uzi wa uhakikaHuu uzi ni uzi bora wa mwaka jf.
uzi wa uhakikaHuu uzi ni uzi bora wa mwaka jf.
MAGU ni mshamba sana anadhani viwanda ni kutamka tu vinakuja kumbe unatakiwa uwekeze kwenye elimu na kilimo kwanza,uwe na akili ya kibiashara kama kiongozi,uwe na hekima na kuona mbali,usiwe na roho mbaya au wivu kwa waliokuzidi na kadhalikauzi wa uhakika
mill hamsini wote wanawajibu kulipa kodi?hiyo idadi umeitoa wapi?kituko hiki.Tanzania tunao uwezo wa kukusanya hizo trillion 19 kama watu watalipa kodi....hivi hujui wanaolipa kodi hata milioni 4 hawafiki wakati Watanzania tuko Zaidi ya milioni 50?
umeongea ukweli, sema vijana wa team magu watakusurubu
kwanza. umemsema vibaya boss wao hujamsifia
pili. umeeleza mambo magumu kuelewa team lumumba (shemeji zake lipumba)
😂😂umeongea ukweli, sema vijana wa team magu watakusurubu