Wewe inaonyesha ni kati ya zile appointments za mkulu kutoka kwenye mavyuo hasa lichuo la UDSM,,,,,, unachefua wewe sio mtoa mada,,,,,, ukweli ni uwezo wetu mdogo tunataka mambo makubwa... Trillion 12 na ushee ndio tunakusanya ndani,,, hizo Trillion 7 na ushee atatoa wapi? Pia kujishusha kwa wafadhili ni muhimu hakuna namna nyingine tunayoweza fanya kwa sasa.... Viwanda kama Arusha General Tyre,, Mufindi Paper Mills, Mwatex na vingine vingi vingeweza kufufuliwa kwa bajeti ya mwaka mmoja lkn hata hamlioni hilo,,,,, kilimo pembejeo kwa wakulima hakuna kabisa,,,,,, hivi wewe umemjibu mtoa mada unatokea wapi wewe?!!!?! Au ni bashite toka kolomije nini!? Useless kabisa........