia kupata kigugumizi na kutoa salamu ya CHADEMA tu. Watu walijaa kwenye mikutano yake lakini hakuwa na cha kuwaambia kilichowavutia. Ulikuwa mwaka wake!

Mwaka huu, CHADEMA wana mgombea (Tundu Lissu) anayejua kusema, kusimanga, kunanga, kujenga hoja, kukera, kutangaza sera, kushawishi na kutupa vijembe. Mwaka huu makombora yanaelekezwa kwa Dkt. Magufuli, mgombea wa CCM. Yanaelekezwa kwake kwakuwa kwa miaka yote mitano ya awamu yake, ni yeye tu ndiye aliyekuwa akitajwa kwenye kila jambo linalohusu Serikali. Sifa zote alipewa yeye. Sasa apokee na kukosolewa yeye mwenyewe.

Mwaka huu, kwa nilivyomfuatilia, Dkt. Magufuli ameishiwa cha kuzungumza. Ameishiwa hoja. Hana jipya kwenye kampeni zake. Sasa imebaki 'kukopi' na 'kupesti' kutoka kwa Lissu. Mfano, jana tu ameahidi Bima ya Afya kwa kila mtanzania. Ni ahadi na sera ya Lissu tangu mwanzo. Nani kampa Dkt. Magufuli sera hii ya kuiga? Nasema, Dkt. Magufuli aseme mambo mapya; si abaki na yale yale na kuyasema vilevile.

Aseme alichoahidi mwaka 2015; alichofanikiwa na alichoshindwa. Halafu, aseme atawezaje kutimiza kile alichoshindwa. Wakati huohuo, avumilie 'madongo' ya mpnzani wake uchaguzini Lissu na kujibu kwa kutulia. Ajibu kwa kueleweka. Ajibu kwa hoja za haja. Mwaka huu ni mwaka wake, ni zamu yake katika kukosa cha kushawishi ingawa umati wa wananchi 'hukusanywa' na 'kuandaliwa' kutoa tafsiri ya kukubalika kwake.

Abadili santuri. Hakuna kipindi redioni au runingani kinachopiga wimbo mmoja tu!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Shinyanga Mjini)
Kiukweli Magufuli hawezi kupata zaidi ya 30% ya kura za U-Rais japo kwenye wabunge CCM yaweza kufikia 60%+. Wabunge wenyewe wanachaguliwa na kukubalika kibinafsi na wale waliolazimisha wapite bila kupingwa lakini Magufuli HAPANA. Najuwa vyombo vya dola hasa TISS vitakuwa vinamuambia ukweli. Kwa namna alivyoharibu kila sekta Watanzania wanataka mtu mwingine haijalishi anatoka wapi lakini siyo Magufuli.

Alichoharibu ni kulazimisha CCM ipendwe kupitia Polisi na vyombo vya habari ambavyo haruhusu viandike habari ya kukosoa. TISS wawe wa kweli kwa Magufuli wasimdanganye wamwambie kabisa kuwa HAPENDWI
 
WaTz walilia kwenye mioyo yao miaka mitano umewatesa kaah Haya ni matokeo mioyo iliyobeba machozi leo wanakutumia ujumbe sasa basi!
 
Ni mtazamo wako tu!

Muhimu baada ya uchaguzi hakuna siasa , ni kazi tu
 
Kujenga uwanja wa ndege kijijini kwake chato na uwanja huo unatua ndege moja kwa mwaka tena ya kwake tuu wakati pesa za walipa kodi za kina mama ntilie wamachinga na wengine zikijenga uwanja ule pesa zaidi ya tirioni 1.5 zimetumika

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Wahenga walinena Nyani hucheka kundule. Hii inakugusa wewe na wote wanaodhihaki ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato, ambacho matumizi yake ni ya kitaifa.

Kwenye kampeni za huyo mgombea anayedhihaki mgombea mwenzake anatembeza bakuri la ombaomba baada ya viongozi wenzake kutafuna ruzuku. Isitoshe huyo huyo mgombea anatoa ahadi za kutokutoza kodi, lakini kwenye kampeni anatembeza bakuri. Je, viongozi wa aina hiyo ni wa kukabidhiwa HAZINA ya Taifa? VIOJA tupu.
 
ilifika hatua mataga wakatangaza live kuwa yule mzee ameharisha jukwaani 🤣

Uvumilivu ni muhimu jamani, leo kwangu kesho kwako.
 
Waliomshauri aongee peke yake kwa miaka mitano hawakufikiri vizuri, haya ndio madhara sasa...alishaongea akamaliza, hoja zingine angeishazijibu kitambo.

Wenzie ndio kwanza wanaanza, hana kipya anaishia kujibu mashambulizi tu!
Kwa hiyo Tundu Lisu anaweza kupata hata kura milioni mbili?
 
Kiukweli Magufuli hawezi kupata zaidi ya 30% ya kura za U-Rais japo kwenye wabunge CCM yaweza kufikia 60%+. Wabunge wenyewe wanachaguliwa na kukubalika kibinafsi na wale waliolazimisha wapite bila kupingwa lakini Magufuli HAPANA. Najuwa vyombo vya dola hasa TISS vitakuwa vinamuambia ukweli. Kwa namna alivyoharibu kila sekta Watanzania wanataka mtu mwingine haijalishi anatoka wapi lakini siyo Magufuli.

Alichoharibu ni kulazimisha CCM ipendwe kupitia Polisi na vyombo vya habari ambavyo haruhusu viandike habari ya kukosoa. TISS wawe wa kweli kwa Magufuli wasimdanganye wamwambie kabisa kuwa HAPENDWI
Kwa kweli kama mitandao ndio inapiga kura sawa, lakini kihuhalisia Mgombea wenu anaishia kupiga kelele tu Hakuna anayemjali bali wajinga wachache humu mitandaoni, subiri sanduku la kura ndio utaijua Tanzania, kama ahuamini kawaulize wajumbe.
 
Back
Top Bottom