Dkt. Magufuli akubali yaishe maisha yaendelee

Wanajamii amani iwe kwenu,
Mtakumbuka mara baada ya uchaguzi mkuu na kuanza rasmi kwa majukumu ya serikali ya tano ya hapa kazi tu, Raisi Magufuli alijiaminisha yafutayo:
1 . Yeye ndiye Raisi bora kuwahi kutokea Tanzania na Africa kwa ujumla.
2 . Angeweza kuufuta Upinzania wa Tanzania kabla ya mwaka 2020 .
3 . Bajeti ya Tanzania (master budget) ingeweza kuendeshwa kwa pato la ndani pekee.
4 . Watanzania wa sasa ni wale wa enzi za Mwl Julius Nyerere na Mzee Mfaume Kawawa
5 . Wana- CCM wa leo ni wale wa miaka ya TANU na Afro Shirazi Part (ASP)
.
Nafafanua:
YEYE NI RAISI BORA KUWAHI KUTOKEA TANZANIA NA AFRICA KWA UJUMLA.
Tuanze kwa kutazama Sifa za ndani (inborn) za kiongozi bora,
a) Stable brain----Smart leader must have a stable brain and shall not have a moving brain.
Kiongozi mzuri hapashwi kuwa na ubongo unaotembea na mwili (Bioview)
b) Dialogist ----- Smart leader is conversational in nature (Mtu wa mijadala kwa asili)
c) Bihemisphere - Smart leader must be multitasking (Mtu wa kufanya mengi kwa ufanisi)
d) Flexibility --- Smart leader shall not be dormant ( Anafanya yale anayoshauriwa na wengi)
e) Introvert ------Smart leader must be an extrovert Asiwe ni mtu wa kujifikiria yeye
na watu wake (Gangstor) lazima afijirie juu ya wenzake zaidi.

Je ukifanya ”a comparative analysis” Dk Magufuli anasifa gani kati ya hizo? Mimi sitaki Majibu kwa sasa, Tabia hizi mtu anazaliwa nazo na si rahisi kuzibadili au kuziondoa kwa muhusika.
WAZO LA KUUFUTA UPINZANIA WA TANZANIA KABLA YA MWAKA 2020:
Upinzani si mtu flani wala chama flani “ Upinzani ni fikra” Tatizo lake anaamini upinzani ni Freeman Mbowe, Prof Lipumba au Maalimu Seif , Tena Dk Magufuli anaamini eti ataumaliza upinzani hizi ni ndoto tena za mchana kweupe tena huotwa na wapuuzi tu.
Wenye fikra za upinzani wako CCM, JWTZ, TISS, MT, PT, hata Ikulu ya Tanzania wapinzani wako, wako kwenye kila idara ya serikali.
Nawala si ajabu kuna watu wako CHADEMA, CUF ,ACT-Wazalendo ila hawana fikra za Upinzani.
Kwa taarifa tu tangu Dk Magufuli aingie madarakani idadi ya watu wenye mawazo pinzani imeongeza maradufu , Maana yake upinzani umekua Tanzania bara na Visiwani.
Upinzani sio kadi za chama,wala magwanda ya kaki bali ni fikra“Ideology” Mtu anayetaka kuondoa fikra pinzani kamwe hawezi kufanikiwa kwa kumfunga Godbless Lemma (Mb) wala Peter Lijualikali(Mb) wala kwa mzuia Mzee Edward Lowassa kufanya mikutano .

BAJETI YETU (Master Budget) INAWEZA KUENDESHWA KWA PATO LA NDANI:
Bajeti iliyopita ya Dk Magufuli ndio bajeti mbaya tangu kuumbwa kwa Tanzania , Takwimu zinaonesha kati Trioni 29.5 zilizopangwa kutumika kama financial budget ya mwaka 2016/2017 ni asilimia 36.4% ilipatikana huku kwenye maendeleo ni 33% pekee ndio ilitekelezeka huku pato letu likiwa ni Trioni 12.24 sawa na 40.31% pekee.
Cha ajabu tena mwaka huu ametenga kwenye hakuna kiprolata Tsh 31.6 yaani Tr 32, Huku fedha za ndani ikiwa ni zaidi ya Tr 19 kitu ambacho hakipo na hakiwezekani . Huku akiendeleza kuagusha uchumi wetu kwa kukopa ndani zaidi ya tr 6 nakufanya deni la ndani kukaribia Tr 20. Magufuli sioni future ya hii serikali, Hapa najua wanauchumi mtanielewa vizuri.
Lazima tuwapigie magoti wazungu watusaidie na sisi tuimarishe democrasia inchini
.
WATANZANIA WA SASA SI WALE WA ENZI ZA MWL JULIUS NYERERE NA MZEE
MFAUME RASHIDI KAWAWA:

Watanzania hawa si wala wa enzi zile, lazima kama kiongozi usome alama za nyakati , Fanyia kazi mambo haya;
a) Swala la mkuu wa mkoa wa Dar-es saalam
b) Hali ngumu ya maisha kwa wananchi
c) Acha vyama vya siasa vifanye shughuli zao
d) Acha misigano na wazungu

“Msemakweli Mpenzi wa Mungu”
Tanzania is the only county we have
Umeandika mambo yenye maana sana sema wale Lumumba fc watakuja na mapovu balaa kama wamekunywa forma limao
 
Natilia Shaka Uzalendo Wako na Kiwango chako Cha Elimu na Uelewa wa Mambo Kwa Ujumla. Naomba Nikujibu Andiko Lako Kama Ifuatavyo:

Lazima tuwapigie magoti wazungu watusaidie na sisi tuimarishe democrasia inchini (Ni Nani Alikwambia Mzungu Ndio Mwalimu wa Demokrasia? Serikali Nyingi za Ulaya Sio Democratic Kama Unavyodhani, Labda Kwakua Hawatumii Polisi Kutawanya Maandamano na Kutumia Nguvu Kama Africa na Kadhalika , ndio maana mnawaona ni wana demokrasia. Nikuhakikishie, hao wazungu unao waabudu wana namna zao nyingi tu za kuminya demokrasia na uhuru wa kujieleza na ni kwa vile tu watu hamfatilii vizuri - Hivi sasa duniani hakuna nchi zenye INTRUSIVE INTELLIGENCE GATHERING LAWS kama Nchi za Ulaya etc, wametunga masheria mengi tu mapya ambayo yanaingilia sana uhuru wa watu hasa mitandaoni na wana collect personal data nyingi sanaaaaaa tena bila kutumia court warrants. Sasa sijui ni demokrasia gani unataka kujifunza kwa wazungu. Tatizo hatufikirii critically, tunasoma vitabu ambavyo content yake inaamuliwa na mzungu na mzungu ndio amekupa definition ya neno demokrasia na ndio maana wasomi wengi mnawaabudu wazungu bila kufikiria critically. Ipo mifano mingi ila kwa hapa niishie hapo.)
WATANZANIA WA SASA SI WALE WA ENZI ZA MWL JULIUS NYERERE NA MZEE
MFAUME RASHIDI KAWAWA: (Ni Kweli Ila Hili Sio Tatizo Maana the country is never static, changes are inevitable).

Watanzania hawa si wala wa enzi zile, lazima kama kiongozi usome alama za nyakati , Fanyia kazi mambo haya; (Kiongozi Kusoma Alama za Nyakati Sio Kusikiliza Kila Ushauri na Kufanyia Kazi Maoni ya Kila Anayekukosoa - RAIS TUNAYE MMOJA NA LAZIMA APEWE NAFASI YA KU GOVERN NCHI.) Hivi Rais Akisikiliza Ushauri wa Kila Mtu Ataongozaje Nchi ya Watu Milion 50? Yani Kila Mteule wa Rais Akikosolewa au Akichukiwa Basi Afukuzwe, Ikiwa Hivyo Ndivyo, Ni Nani Atasimama?????
a) Swala la mkuu wa mkoa wa Dar-es saalam (Hili Sio Kipaumbele Kwa Watanzania - Watanzania Wanataka Maendeleo na Usawa Katika Kufaidika na Rasilimali Zetu, Watanzania Hawataki UCHUMI WA NCHI UMILIKIWE NA KUTAWALIWA NA WACHACHE HUKU MAMILIONI YA WATU WAKIENDELEA NA UMASIKINI)
b) Hali ngumu ya maisha kwa wananchi (HUJAFAFANUA UGUMU WA MAISHA KATIKA ASPECT GANI ILA KUNAPOKUA NA CHANGES KATIKA ECONOMIC POLICY NI LAZIMA MADHARA YA MUDA MFUPI YAWEPO ILA IN THE LONG RUN SERA ZA JPM ZITAKUWA NA MANUFAA KWA NCHI KWA UJUMLA - TUMPE RAIS MUDA WA KUFANYA KAZI)
c) Acha vyama vya siasa vifanye shughuli zao (Hakuna Aliyevizuia na Viko Kisheria. Vyama Vya Siasa Vifanye Siasa za Kimaendeleo na Sio Siasa za KIZANDIKI NA KICHOCHEZI)
d) Acha misigano na wazungu (Hivi Akili yako iko sawa???? Mzungu ni Nani? Hakuna ALIYEGOMBANA NA MZUNGU - UNAPASWA KUTAMBUA KWAMBA SERIKALI HAITASITA KUTEKELEZA SERA ZA KIUCHUMI AMBAZO ZITAIKOMBOA TANZANIA NA KUHAKIKISHA KWAMBA RASILIMALI ZA NCHI ZINAIFAIDISHA TANZANIA KWANZA - HATUTAKUBALI UKOLONI MAMBO LEO KWA NAMNA YOYOTE ILE NA HATUTAKUBALI UNYONYAJI COME WHAT MAY!!!!!!!!) Najua Sasa Mtasema Sana Kuhusu Wazungu Maana Wameanza Kuminywa Kuhusu Madini Wanayotuibia na Hawa Watu Wana Mapesa ya Kutafuta Influence na Kutetewa - This Time HAITAWEZEKANA- WATANYOOSHWA.

Nimalizie Kwa Kukwambia Kwambaa MZUNGU HAJAWAI KUWA WA FAIDA KWA MTU MWEUSI NA HUU NDIO UKWELI - NI AFADHALI TUSHIRIKIANE NA MCHINA NA NCHI ZINGINE ZA AFRIKA KUJILETEA MANENDELEO KULIKO KUWA NA MAHUSIANO NA MZUNGU AMBAYE ANATAKA KUENDELEZA ECONOMIC SLAVERY KATIKA MATAIFA MASKINI: HATUTAKUBALI - NI AFADHALI WAONDOKE.
 
Tanzania tunao uwezo wa kukusanya hizo trillion 19 kama watu watalipa kodi....hivi hujui wanaolipa kodi hata milioni 4 hawafiki wakati Watanzania tuko Zaidi ya milioni 50?
Tunaweza kuunganisha NIDA na transactions zote zinazofanikiwa. Let taxation be small but being paid by majority of 50,000,000 in a manner that is paid willingly. If majority have bank account, be it mobile bank account, it may be used to reach all levels of population for all transactions, including assistance or taxation. With appropriate IT programs this should be possible. India has initiated measures in this direction.
 
Tanzania tunao uwezo wa kukusanya hizo trillion 19 kama watu watalipa kodi....hivi hujui wanaolipa kodi hata milioni 4 hawafiki wakati Watanzania tuko Zaidi ya milioni 50?
Watu walipe kodi kwa kitu gani wanachoingiza?sekta zinazochukua watu mengi sio rasmi, mf mama lishe,machinga na wakwangua ardhi sijui ndio mnawaita wakulima.Wakupe kodi ipi kama sio kukamua damu kwa ng'ombe ambae hana maziwa!!Magu nchi imeinshinda
 
Wanajamii amani iwe kwenu,
Mtakumbuka mara baada ya uchaguzi mkuu na kuanza rasmi kwa majukumu ya serikali ya tano ya hapa kazi tu, Raisi Magufuli alijiaminisha yafutayo:
1 . Yeye ndiye Raisi bora kuwahi kutokea Tanzania na Africa kwa ujumla.
2 . Angeweza kuufuta Upinzania wa Tanzania kabla ya mwaka 2020 .
3 . Bajeti ya Tanzania (master budget) ingeweza kuendeshwa kwa pato la ndani pekee.
4 . Watanzania wa sasa ni wale wa enzi za Mwl Julius Nyerere na Mzee Mfaume Kawawa
5 . Wana- CCM wa leo ni wale wa miaka ya TANU na Afro Shirazi Part (ASP)
.
Nafafanua:
YEYE NI RAISI BORA KUWAHI KUTOKEA TANZANIA NA AFRICA KWA UJUMLA.
Tuanze kwa kutazama Sifa za ndani (inborn) za kiongozi bora,
a) Stable brain----Smart leader must have a stable brain and shall not have a moving brain.
Kiongozi mzuri hapashwi kuwa na ubongo unaotembea na mwili (Bioview)
b) Dialogist ----- Smart leader is conversational in nature (Mtu wa mijadala kwa asili)
c) Bihemisphere - Smart leader must be multitasking (Mtu wa kufanya mengi kwa ufanisi)
d) Flexibility --- Smart leader shall not be dormant ( Anafanya yale anayoshauriwa na wengi)
e) Introvert ------Smart leader must be an extrovert Asiwe ni mtu wa kujifikiria yeye
na watu wake (Gangstor) lazima afijirie juu ya wenzake zaidi.

Je ukifanya ”a comparative analysis” Dk Magufuli anasifa gani kati ya hizo? Mimi sitaki Majibu kwa sasa, Tabia hizi mtu anazaliwa nazo na si rahisi kuzibadili au kuziondoa kwa muhusika.
WAZO LA KUUFUTA UPINZANIA WA TANZANIA KABLA YA MWAKA 2020:
Upinzani si mtu flani wala chama flani “ Upinzani ni fikra” Tatizo lake anaamini upinzani ni Freeman Mbowe, Prof Lipumba au Maalimu Seif , Tena Dk Magufuli anaamini eti ataumaliza upinzani hizi ni ndoto tena za mchana kweupe tena huotwa na wapuuzi tu.
Wenye fikra za upinzani wako CCM, JWTZ, TISS, MT, PT, hata Ikulu ya Tanzania wapinzani wako, wako kwenye kila idara ya serikali.
Nawala si ajabu kuna watu wako CHADEMA, CUF ,ACT-Wazalendo ila hawana fikra za Upinzani.
Kwa taarifa tu tangu Dk Magufuli aingie madarakani idadi ya watu wenye mawazo pinzani imeongeza maradufu , Maana yake upinzani umekua Tanzania bara na Visiwani.
Upinzani sio kadi za chama,wala magwanda ya kaki bali ni fikra“Ideology” Mtu anayetaka kuondoa fikra pinzani kamwe hawezi kufanikiwa kwa kumfunga Godbless Lemma (Mb) wala Peter Lijualikali(Mb) wala kwa mzuia Mzee Edward Lowassa kufanya mikutano .

BAJETI YETU (Master Budget) INAWEZA KUENDESHWA KWA PATO LA NDANI:
Bajeti iliyopita ya Dk Magufuli ndio bajeti mbaya tangu kuumbwa kwa Tanzania , Takwimu zinaonesha kati Trioni 29.5 zilizopangwa kutumika kama financial budget ya mwaka 2016/2017 ni asilimia 36.4% ilipatikana huku kwenye maendeleo ni 33% pekee ndio ilitekelezeka huku pato letu likiwa ni Trioni 12.24 sawa na 40.31% pekee.
Cha ajabu tena mwaka huu ametenga kwenye hakuna kiprolata Tsh 31.6 yaani Tr 32, Huku fedha za ndani ikiwa ni zaidi ya Tr 19 kitu ambacho hakipo na hakiwezekani . Huku akiendeleza kuagusha uchumi wetu kwa kukopa ndani zaidi ya tr 6 nakufanya deni la ndani kukaribia Tr 20. Magufuli sioni future ya hii serikali, Hapa najua wanauchumi mtanielewa vizuri.
Lazima tuwapigie magoti wazungu watusaidie na sisi tuimarishe democrasia inchini
.
WATANZANIA WA SASA SI WALE WA ENZI ZA MWL JULIUS NYERERE NA MZEE
MFAUME RASHIDI KAWAWA:

Watanzania hawa si wala wa enzi zile, lazima kama kiongozi usome alama za nyakati , Fanyia kazi mambo haya;
a) Swala la mkuu wa mkoa wa Dar-es saalam
b) Hali ngumu ya maisha kwa wananchi
c) Acha vyama vya siasa vifanye shughuli zao
d) Acha misigano na wazungu

“Msemakweli Mpenzi wa Mungu”
Tanzania is the only county we have
Namsubiri kwa hamu 2020. Ntapanga mstari tangu saa 10 alfajir(Inshallah), ili nimkatie kwa nyuma.
 
TRUMPRAPA ANANYANYASA WAFANYABIASHARA MARA MANJI MARA ACACIA MARA MCHANGA,YEYE ALIKUWA WAZIRI MIAKA 20 HUO MCHANGA AMEKUJA KUUONA LEO? KWANINI AKUPELEKA HOJA BUNGENI? HUU MJI MKUBWA BWANA UNA VITUKO AKISHANGAA MWAMBIE ATALIWA MTUNGO(ATAONDOLEWA NA BUNGE).

HAKUNA WATU WA KUWAHESHIMU KAMA WAFANYABIASHARA,HAO NDIO WANASHIKILIA UCHUMI WA NCHI,UKIWASUMBUA WAKIFANYA MAAMUZI YA MWENDOKASI UNAWEZA UKAPIGISHA MWELEKA NCHI,WAFANYABIASHARA MNAKAA NAO CHINI NA KUFANYA MAKUBALIANO NA SI MATAMKO YA KWENYE TV MFANO MZURI TULIONA MLIVYOTAKA KUMFANYIA MIZENGWE DANGOTE NAONA JOTO TULIONA NDANI YA MWEZI TU CEMENT ILENDA HADI 15,000/= KWA MFUKO LAKINI BAADA YA KUMALIZANA NAE SASA MFUKO WA CEMENT NI 10,000/=,TRUMPRAPA NA BASHITE MSILETE SIASA KWENYE MAISHA YA WATU.

KAMATI YA BUNGE IUNDWE ICHUNGUZE HALI YA KIUCHUMI NCHINI ILIVYOKUWA MBAYA NA ITOE MWONGOZO KWA SERIKALI JINSI YA KUFANYA KURESCUE SITUATION....KUENDESHA NCHI INAHITAJI BUSARA NA SI KUKURUPUKA,ANGALIA MAAMUZI YAKE ALIYOYAFANYA ALIPOINGIA YALIVYOATHIRI SECTOR LUKUKI AMBAPO IMEPELEKEA MAKAMPUNI MENGI KUPUNGUZA WAFANYAKAZI,KUFUNGA BIASHARA IN RETURN SERIKALI IMEPOTEZA MAPATO MENGI AMBAYO ATHARA YAKE NI KUBWA KULIKO HUO UAMUZI WAKE,ANGEPATA WATAALAMU WANGEFANYA CHECK AND BALANCE NA WASINGEPITISHA HUO UAMUZI.
 
Kiongozi smart hatapigania kuua upinzani kwani serikali imara hutokana na upinzani imara na si vinginevyo. Mleta Uzi kunena bila kumumunya maneno.
 
Huyu nae anajiita mchambuzi.. Analysis yako iko biased. Haina upande wa pili. Hivyo unafaa kupuuzwa tu kama unafanyia siasa hadi kwenye maendeleo.
Matatizo ya Tanzania hayawezi isha hadi siku ya mwisho. Magufuli ni mpya kwenye serikali. Unaposema amekusanya tr 12 ubalinganisha na nini? Ningekuona wa maana kama ungelinganisha ni mwaka 2015/16 n 2014/2015 hapo ndo utaona kama tunapiga hatua.

Unaposema kapeleka 2.2 bil kwenye kilimo..umeona nini kimeganyika huko?
Maana unaweza ukapeleka tr1 na bado ikaishia mwenye mifuko ya wachache..tunataka utwambie pembejeo zimefika kwa wakulima ama la?
Unaposema tuwaangukie wazungu hapo ndo nakuona hamnazo kabisa. Lazima tufunge mkanda. Hatuwezi kwenda kukopa hela kwa ajili ya kununua mboga nyumbani. Maendeleo lazima mjipime kwanza. Mi nakushangaa sana sijui mawazo mengine yanatoka wapi. Nazani umeandika ukiwa chooni.

Mbona hujataja mambo mengine ya maingi aliyofanya magufuli?

Hakuna mtu anayeweza kufurahia kufa kwa upinzani lambda hajielewi. Mimi huwa sipendi kuita upinzani napenda kuita vyama mbadala..upinzania ni kujiweka kwenye kundi la kupinga kila jambo linalofanywa na serikali liwe jema ama baya..sasa inabidi tujue nini umuhimu wa vyama hivi?

Kama viongozi wa vyama vya upinzani wanamawazo kama yako basi hatuna vyama hapo..bora vife vije vipya kabisa.
Watu wenye kutoa analysis kama yako ni wa kupuuzwa haswa.
Kuangukia tena wazungu.Embu tujitahidi wenyewe tuone watanzania sio wavumilivu kabisa, kufikia maendeleo mana ya maendeleo kuna gharama za kulipia ndio kama hizi tunazopitia ..kumpokonya tonge mzungu unatakiwa ujipange sana.
 
Tatizo anajiona ana akili sana kwa phd yake yenye mashaka tena iliyoipata ud chuo hata kwenye 10 bora ya africa hakipo achilia mbali dunia.

Huyu nae anajiita mchambuzi.. Analysis yako iko biased. Haina upande wa pili. Hivyo unafaa kupuuzwa tu kama unafanyia siasa hadi kwenye maendeleo.
Matatizo ya Tanzania hayawezi isha hadi siku ya mwisho. Magufuli ni mpya kwenye serikali. Unaposema amekusanya tr 12 ubalinganisha na nini? Ningekuona wa maana kama ungelinganisha ni mwaka 2015/16 n 2014/2015 hapo ndo utaona kama tunapiga hatua.

Unaposema kapeleka 2.2 bil kwenye kilimo..umeona nini kimeganyika huko?
Maana unaweza ukapeleka tr1 na bado ikaishia mwenye mifuko ya wachache..tunataka utwambie pembejeo zimefika kwa wakulima ama la?
Unaposema tuwaangukie wazungu hapo ndo nakuona hamnazo kabisa. Lazima tufunge mkanda. Hatuwezi kwenda kukopa hela kwa ajili ya kununua mboga nyumbani. Maendeleo lazima mjipime kwanza. Mi nakushangaa sana sijui mawazo mengine yanatoka wapi. Nazani umeandika ukiwa chooni.

Mbona hujataja mambo mengine ya maingi aliyofanya magufuli?

Hakuna mtu anayeweza kufurahia kufa kwa upinzani lambda hajielewi. Mimi huwa sipendi kuita upinzani napenda kuita vyama mbadala..upinzania ni kujiweka kwenye kundi la kupinga kila jambo linalofanywa na serikali liwe jema ama baya..sasa inabidi tujue nini umuhimu wa vyama hivi?

Kama viongozi wa vyama vya upinzani wanamawazo kama yako basi hatuna vyama hapo..bora vife vije vipya kabisa.
Watu wenye kutoa analysis kama yako ni wa kupuuzwa haswa.
unalia lia nin acha ufia chama ww
 
Wewe ndio wa kupuuzwa. . . Nadhani nikupe neno moja la kukusaidia
"YOU CAN'T BUILD A PROSPERITY LONG TERM FUTURE ON SHORT TERM THINKING"
Sasa tambua hivi wewe na huyo bwana ako unaemtetea wote mna Low Thinking Level. . . Ndio maana hata hichi nnachoandika hapa hutaelewa maana una Low Thinking Level. .
 
Ningeshangaa kama nisingeona issue ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam....watanzania bwana
 
Mbona bajeti nyingi zinapangwa lakin hatujawahi sikia ni makusanyo ya ndani tu hii ndio obad get ya makufuli
 
Wanajamii amani iwe kwenu,
Mtakumbuka mara baada ya uchaguzi mkuu na kuanza rasmi kwa majukumu ya serikali ya tano ya hapa kazi tu, Raisi Magufuli alijiaminisha yafutayo:
1 . Yeye ndiye Raisi bora kuwahi kutokea Tanzania na Africa kwa ujumla.
2 . Angeweza kuufuta Upinzania wa Tanzania kabla ya mwaka 2020 .
3 . Bajeti ya Tanzania (master budget) ingeweza kuendeshwa kwa pato la ndani pekee.
4 . Watanzania wa sasa ni wale wa enzi za Mwl Julius Nyerere na Mzee Mfaume Kawawa
5 . Wana- CCM wa leo ni wale wa miaka ya TANU na Afro Shirazi Part (ASP)
.
Nafafanua:
YEYE NI RAISI BORA KUWAHI KUTOKEA TANZANIA NA AFRICA KWA UJUMLA.
Tuanze kwa kutazama Sifa za ndani (inborn) za kiongozi bora,
a) Stable brain----Smart leader must have a stable brain and shall not have a moving brain.
Kiongozi mzuri hapashwi kuwa na ubongo unaotembea na mwili (Bioview)
b) Dialogist ----- Smart leader is conversational in nature (Mtu wa mijadala kwa asili)
c) Bihemisphere - Smart leader must be multitasking (Mtu wa kufanya mengi kwa ufanisi)
d) Flexibility --- Smart leader shall not be dormant ( Anafanya yale anayoshauriwa na wengi)
e) Introvert ------Smart leader must be an extrovert Asiwe ni mtu wa kujifikiria yeye
na watu wake (Gangstor) lazima afijirie juu ya wenzake zaidi.

Je ukifanya ”a comparative analysis” Dk Magufuli anasifa gani kati ya hizo? Mimi sitaki Majibu kwa sasa, Tabia hizi mtu anazaliwa nazo na si rahisi kuzibadili au kuziondoa kwa muhusika.
WAZO LA KUUFUTA UPINZANIA WA TANZANIA KABLA YA MWAKA 2020:
Upinzani si mtu flani wala chama flani “ Upinzani ni fikra” Tatizo lake anaamini upinzani ni Freeman Mbowe, Prof Lipumba au Maalimu Seif , Tena Dk Magufuli anaamini eti ataumaliza upinzani hizi ni ndoto tena za mchana kweupe tena huotwa na wapuuzi tu.
Wenye fikra za upinzani wako CCM, JWTZ, TISS, MT, PT, hata Ikulu ya Tanzania wapinzani wako, wako kwenye kila idara ya serikali.
Nawala si ajabu kuna watu wako CHADEMA, CUF ,ACT-Wazalendo ila hawana fikra za Upinzani.
Kwa taarifa tu tangu Dk Magufuli aingie madarakani idadi ya watu wenye mawazo pinzani imeongeza maradufu , Maana yake upinzani umekua Tanzania bara na Visiwani.
Upinzani sio kadi za chama,wala magwanda ya kaki bali ni fikra“Ideology” Mtu anayetaka kuondoa fikra pinzani kamwe hawezi kufanikiwa kwa kumfunga Godbless Lemma (Mb) wala Peter Lijualikali(Mb) wala kwa mzuia Mzee Edward Lowassa kufanya mikutano .

BAJETI YETU (Master Budget) INAWEZA KUENDESHWA KWA PATO LA NDANI:
Bajeti iliyopita ya Dk Magufuli ndio bajeti mbaya tangu kuumbwa kwa Tanzania , Takwimu zinaonesha kati Trioni 29.5 zilizopangwa kutumika kama financial budget ya mwaka 2016/2017 ni asilimia 36.4% ilipatikana huku kwenye maendeleo ni 33% pekee ndio ilitekelezeka huku pato letu likiwa ni Trioni 12.24 sawa na 40.31% pekee.
Cha ajabu tena mwaka huu ametenga kwenye hakuna kiprolata Tsh 31.6 yaani Tr 32, Huku fedha za ndani ikiwa ni zaidi ya Tr 19 kitu ambacho hakipo na hakiwezekani . Huku akiendeleza kuagusha uchumi wetu kwa kukopa ndani zaidi ya tr 6 nakufanya deni la ndani kukaribia Tr 20. Magufuli sioni future ya hii serikali, Hapa najua wanauchumi mtanielewa vizuri.
Lazima tuwapigie magoti wazungu watusaidie na sisi tuimarishe democrasia inchini
.
WATANZANIA WA SASA SI WALE WA ENZI ZA MWL JULIUS NYERERE NA MZEE
MFAUME RASHIDI KAWAWA:

Watanzania hawa si wala wa enzi zile, lazima kama kiongozi usome alama za nyakati , Fanyia kazi mambo haya;
a) Swala la mkuu wa mkoa wa Dar-es saalam
b) Hali ngumu ya maisha kwa wananchi
c) Acha vyama vya siasa vifanye shughuli zao
d) Acha misigano na wazungu

“Msemakweli Mpenzi wa Mungu”
Tanzania is the only county we have
Km huna cheti hapa huwezi kuelewa
 
mwenye masikia haambiwi sikia.....hayo ni mawazo yake tena mzuri changieni kwa mifano hai sio ushabiki wa chama,,,mm naomba dual citizen ijee
 
Nia ni nzuri ila changamoto lazima ziwemo. Makosa yanasomeka na bajeti ijayo itatekelezwa vizuri. Wa tz tunajaribu kunyanyuliwa lakini hatunyanyuki
 
Tanzania tunao uwezo wa kukusanya hizo trillion 19 kama watu watalipa kodi....hivi hujui wanaolipa kodi hata milioni 4 hawafiki wakati Watanzania tuko Zaidi ya milioni 50?
Weka source ya fugures zako.
 
Mm naonelea badala ya kungangania mambo ya viwanda serikali ingetilia mkazo kilimo ambayo ndiyo sekta inayoweza kuajiri watu wengi na vilevile serikali ingeweza kumaliza tatizo la njaa

Ahahaa umenikumbusha kilimo kwanza ya mtoto wa mkulima, na Bajaji za kubeba wajawazito
 
Back
Top Bottom