Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Jina Langu Lipo Namba Moja, Usihangaike Kuangalia Kwingine

..fujo wakuzifanya nyie wa kushindwa...mmekosa hoja mmembaki na viroja vya vibaraka wa mabeberu...wakati mnaowaita mabeberu ndio wanaowapa pesa za kuiba na kujitapa mmefanya mengi...hata mabenki mnakokopa pesa ndio hao mnaowaita mabeberu....siku mtaiba kura hao hao mnaowaita mabeberu ndio watawapiga pini.....maana ndio wanaowalisha.....

sasa umeongea nn apa, we ushawahi skia ccm inawapa pointi beberu, yaani kila sehem lissu akienda utaskia dunia inaona 😂😂😂😂, anasubiria beberu zimsaidie,hakuna nchi inaweza kutufanya chochote hata tukiamua uchaguzi tunaipiga upside down kama zanzibar!! yaaani hakuna wa kutufanya kitu, mkalamike kokote mnapotaka
 
Haitawasaidia. Namba 1 ingekuwa ni vyama vinavyoanza na A lakini Tume imeshinikizwa kuweka CCM kwanza! Na kuweka C nyingine mwisho kabisa (CHADEMA)! Haki iko wapi?
Duuuu
Nyie kwa kulialia. Kwa hiyo Magufuri atashinda kwa sababu NEC imekweka namba moja!!

Kateni rufaa NEC mapema
 
ukisikia nyuma geuka,wa mwisho kuwa wa kwanza na wa kwanza kuwa wa mwisho usishangae
 
Wa kwanza atakuwa wa mwisho,wa mwisho atakuwa wa kwanza ndio maandiko yanasema
 
Swali la kijinga. Kwa hiyo hapa kwenye karatasi za kura tunapigia kura uchumi wa vyama. Kum wewe.

hata ukitukana, haisaidii chochote ndo ivo sasa ccm inakaa juu kabsa chadema mwisho wa karatasi, ingekua nna mamalaka ningesema hapo kwa chadema fanya kama wino unaishia ivi, mtafanya nn sasa!!
 
Umepata kura JPM,tutakuchagua usiwe na shaka.tangaza kabisa siku yakuapishwa wamikoani tuje mapema kushuhudia mwamba wa Tanzania akiapishwa.
 
Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema jina lake na la Mama Samia lipo juu katika karatasi za kupigia kura hivyo wananchi wasihangaike kuangalia kwingine

Amesema, "Wewe angalia juu utalikuta jina la John Pombe Joseph Magufuli, utalikuta la Mama Samia Suhulu, utakuta na box la kuweka 'tick'. Wewe weka 'tick' kunja karatasi lako, dumbukiza kwenye box nenda ukampumzike nyumbani"

Katika mkutano wa kampeni uliofanyika Korogwe Mkoani Tanga, Dkt. Magufuli amewaambia wananchi wasihangaike kuangalia kwengine kwasababu wale hawawahusu

Amewaelekza wananchi kuwa, wakati wa Uchaguzi ni wakati wa kuamua kama wanataka maendeleo au 'blah blah'
Binasi naona katika huo mpangilio, Tume umetenda haki. Kilichofanywa na Tume ni kuwapanga washindani Wakuu katika hali ambayo ni rahisi kuonekana. Kama CCM ingekaa mwanzo, halafu CDM iwe katikati au hata namba 2, ingekuwa vigumu kuonekana . Lakini sasa kila chama kinaonekana kwa urahisi, kazi ni kwenu wapamba kutoa elimu na kuwaelekeza wapiga kura.
 
..nyie followers mko mjini ama vijijini.....by the way kushinda ccm mtapora kura kama mlivyopanga...maana kushinda kwenye sanduku la kura hamtoweza asilani....ila mjue uporaji wenu wa safari hii utakua mgumu mno na dunia nzima itajua hili....na utawala wenu baada ya hapo utakuwa wa kilio kikuu...mtapigwa pini na dunia nzima....na ikiisha miaka mitano yenu ya kiporaji jamaa ataondoka madarakani na ccm yake....na labda..labda ataishia the hague....nasema leo....utanikumbuka baada ya miaka mitano ijayo....kama mtapora kura....kama msipopora mtaondoka wiki ijayo....
Yaani ccm wasipore kura
Huo utani sasa

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Magufuli amelegea mpaka anaomba kusuguliwa na Sugu.

hahaha mbeya ndo basi tena, jamaa aliingia wakapiga deki lami, saaahv yuko kilimanjaro once upon at time ilikua ngombe ya chadema pamoja na arusha ila kwa yale mapokezi, hmmm sisemi mengi
 
Watanzania tunajivunia kuwa na kiongozi Bora na jasiri. JPM mitano tena!
 
Haitawasaidia. Namba 1 ingekuwa ni vyama vinavyoanza na A lakini Tume imeshinikizwa kuweka CCM kwanza! Na kuweka C nyingine mwisho kabisa (CHADEMA)! Haki iko wapi?
Ondoa hofu Mkuu. Wapiga kura wengi wanaona na wanajua kusoma na kuandika. Watampigia wanaemtaka. Tundu Antipas Lissu
 
Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema jina lake na la Mama Samia lipo juu katika karatasi za kupigia kura hivyo wananchi wasihangaike kuangalia kwingine

Amesema, "Wewe angalia juu utalikuta jina la John Pombe Joseph Magufuli, utalikuta la Mama Samia Suhulu, utakuta na box la kuweka 'tick'. Wewe weka 'tick' kunja karatasi lako, dumbukiza kwenye box nenda ukampumzike nyumbani"

Katika mkutano wa kampeni uliofanyika Korogwe Mkoani Tanga, Dkt. Magufuli amewaambia wananchi wasihangaike kuangalia kwengine kwasababu wale hawawahusu

Amewaelekza wananchi kuwa, wakati wa Uchaguzi ni wakati wa kuamua kama wanataka maendeleo au 'blah blah'
Wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho wa kwanza, mbinu yako na NECCCM tunaijua
 
Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema jina lake na la Mama Samia lipo juu katika karatasi za kupigia kura hivyo wananchi wasihangaike kuangalia kwingine

Amesema, "Wewe angalia juu utalikuta jina la John Pombe Joseph Magufuli, utalikuta la Mama Samia Suhulu, utakuta na box la kuweka 'tick'. Wewe weka 'tick' kunja karatasi lako, dumbukiza kwenye box nenda ukampumzike nyumbani"

Katika mkutano wa kampeni uliofanyika Korogwe Mkoani Tanga, Dkt. Magufuli amewaambia wananchi wasihangaike kuangalia kwengine kwasababu wale hawawahusu

Amewaelekza wananchi kuwa, wakati wa Uchaguzi ni wakati wa kuamua kama wanataka maendeleo au 'blah blah'
Cheo kidogo tu unanunua phd
 
Tunamtaka aliyeko wa mwisho maana maandiko yanasema wa kwanza atakuwa wa meisho

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom