Dkt. Magufuli kwaheri, ulistahili kuwa Rais wa Dunia

Hayati Magufuli alikuwa mzalendo na anayejua nini maana ya uongozi Magufuli alitamani watanzania woote tuwe wazalendo na ndiyo maana hakutaka kuongeza mishahara ili fedha zitumike kujenga nchi.

Ukiachilia mbali yeye kuwa Rais ila alijiweka kama mwananchi wa kawaida hakupenda kujimwambafai kwakifupi alikua karibu na wananchi, Hayati Magufuli alikua ni great thinker mtu mwenye utambuzi na mwenye maono.

Alitamani kila Mtanzania anufaike na rasilimali ya taifa letu ndiyo maana alipambana na mabepari na wakoloni weusi, magufuli alikua mchamungu sana na hakua mbaguzi hakua mdini.

Hakika kuna mengi aliyafanya na angeendelea kuwepo hakika angetufikisha nchi ya Ahadi.
takataka.
giphy.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah, kazi ya miili kwenye viroba kule pwani haikuwa ya kitoto - huyu alistahili hata kuiongoza Marekani na Ulaya yoote. Mwendazake alikuwa na sifa kubwa ya kipekee duniani ya kupoteza watu!! yaani mtu hafi ila anatoweka.
Una uhakika ni yeye alikuwa anafanya hivyo?.
 
Title ya thread yako ingebaki tu "Dkt. Magufuli kwaheri" ungeonekana wa maana.Hayo maneno ulitomalizia nayo ndio yamekufanye uonekane kilaza mbele ya halaiki
 
Kwa ufupi qualities za mtendaji na kiongozi ni tofauti..., baadhi ya qualities za a good leader ni zifuatazo, (angalia mwenyewe Magufuli alikuwa nazo ngapi);

  • Integrity
  • Ability to delegate
  • Communication
  • Self-awareness
  • Gratitude
  • Learning agility
  • Influence
  • Empathy
  • Courage
  • Respect
Mkuu sikia nikujuze kitu nchi yeyote ambayo inahitaji kudevelop kiuchumi hizo ulizowek mzee ziliwekwa ziwe kikwazo kwa nchi zinazoendelea ili iwe ngumu kufikiaa hayo fuatilia historia ya Marekani hizo zimeundwa baada ya kuendelea na kuwek hiv kile kilichopo kieendelee kukua sawa kuiga igaa muache
 
Hayati Magufuli alikuwa mzalendo na anayejua nini maana ya uongozi Magufuli alitamani watanzania woote tuwe wazalendo na ndiyo maana hakutaka kuongeza mishahara ili fedha zitumike kujenga nchi.

Ukiachilia mbali yeye kuwa Rais ila alijiweka kama mwananchi wa kawaida hakupenda kujimwambafai kwakifupi alikua karibu na wananchi, Hayati Magufuli alikua ni great thinker mtu mwenye utambuzi na mwenye maono.

Alitamani kila Mtanzania anufaike na rasilimali ya taifa letu ndiyo maana alipambana na mabepari na wakoloni weusi, magufuli alikua mchamungu sana na hakua mbaguzi hakua mdini.

Hakika kuna mengi aliyafanya na angeendelea kuwepo hakika angetufikisha nchi ya Ahadi.
takataka.
giphy.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayati Magufuli alikuwa mzalendo na anayejua nini maana ya uongozi Magufuli alitamani watanzania woote tuwe wazalendo na ndiyo maana hakutaka kuongeza mishahara ili fedha zitumike kujenga nchi.

Ukiachilia mbali yeye kuwa Rais ila alijiweka kama mwananchi wa kawaida hakupenda kujimwambafai kwakifupi alikua karibu na wananchi, Hayati Magufuli alikua ni great thinker mtu mwenye utambuzi na mwenye maono.

Alitamani kila Mtanzania anufaike na rasilimali ya taifa letu ndiyo maana alipambana na mabepari na wakoloni weusi, magufuli alikua mchamungu sana na hakua mbaguzi hakua mdini.

Hakika kuna mengi aliyafanya na angeendelea kuwepo hakika angetufikisha nchi ya Ahadi.

Yaani dunia iongozwe na Sadist kabisa!!
 
Mkuu sikia nikujuze kitu nchi yeyote ambayo inahitaji kudevelop kiuchumi hizo ulizowek mzee ziliwekwa ziwe kikwazo kwa nchi zinazoendelea ili iwe ngumu kufikiaa hayo fuatilia historia ya Marekani hizo zimeundwa baada ya kuendelea na kuwek hiv kile kilichopo kieendelee kukua sawa kuiga igaa muache
Rais ni Mtendaji ?
 
Back
Top Bottom