Dkt. Magufuli akubali yaishe maisha yaendelee

Dkt. Magufuli akubali yaishe maisha yaendelee

Ndg yng bandiko lako ni zuri sana limejaa weledi wa hali ya juu ktk uchumi na suala zima la uongozi,kiukweli umepiga sehemu sahihi,mm km mmoja ya wasomi ktk taaluma hiyo ya uchumi kutoka udsm nimekuelewa vzr sana,hakuna nchi inayoweza kuendelea kwa kuwa na budget ambayo kimsingi haitekelezeki na sielewi hasa,what was actually the base for preparation of such a dubious budget? Siamini km Luna wabobezi wa uchumi wameshirikishwa ktk kutengeneza hii budget,ni mawazo ya MTU binafsi
 
Wanalipa kodi kwa biashara zipi? Unaua biashara halafu utegemee kukusanya kodi kutoka wapi? Tuna rais wa hovyo sana
Swali langu lingekuwa hilo hilo. Watu walipishwe kodi kwa kutembea au? Maana kodi zote wamelipisha ndo wamepata hizo trilioni 12
 
Rais afutilie mbali upinzani.
Ndugu yangu naona hukuelewa lengo la mtoa mada na kama umemuelewa basi una tatizo fulani. Alicholenga mtoa mada sio upinzani wa vyama bali ni UPINZANI WA FIKRA/MTIZAMO ambapo yapo kila sehemu hata magogoni mkuu.
 
umeongea ukweli, sema vijana wa team magu watakusurubu

kwanza. umemsema vibaya boss wao hujamsifia
pili. umeeleza mambo magumu kuelewa team lumumba (shemeji zake lipumba)
Nimepata msemo mpya ,lipumba ni shemeji wa Lumumba.
 
Tanzania tunao uwezo wa kukusanya hizo trillion 19 kama watu watalipa kodi....hivi hujui wanaolipa kodi hata milioni 4 hawafiki wakati Watanzania tuko Zaidi ya milioni 50?
Ni kweli Ila wengi wao ni machingaaaa
 
Huyu nae anajiita mchambuzi.. Analysis yako iko biased. Haina upande wa pili. Hivyo unafaa kupuuzwa tu kama unafanyia siasa hadi kwenye maendeleo.
Matatizo ya Tanzania hayawezi isha hadi siku ya mwisho. Magufuli ni mpya kwenye serikali. Unaposema amekusanya tr 12 ubalinganisha na nini? Ningekuona wa maana kama ungelinganisha ni mwaka 2015/16 n 2014/2015 hapo ndo utaona kama tunapiga hatua.

Unaposema kapeleka 2.2 bil kwenye kilimo..umeona nini kimeganyika huko?
Maana unaweza ukapeleka tr1 na bado ikaishia mwenye mifuko ya wachache..tunataka utwambie pembejeo zimefika kwa wakulima ama la?
Unaposema tuwaangukie wazungu hapo ndo nakuona hamnazo kabisa. Lazima tufunge mkanda. Hatuwezi kwenda kukopa hela kwa ajili ya kununua mboga nyumbani. Maendeleo lazima mjipime kwanza. Mi nakushangaa sana sijui mawazo mengine yanatoka wapi. Nazani umeandika ukiwa chooni.

Mbona hujataja mambo mengine ya maingi aliyofanya magufuli?

Hakuna mtu anayeweza kufurahia kufa kwa upinzani lambda hajielewi. Mimi huwa sipendi kuita upinzani napenda kuita vyama mbadala..upinzania ni kujiweka kwenye kundi la kupinga kila jambo linalofanywa na serikali liwe jema ama baya..sasa inabidi tujue nini umuhimu wa vyama hivi?

Kama viongozi wa vyama vya upinzani wanamawazo kama yako basi hatuna vyama hapo..bora vife vije vipya kabisa.
Watu wenye kutoa analysis kama yako ni wa kupuuzwa haswa.
Hapa yametolewa mawazo mbadala unatokwa na povu namna hiyo je ingekuwa ni vitendo si ndio ungechomoa smg kàbisa na sio kale kalichoonyeshwa yule Waziri wa zamani wa Habari Sanaa na Michezo??
 
Nimependa kwakuwa umeandika kizungu na ukatupia tafsili yake ,kwa mtindo huo lazima atakuelewa tu kuliko ungeacha kizungu pekee.
 
Hapa yametolewa mawazo mbadala unatokwa na povu namna hiyo je ingekuwa ni vitendo si ndio ugechomoa smg kàbisa na sio kale kalichoonyeshwa yule Waziri wa zamani wa Habari Sanaa na Michezo??
 
Kuna shida gani juu ya Mh. Makonda inayokusumbua unataka upate majibu? Nakuuliza kwa sababu yeye anajua hakuna tatizo, sasa wewe unalipi unataka kuzidi kumsingizia RC?

Makonda oyeeeee
 
Ili chama lazima limfie huyu Mzee.
 
Vyama vya upinzani ndio vinatucheleshea maendeleo hapa Nchini
Wakati Nyerere anaiongoza(anaitawala) Tanzania, Tanzania ilikuwa na chama kimoja tu. Je unajua hali ya uchumi ilikuwaje wakati Nyerere alipoamua yaishe na kung'atuka?

Baada ya kung'atuka alitaka Vyama vingi ( siasa za upinzani) zirudishwe ili kuchochea maendeleo. Ni ung'ang'anizi wa madaraka wa fisiem na dhana waliyoijenga kwamba upinzani ni uadui(si wazalendo) ndio kitu kinachochelewesha maendeleo kwa sababu serikali na vyombo vya dola badala ya kujikita katika kupanga mipango bora, kuitekeleza na kuleta maendeleo, wanatumia nyenzo, uwezo na nguvu nyingi kukabiliana na upinzani.

Katiba ya wananchi, tume huru ya uchaguzi na siasa za upinzani zikiachiwa zinawiri basi nchi itapiga hatua kuelekea kwenye maendeleo.

Zipo nchi zilizoona ung'ang'anizi wa madaraka unadhoofisha taifa na maendeleo, waliamua kuanzisha siasa ya ushirikishi, ikiwa ni pamoja na kuunda serikali inayoshirikisha vyama tofauti vyenye agenda za kimaendeleo na siasa zinazolingana.
 
Back
Top Bottom