Dkt. Leonard Chamuriho ni nani?

Kuna huyu mtanzania anaitwa Dr. Leonard Chamuriho, huyu ni nani hasa katika historia ya Tanzania?

Nini mafanikio yake katika utumishi wa Tanzania? Naomba

Nina asilimia 100 news ta ukweli. The man is bouncing back.
Jumatano tarehe 10/3/2021 nikiwa kazini nilijisikia msukumo mkubwa ndani ya moyo na sauti ikisema: nenda haraka kaombe kwa ajili ya afya ya rais JPM. Nikajifungia ofisini nikatii agizo. Ninamwamini Mungu, mtenda miujiza!
 
Mie leo nna15dys .lakini mbav bado zinabana..na nna dawa za mwez mzima..inachosha balaa
Pole sana. Walikupa mseto wa kutibu malaria? Kuna jamaa mmoja aliugua, dalili za covid 100%, wakamwandikia mseto za kumeza mpaka nikamwonea huruma. Ameshapona sasa hivi lakini. Huyo dr alisema eti zinasaidia. Tatizo la nchi yetu ni kuwa hakuna mwongozo wowote kuhusu namna ya kutibu huu ugnjwa. Kila dr anatumia maarifa yake. Nchi nyingine wana-update mwongozo kila baada ya muda na dr wanashea uzoefu.
 
Hao ambao wana corona hawana dalili wengi wao Marekani ndiyo wanagunduliwa kwamba brain zao zimekuwa negatively affected lakini kwa sasa bado uchunguzi unaendelea. Kichambo na sisi tutarudisha mapigo kwa mtindo mmoja.
Inategemea na unaweza ona kuna ambao wanakuwa na Corona hata dalili hawana. Siyo automatic kuwa kwa vile kapata Corona basi atapata Permanent damage. Yes yupo kwenye risk. But as for now the man is coming back. Tujiandae kwa vichambo.
 
Kinachonishangaza sana ni kuwaona watu wakidiskas issues as if wanajua in and out, halafu all of a sudden wanadai mbona hatuambiwi kulikoni!??? Shame on you all mnaomwombea Rais mabaya!!!
Sawa
 
Kesho mtamuona mzee wetu kanisani akiwa na afya tele!! Mnalishwa matango pori yatawaumiza myoyo baadae!!

Nimejaribu kupitia story toka mwanzo naona nizakuunga unga tu!!

Ilianza nairobi
Ikaja india
Ikaja hajaondoka yuko dar
Ikaja mzena


Maneno meeengi bila ushaidi!! Kesho mnaumbuliwa!!!
 
Jumatano tarehe 10/3/2021 nikiwa kazini nilijisikia msukumo mkubwa ndani ya moyo na sauti ikisema: nenda haraka kaombe kwa ajili ya afya ya rais JPM. Nikajifungia ofisini nikatii agizo. Ninamwamini Mungu, mtenda miujiza!
Safi sana
 
Imani ni bora kuliko dini
 
Tomorrow never comes , the guy is no more for sure
 
Ulichosema ni kweli mkuu..mie iliniaafect kbs brain..nilikua nawaza kwa muda mrefu mno ndo nijibu..kifupi mm.nilikua nawehuka kbs sasa sipatii picha yeye
Hii kitu ni ovyo kabisa.

Mimi sina uhakika kama ilikuwa hiyo au kitu kingine. Nilipigwa homa kali. Koo kuwashwa, homa kali, kichwa, viungo kuuma, kizunguzumgu kikali ambacho nilikuwa sijawahi kushuhudia. Sasa nipo kazini lakini kuna muda nasikia kichomi upande wa kushoto mwa kifua. Sijui ni madhara yaliyosababishwa au ni tatizo jimhine. Na hapa ndiyo naona ubaya wa kuzuia watu kupimwa. Unabakia unahisi tu!

Lakini kwa ujumla, mwili upo fit kabisa. Hata wakati wa kuugua, hakuna kitu kiliniumiza kama kizunguzungu - maana siku kama 3 hivi, ilishindikana kabisa kutembea kwa kujitegemea.
 
We mwenyewe upo ambivalent
 
Akisha ruhusiwa na madaktari, wasaidizi wake wmamwonyeshe mambo yaliyokua yanaongelewa na watanzania.

Anaweza jirekebisha

Kwa mimi ukiacha upande wake ule mbaya wa kuonea watu na kuto kuwa na ubinadamu , kwenye swala la usimamizi wa kazi yupo poa sana, hata nawaza huyu mzee asipo kuwepo yamkini kuna miradi itadorora.


Mungu amsaidie huko aliko, awe na afya njema.
Lakini mzee aache roho mbaya mpaka anatuweka majaribuni kutaka iwe hivyohivyo kama wanavyotabiri,mzee badirika acha ubabe na wewe ulizaliwa na utakufa siku moja kama wanadamu wengine khaaa.
 
Sidhani kama ni corona, itakua kama ile issue ya ruangwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…