Vugu-Vugu
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 1,344
- 1,531
Wanajamii amani iwe kwenu,
Mtakumbuka mara baada ya uchaguzi mkuu na kuanza rasmi kwa majukumu ya serikali ya tano ya hapa kazi tu, Raisi Magufuli alijiaminisha yafutayo:
1 . Yeye ndiye Raisi bora kuwahi kutokea Tanzania na Africa kwa ujumla.
2 . Angeweza kuufuta Upinzania wa Tanzania kabla ya mwaka 2020 .
3 . Bajeti ya Tanzania (master budget) ingeweza kuendeshwa kwa pato la ndani pekee.
4 . Watanzania wa sasa ni wale wa enzi za Mwl Julius Nyerere na Mzee Mfaume Kawawa
5 . Wana- CCM wa leo ni wale wa miaka ya TANU na Afro Shirazi Part (ASP).
Nafafanua:
YEYE NI RAISI BORA KUWAHI KUTOKEA TANZANIA NA AFRICA KWA UJUMLA.
Tuanze kwa kutazama Sifa za ndani (inborn) za kiongozi bora,
a) Stable brain----Smart leader must have a stable brain and shall not have a moving brain.
Kiongozi mzuri hapashwi kuwa na ubongo unaotembea na mwili (Bioview)
b) Dialogist ----- Smart leader is conversational in nature (Mtu wa mijadala kwa asili)
c) Bihemisphere - Smart leader must be multitasking (Mtu wa kufanya mengi kwa ufanisi)
d) Flexibility --- Smart leader shall not be dormant ( Anafanya yale anayoshauriwa na wengi)
e) Introvert ------Smart leader must be an extrovert Asiwe ni mtu wa kujifikiria yeye
na watu wake (Gangstor) lazima afijirie juu ya wenzake zaidi.
Je ukifanya ”a comparative analysis” Dk Magufuli anasifa gani kati ya hizo? Mimi sitaki Majibu kwa sasa, Tabia hizi mtu anazaliwa nazo na si rahisi kuzibadili au kuziondoa kwa muhusika.
WAZO LA KUUFUTA UPINZANI WA TANZANIA KABLA YA MWAKA 2020:
Upinzani si mtu flani wala chama flani “ Upinzani ni fikra” Tatizo lake anaamini upinzani ni Freeman Mbowe, Prof Lipumba au Maalimu Seif , Tena Dk Magufuli anaamini eti ataumaliza upinzani hizi ni ndoto tena za mchana kweupe tena huotwa na wapuuzi tu.
Wenye fikra za upinzani wako CCM, JWTZ, TISS, MT, PT, hata Ikulu ya Tanzania wapinzani wako, wako kwenye kila idara ya serikali.
Nawala si ajabu kuna watu wako CHADEMA, CUF ,ACT-Wazalendo ila hawana fikra za Upinzani.
Kwa taarifa tu tangu Dk Magufuli aingie madarakani idadi ya watu wenye mawazo pinzani imeongeza maradufu , Maana yake upinzani umekua Tanzania bara na Visiwani.
Upinzani sio kadi za chama,wala magwanda ya kaki bali ni fikra“Ideology” Mtu anayetaka kuondoa fikra pinzani kamwe hawezi kufanikiwa kwa kumfunga Godbless Lema (Mb) wala Peter Lijualikali(Mb) wala kwa mzuia Mzee Edward Lowassa kufanya mikutano .
BAJETI YETU (Master Budget) INAWEZA KUENDESHWA KWA PATO LA NDANI:
Bajeti iliyopita ya Dk Magufuli ndio bajeti mbaya tangu kuumbwa kwa Tanzania , Takwimu zinaonesha kati Trioni 29.5 zilizopangwa kutumika kama financial budget ya mwaka 2016/2017 ni asilimia 36.4% ilipatikana huku kwenye maendeleo ni 33% pekee ndio ilitekelezeka huku pato letu likiwa ni Trioni 12.24 sawa na 40.31% pekee.
Cha ajabu tena mwaka huu ametenga kwenye hakuna kiprolata Tsh 31.6 yaani Tr 32, Huku fedha za ndani ikiwa ni zaidi ya Tr 19 kitu ambacho hakipo na hakiwezekani . Huku akiendeleza kuagusha uchumi wetu kwa kukopa ndani zaidi ya tr 6 nakufanya deni la ndani kukaribia Tr 20. Magufuli sioni future ya hii serikali, Hapa najua wanauchumi mtanielewa vizuri.
Lazima tuwapigie magoti wazungu watusaidie na sisi tuimarishe democrasia inchini.
WATANZANIA WA SASA SI WALE WA ENZI ZA MWL JULIUS NYERERE NA MZEE
MFAUME RASHIDI KAWAWA:
Watanzania hawa si wala wa enzi zile, lazima kama kiongozi usome alama za nyakati , Fanyia kazi mambo haya;
a) Swala la mkuu wa mkoa wa Dar-es saalam
b) Hali ngumu ya maisha kwa wananchi
c) Acha vyama vya siasa vifanye shughuli zao
d) Acha misigano na wazungu
“Msemakweli ni Mpenzi wa Mungu”
Tanzania is the only country we have