mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,848
- 3,483
huyu ni rashidi mingine na Don namilson mwingine
..fujo wakuzifanya nyie wa kushindwa...mmekosa hoja mmembaki na viroja vya vibaraka wa mabeberu...wakati mnaowaita mabeberu ndio wanaowapa pesa za kuiba na kujitapa mmefanya mengi...hata mabenki mnakokopa pesa ndio hao mnaowaita mabeberu....siku mtaiba kura hao hao mnaowaita mabeberu ndio watawapiga pini.....maana ndio wanaowalisha.....
DuuuuHaitawasaidia. Namba 1 ingekuwa ni vyama vinavyoanza na A lakini Tume imeshinikizwa kuweka CCM kwanza! Na kuweka C nyingine mwisho kabisa (CHADEMA)! Haki iko wapi?
We kama mimi tu aisee hata liwe mwishoMm nitapiga tiki palipoandika Tundu Lissu tu.
Sitaki kusikia ushauri wa yeyote yule hata awe mke wangu anayenipa papuchi.
Swali la kijinga. Kwa hiyo hapa kwenye karatasi za kura tunapigia kura uchumi wa vyama. Kum wewe.
hata ukitukana, haisaidii chochote ndo ivo sasa ccm inakaa juu kabsa chadema mwisho wa karatasi, ingekua nna mamalaka ningesema hapo kwa chadema fanya kama wino unaishia ivi, mtafanya nn sasa!!
Mdeee atoshaHuu ni mti wa mninga, Mdee ndio atapigwa Makonde alegee, tukutane hapa mwezi wa 11 mwanzoni tuambiene nani kalegea
Binasi naona katika huo mpangilio, Tume umetenda haki. Kilichofanywa na Tume ni kuwapanga washindani Wakuu katika hali ambayo ni rahisi kuonekana. Kama CCM ingekaa mwanzo, halafu CDM iwe katikati au hata namba 2, ingekuwa vigumu kuonekana . Lakini sasa kila chama kinaonekana kwa urahisi, kazi ni kwenu wapamba kutoa elimu na kuwaelekeza wapiga kura.Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema jina lake na la Mama Samia lipo juu katika karatasi za kupigia kura hivyo wananchi wasihangaike kuangalia kwingine
Amesema, "Wewe angalia juu utalikuta jina la John Pombe Joseph Magufuli, utalikuta la Mama Samia Suhulu, utakuta na box la kuweka 'tick'. Wewe weka 'tick' kunja karatasi lako, dumbukiza kwenye box nenda ukampumzike nyumbani"
Katika mkutano wa kampeni uliofanyika Korogwe Mkoani Tanga, Dkt. Magufuli amewaambia wananchi wasihangaike kuangalia kwengine kwasababu wale hawawahusu
Amewaelekza wananchi kuwa, wakati wa Uchaguzi ni wakati wa kuamua kama wanataka maendeleo au 'blah blah'
Yaani ccm wasipore kura..nyie followers mko mjini ama vijijini.....by the way kushinda ccm mtapora kura kama mlivyopanga...maana kushinda kwenye sanduku la kura hamtoweza asilani....ila mjue uporaji wenu wa safari hii utakua mgumu mno na dunia nzima itajua hili....na utawala wenu baada ya hapo utakuwa wa kilio kikuu...mtapigwa pini na dunia nzima....na ikiisha miaka mitano yenu ya kiporaji jamaa ataondoka madarakani na ccm yake....na labda..labda ataishia the hague....nasema leo....utanikumbuka baada ya miaka mitano ijayo....kama mtapora kura....kama msipopora mtaondoka wiki ijayo....
Magufuli amelegea mpaka anaomba kusuguliwa na Sugu.
Ondoa hofu Mkuu. Wapiga kura wengi wanaona na wanajua kusoma na kuandika. Watampigia wanaemtaka. Tundu Antipas LissuHaitawasaidia. Namba 1 ingekuwa ni vyama vinavyoanza na A lakini Tume imeshinikizwa kuweka CCM kwanza! Na kuweka C nyingine mwisho kabisa (CHADEMA)! Haki iko wapi?
Wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho wa kwanza, mbinu yako na NECCCM tunaijuaMgombea Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema jina lake na la Mama Samia lipo juu katika karatasi za kupigia kura hivyo wananchi wasihangaike kuangalia kwingine
Amesema, "Wewe angalia juu utalikuta jina la John Pombe Joseph Magufuli, utalikuta la Mama Samia Suhulu, utakuta na box la kuweka 'tick'. Wewe weka 'tick' kunja karatasi lako, dumbukiza kwenye box nenda ukampumzike nyumbani"
Katika mkutano wa kampeni uliofanyika Korogwe Mkoani Tanga, Dkt. Magufuli amewaambia wananchi wasihangaike kuangalia kwengine kwasababu wale hawawahusu
Amewaelekza wananchi kuwa, wakati wa Uchaguzi ni wakati wa kuamua kama wanataka maendeleo au 'blah blah'
Mungu hapangiwi tumshukuru kwa kila jamboHaitawasaidia. Namba 1 ingekuwa ni vyama vinavyoanza na A lakini Tume imeshinikizwa kuweka CCM kwanza! Na kuweka C nyingine mwisho kabisa (CHADEMA)! Haki iko wapi?
Cheo kidogo tu unanunua phdMgombea Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema jina lake na la Mama Samia lipo juu katika karatasi za kupigia kura hivyo wananchi wasihangaike kuangalia kwingine
Amesema, "Wewe angalia juu utalikuta jina la John Pombe Joseph Magufuli, utalikuta la Mama Samia Suhulu, utakuta na box la kuweka 'tick'. Wewe weka 'tick' kunja karatasi lako, dumbukiza kwenye box nenda ukampumzike nyumbani"
Katika mkutano wa kampeni uliofanyika Korogwe Mkoani Tanga, Dkt. Magufuli amewaambia wananchi wasihangaike kuangalia kwengine kwasababu wale hawawahusu
Amewaelekza wananchi kuwa, wakati wa Uchaguzi ni wakati wa kuamua kama wanataka maendeleo au 'blah blah'
Tunamtaka aliyeko wa mwisho maana maandiko yanasema wa kwanza atakuwa wa meishoMgombea Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema jina lake na la Mama Samia lipo juu katika karatasi za kupigia kura hivyo wananchi wasihangaike kuangalia kwingine