Dkt. Leonard Chamuriho ni nani?

Achaneni na ujinga wa habari za upotoshaji za mitandaoni nyie watu, yaani najiuliza huyo mnaye danganyana eti anaumwa sana siku mnamuona akiwa fiti sijui mtaficha wapi sura zenu na hao wapotoshaji wenu wa twita yaan nyie sijui kwakweli.
Atakuwa amepona
 
How sure you are? What if he created all this saga to prove you guys like gossiping?
You cant play with corona if you have heart problems . No one ever survived
 
Chamurinho pia inadaiwa walikuwa pamoja na jiwe UDSM wakati wakati wote wakifanya Bachelor Degree.
Ni kweli; lakini siyo kuwa walikuwa marafiki. Zaidi ya Chamuriho, wengine waliongia kwenye siasa ni pamoja na Charles Kitwanga (Mathematics and Computer Science), Charles Kadege (Education)- huyu alikuwa DC sehemu fulani, Joseph Nyamuhanga (Civil Engineering)- Katibu Mkuu wa wizara fulani, Deusdedit Kakoko (Civil Engineering)- Bandari sasa, Irene Isaka (Economics) -Huyu alikuwa CEO wa mfuko fulani wa jamii, Lawrence Marsha (Sheria) na wengine kadhaa, lakini hawakuwa marafiki; ni kazi zimewakutanisha tu.
 
Huyo huyo mkuu..pole sana
 
Mseto wamenipa juz alhamis.
Yes dk amesema ni combination nzr..thnks friend
 
Shkamoo Jf
 
Inategemea na unaweza ona kuna ambao wanakuwa na Corona hata dalili hawana. Siyo automatic kuwa kwa vile kapata Corona basi atapata Permanent damage. Yes yupo kwenye risk. But as for now the man is coming back. Tujiandae kwa vichambo.
Ukiumwa Ile stage ya critical hata ukipona inachukua muda afya kukaa sawa. Kwa hiyo inategemea umeumwa vipi
 
Hawa Watanzania wa mitandaoni?! Tena hata mitandaoni ni wachache tu. Mtandaoni kuna sehemu ndogo sana ya Watanzania. Tena wale wale saa hii wako Twitter baadae wako jf etc
 
T
Thubutu yako haonekani ng'o kesho ? Thubutu .
 
Reactions: BAK
Kuna huyu Mtanzania anaitwa Dr. Leonard Chamuriho, huyu ni nani hasa katika historia ya Tanzania?

Nini mafanikio yake katika utumishi wa Tanzania? Naomba tumjadili kwa pamoja hapa free media JF
Mwalimu wa engineering chuo kikuu cha Dar Es Salaam. Civil Engineering. Very hard working and loyal to the cause he believes. And very intelligent upstairs
 

Hard working guy. Ila sio mwanasiasa hata kidogo. Ni mtendaji zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…