Hili nalo nenoGood analysis, wenye vyeti tu ndio watakaoelewa.
Kwasababu uko ccm sio kosa lako akiri zako zinakuruhusuVyama vya upinzani ndio vinatucheleshea maendeleo hapa Nchini
Wewe inaonyesha ni kati ya zile appointments za mkulu kutoka kwenye mavyuo hasa lichuo la UDSM,,,,,, unachefua wewe sio mtoa mada,,,,,, ukweli ni uwezo wetu mdogo tunataka mambo makubwa... Trillion 12 na ushee ndio tunakusanya ndani,,, hizo Trillion 7 na ushee atatoa wapi? Pia kujishusha kwa wafadhili ni muhimu hakuna namna nyingine tunayoweza fanya kwa sasa.... Viwanda kama Arusha General Tyre,, Mufindi Paper Mills, Mwatex na vingine vingi vingeweza kufufuliwa kwa bajeti ya mwaka mmoja lkn hata hamlioni hilo,,,,, kilimo pembejeo kwa wakulima hakuna kabisa,,,,,, hivi wewe umemjibu mtoa mada unatokea wapi wewe?!!!?! Au ni bashite toka kolomije nini!? Useless kabisa........Huyu nae anajiita mchambuzi.. Analysis yako iko biased. Haina upande wa pili. Hivyo unafaa kupuuzwa tu kama unafanyia siasa hadi kwenye maendeleo.
Matatizo ya Tanzania hayawezi isha hadi siku ya mwisho. Magufuli ni mpya kwenye serikali. Unaposema amekusanya tr 12 ubalinganisha na nini? Ningekuona wa maana kama ungelinganisha ni mwaka 2015/16 n 2014/2015 hapo ndo utaona kama tunapiga hatua.
Unaposema kapeleka 2.2 bil kwenye kilimo..umeona nini kimeganyika huko?
Maana unaweza ukapeleka tr1 na bado ikaishia mwenye mifuko ya wachache..tunataka utwambie pembejeo zimefika kwa wakulima ama la?
Unaposema tuwaangukie wazungu hapo ndo nakuona hamnazo kabisa. Lazima tufunge mkanda. Hatuwezi kwenda kukopa hela kwa ajili ya kununua mboga nyumbani. Maendeleo lazima mjipime kwanza. Mi nakushangaa sana sijui mawazo mengine yanatoka wapi. Nazani umeandika ukiwa chooni.
Mbona hujataja mambo mengine ya maingi aliyofanya magufuli?
Hakuna mtu anayeweza kufurahia kufa kwa upinzani lambda hajielewi. Mimi huwa sipendi kuita upinzani napenda kuita vyama mbadala..upinzania ni kujiweka kwenye kundi la kupinga kila jambo linalofanywa na serikali liwe jema ama baya..sasa inabidi tujue nini umuhimu wa vyama hivi?
Kama viongozi wa vyama vya upinzani wanamawazo kama yako basi hatuna vyama hapo..bora vife vije vipya kabisa.
Watu wenye kutoa analysis kama yako ni wa kupuuzwa haswa.
Alaf trilion kadhaa kwenye bomba..dear..[emoji3][emoji3]Rais ambaye anapeleka bilioni 2.2 kwenye Kilimo ni kama vile amekusudia kuifanya Tanzania iwe Burundi.
Aisee ya maandazi kweli!Ndio vinavyopanga bajeti za maandazi?
Wakitaka walipa kodi waongezeke watoe ajira serikalini,wa wekeze kwenye sector binafsi, wawekeze kwenye kilimo..Tanzania tunao uwezo wa kukusanya hizo trillion 19 kama watu watalipa kodi....hivi hujui wanaolipa kodi hata milioni 4 hawafiki wakati Watanzania tuko Zaidi ya milioni 50?
Ukweli mwenzangu lakini kwa hao 50ml kuna wastaafu, watoto n.k. Pia ukumbuke wengi wetu hatuna ajira. Cha msingi wangetengenza hali nzuri ya wawekezaji ili kuwapa WaTz nafasi za kuinua maisha yao na hivyo kuchangia zaidi. Lakini kwa yale tumeona Mwaka mmoja na nusu ni kinyume kabisa!Tanzania tunao uwezo wa kukusanya hizo trillion 19 kama watu watalipa kodi....hivi hujui wanaolipa kodi hata milioni 4 hawafiki wakati Watanzania tuko Zaidi ya milioni 50?
Angalau mwenzako kaleta mada, kafanya uchambuzi.Kosa unalolifanya ni kuleta bhla-bhla nyingi zenye kupoteza muda wa wasomaji. Taarifa iko mwisho na hayo ya kwanza ni hadithi za kupoteza muda tu. Hapa tunaleta mada za kujadili. Usilete lecture hapa!
Unachotaka tujadili ni bajeti, basi! Unaeleza matatizo ya bajeti ya Rais, hakuna unapomtaja waziri anayehusika ambaye ndiye muongoza uchumi wa nchi. Ajabu ni yale unayoyaleta kama suluhisho la uchumi. Unataja mkuu wa mkoa, unataja vyama vya siasa, maisha magumu na hiyo misigano na wazungu. Unadhani akisharekebisha hayo uchumi utapaa? Nahisi huna uwezo wa kuleta ufumbunzi. Hapo ndo ungeleta mjadala ili tujadili badala ya kuleta suluhisho la kizembe kiasi hicho.
Naomba kuuliza hili la kuwa baadhi ya mawazo, kauli na matendo yanakuwa triggered na subconscious mind umelijua sasa au toka mwanzo...!?Mkuu Vugu Vugu thanks kwa A Good Analysis. Ila kufuatia hamasa ya rais wetu kuangalia kipindi kama cha Shilawadu then Watanzania wengi ni wafuatiliaji issues kama za Shilawadu, hivyo bandiko kama hili full packed with concrete issues, usitegemee kupata wachangiaji wengi.
Mimi nimemfanyia a simple psychoanalysis nikagundua kuna some traits of some deep rooted neurosis hivyo kuna baadhi ya mawazo, kauli na matendo yanakuwa triggered na subconscious mind. Kumlaumu ni kumuonea bure.
Paskali
Bando LA bule mnaingia mpaka Instagram wkt mmezuiwaVyama vya upinzani ndio vinatucheleshea maendeleo hapa Nchini
Ulichoandika unajianika jinsi ulivo na Low Thinking Mind. . .Natilia Shaka Uzalendo Wako na Kiwango chako Cha Elimu na Uelewa wa Mambo Kwa Ujumla. Naomba Nikujibu Andiko Lako Kama Ifuatavyo:
Lazima tuwapigie magoti wazungu watusaidie na sisi tuimarishe democrasia inchini (Ni Nani Alikwambia Mzungu Ndio Mwalimu wa Demokrasia? Serikali Nyingi za Ulaya Sio Democratic Kama Unavyodhani, Labda Kwakua Hawatumii Polisi Kutawanya Maandamano na Kutumia Nguvu Kama Africa na Kadhalika , ndio maana mnawaona ni wana demokrasia. Nikuhakikishie, hao wazungu unao waabudu wana namna zao nyingi tu za kuminya demokrasia na uhuru wa kujieleza na ni kwa vile tu watu hamfatilii vizuri - Hivi sasa duniani hakuna nchi zenye INTRUSIVE INTELLIGENCE GATHERING LAWS kama Nchi za Ulaya etc, wametunga masheria mengi tu mapya ambayo yanaingilia sana uhuru wa watu hasa mitandaoni na wana collect personal data nyingi sanaaaaaa tena bila kutumia court warrants. Sasa sijui ni demokrasia gani unataka kujifunza kwa wazungu. Tatizo hatufikirii critically, tunasoma vitabu ambavyo content yake inaamuliwa na mzungu na mzungu ndio amekupa definition ya neno demokrasia na ndio maana wasomi wengi mnawaabudu wazungu bila kufikiria critically. Ipo mifano mingi ila kwa hapa niishie hapo.)
WATANZANIA WA SASA SI WALE WA ENZI ZA MWL JULIUS NYERERE NA MZEE
MFAUME RASHIDI KAWAWA: (Ni Kweli Ila Hili Sio Tatizo Maana the country is never static, changes are inevitable).
Watanzania hawa si wala wa enzi zile, lazima kama kiongozi usome alama za nyakati , Fanyia kazi mambo haya; (Kiongozi Kusoma Alama za Nyakati Sio Kusikiliza Kila Ushauri na Kufanyia Kazi Maoni ya Kila Anayekukosoa - RAIS TUNAYE MMOJA NA LAZIMA APEWE NAFASI YA KU GOVERN NCHI.) Hivi Rais Akisikiliza Ushauri wa Kila Mtu Ataongozaje Nchi ya Watu Milion 50? Yani Kila Mteule wa Rais Akikosolewa au Akichukiwa Basi Afukuzwe, Ikiwa Hivyo Ndivyo, Ni Nani Atasimama?????
a) Swala la mkuu wa mkoa wa Dar-es saalam (Hili Sio Kipaumbele Kwa Watanzania - Watanzania Wanataka Maendeleo na Usawa Katika Kufaidika na Rasilimali Zetu, Watanzania Hawataki UCHUMI WA NCHI UMILIKIWE NA KUTAWALIWA NA WACHACHE HUKU MAMILIONI YA WATU WAKIENDELEA NA UMASIKINI)
b) Hali ngumu ya maisha kwa wananchi (HUJAFAFANUA UGUMU WA MAISHA KATIKA ASPECT GANI ILA KUNAPOKUA NA CHANGES KATIKA ECONOMIC POLICY NI LAZIMA MADHARA YA MUDA MFUPI YAWEPO ILA IN THE LONG RUN SERA ZA JPM ZITAKUWA NA MANUFAA KWA NCHI KWA UJUMLA - TUMPE RAIS MUDA WA KUFANYA KAZI)
c) Acha vyama vya siasa vifanye shughuli zao (Hakuna Aliyevizuia na Viko Kisheria. Vyama Vya Siasa Vifanye Siasa za Kimaendeleo na Sio Siasa za KIZANDIKI NA KICHOCHEZI)
d) Acha misigano na wazungu (Hivi Akili yako iko sawa???? Mzungu ni Nani? Hakuna ALIYEGOMBANA NA MZUNGU - UNAPASWA KUTAMBUA KWAMBA SERIKALI HAITASITA KUTEKELEZA SERA ZA KIUCHUMI AMBAZO ZITAIKOMBOA TANZANIA NA KUHAKIKISHA KWAMBA RASILIMALI ZA NCHI ZINAIFAIDISHA TANZANIA KWANZA - HATUTAKUBALI UKOLONI MAMBO LEO KWA NAMNA YOYOTE ILE NA HATUTAKUBALI UNYONYAJI COME WHAT MAY!!!!!!!!) Najua Sasa Mtasema Sana Kuhusu Wazungu Maana Wameanza Kuminywa Kuhusu Madini Wanayotuibia na Hawa Watu Wana Mapesa ya Kutafuta Influence na Kutetewa - This Time HAITAWEZEKANA- WATANYOOSHWA.
Nimalizie Kwa Kukwambia Kwambaa MZUNGU HAJAWAI KUWA WA FAIDA KWA MTU MWEUSI NA HUU NDIO UKWELI - NI AFADHALI TUSHIRIKIANE NA MCHINA NA NCHI ZINGINE ZA AFRIKA KUJILETEA MANENDELEO KULIKO KUWA NA MAHUSIANO NA MZUNGU AMBAYE ANATAKA KUENDELEZA ECONOMIC SLAVERY KATIKA MATAIFA MASKINI: HATUTAKUBALI - NI AFADHALI WAONDOKE.