Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Jina Langu Lipo Namba Moja, Usihangaike Kuangalia Kwingine

Haitawasaidia. Namba 1 ingekuwa ni vyama vinavyoanza na A lakini Tume imeshinikizwa kuweka CCM kwanza! Na kuweka C nyingine mwisho kabisa (CHADEMA)! Haki iko wapi?
Huenda walizingatia uteuzi maana katika uteuzi Lissu alikuwa wa mwisho
 
Haitawasaidia. Namba 1 ingekuwa ni vyama vinavyoanza na A lakini Tume imeshinikizwa kuweka CCM kwanza! Na kuweka C nyingine mwisho kabisa (CHADEMA)! Haki iko wapi?
Sio hoja kaka, kama mtu anajua kusoma na kuandika chama hata kikae mwisho atachagua chama na kiongozi anaemtaka
 
Acha kutetea ufara. CHADEMA waliomba kuteuliwa wa mwisho? Kanuni zote za usawa duniani zinatumia alphabet. Hata nchi za Africa zikiandikwa inaanza Algeria na Angola halafu wanamalizi Zambia na Zimbabwe. Ndivyo kanuni inavyotaka hivyo.
Huenda walizingatia uteuzi maana katika uteuzi Lissu alikuwa wa mwisho
 
Tundu Lissu jina lake ni la kwanza pia kuanzia chini....rahisi sana kuliona. Mwambie Magu atulie kwanza tunapewa darasa la mpiga kura. Sisi tukishapiga kura tunahesabu miguu 100 kutoka mahali nilipoweka kura yangu napiga kambi hapo mpaka kituo kitoe matokeo...
 
Huyo Bibi Atakae Mpigia kura Tundu Lissu Nani mkuu ?
Ninyi wengi Mnamjua Tundu Lissu ikiwemo na hawa watu Robert Amsterdam, Jeffrey Smith, Pompoe, Maria Salungi Nk Ndio Maana mnawez kumuelezea vizuri Tundu Lissu

Watu wa Vijijini hawamjui Tundu Lissu wanamskia skia tuu juu juu
Lakini ukisema MAKUFULI hakuna asie Mjua Mzee
Kwanini wasimjue mtu aliewapa ahadi feki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anabebwa mpaka na karatasi ya kupiga kura!
1583840766_1583840766-picsay.jpg
 
Hahahh
Kushoto kulia, kushoto kulia
Wapo wanaopinga jitihada zako
Wanaona Aibu wanaogopa, wanaogopa

Sina Chama Lakini Nampa MAGUFULI
Siwezi kumpa Mtu kula akaweke rehani Madini Yetu
Mpaka leo sijajua hao wazungu wanakazi nayo vipi hayo madini yenu..
Nipe somo mkuu
 
Karatasi ya kura ili iwe fair ilitakiwa ziwe randomly printed, yaani karatasi hii chama flani kipo juu, karatasi nyingine chama kingine kipo juu, completely random. Kuweka mtu moja juu ukimpa bibi kachoka anafungua karatasi anaweka tiki moja anaondoka unahisi ataweka chini kabisa au juu?
Unajuwa kura za maoni CCM kulikuwa na wagombea zaidi ya 70 kwa jimbo moja?

Bado wajumbe walitembeza spana na kuwapigia wagombea wanaowataka.

Hakuna tatizo katika hilo, tutawafundisha adabu kwamba mwaka huu mbio za ushirikina wa kukimbiza mwenge hazijafanyika, watu wapo na akili zao timamu.

Kwenye kituo cha kupiga kura majina ya wapiga kura yanabandikwa mengi na tunayaona majina yetu, ukiingia chumba cha kupigia kura jina lako lazima litafutwe kwenye daftari mpaka kionekane ndio upewe karatasi za kupiga kura then wewe ati ndio ushindwe kumuangalia mgombea unayemtaka yuko wapi na upige namba moja?

Ukiwa mtu wa hovyo kiasi hicho unapaswa kuwa wodi ya vichaa kupata matibabu.
 
Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema jina lake na la Mama Samia lipo juu katika karatasi za kupigia kura hivyo wananchi wasihangaike kuangalia kwingine

Amesema, "Wewe angalia juu utalikuta jina la John Pombe Joseph Magufuli, utalikuta la Mama Samia Suhulu, utakuta na box la kuweka 'tick'. Wewe weka 'tick' kunja karatasi lako, dumbukiza kwenye box nenda ukampumzike nyumbani"

Katika mkutano wa kampeni uliofanyika Korogwe Mkoani Tanga, Dkt. Magufuli amewaambia wananchi wasihangaike kuangalia kwengine kwasababu wale hawawahusu

Amewaelekza wananchi kuwa, wakati wa Uchaguzi ni wakati wa kuamua kama wanataka maendeleo au 'blah blah'
Wa Kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza, hii ni kanuni ya kibiblia.

Wanawajaribu kama hizo shule za kata mnazopeleka watoto wanajifunza hata kujuwa kusoma na kuandika?
 
...Lissu nae aanze kuhamasisha umma uweke tiki majina ya mwisho chini kabisa ya karatasi,...maana hili nalo ni rahisi sana kuona.........kila mbinu ya NEC na maccm itakwama..........hata biblia ilisema wa kwanza atakua wa mwisho..na wa mwisho atakuawa kwanza....huu uhalisia utajitokeza kwa lissu...kama muujiza wake wa kupona risasi 16...
 
Mimi ni mtumishi wa umma. Kura yangu siwezi kuipeleka kwa kiongozi dhalimu aliyenitesa kwa miaka mitano.

Nasema hadharani kwamba nitamchagua Tundu Lissu kwa maendeleo ya kweli.

Huyo dikteta akalime nyanya chungu huko Geita.
Magufuli miaka mingine mitano unapoteza akili zako bure maana TL anadai anaiweka nchi rehani.
 
Hahahh
Kushoto kulia, kushoto kulia
Wapo wanaopinga jitihada zako
Wanaona Aibu wanaogopa, wanaogopa

Sina Chama Lakini Nampa MAGUFULI
Siwezi kumpa Mtu kula akaweke rehani Madini Yetu
Sawa Kula mpe JPM, ila kura mpe Lissu sawa bwashee
 
Hahahh
Kushoto kulia, kushoto kulia
Wapo wanaopinga jitihada zako
Wanaona Aibu wanaogopa, wanaogopa

Sina Chama Lakini Nampa MAGUFULI
Siwezi kumpa Mtu kula akaweke rehani Madini Yetu
Kwani sasa madini ni yenu ?!. Watu mnajisahaulisha mikataba mibovu isiyovunjika !!
 
Back
Top Bottom