Dkt. Leonard Chamuriho ni nani?

Corona inaharibu mapafu, brain na moyo. Huyo moyo wake tayari ulikuwa una hitilafu kubwa hivyo hata kama hajafa kurudi tena madarakani inawezekana ikawa ni kwa ubishi tu but health wise he’ll be UNFIT to remain in SH.
Upo sawa mkuu, nilisha pata huo ugonjwa bahati nzuri haukunichukua sana, lakini kama ukikukamata vizuri kisha oxgeni mwilini mwako ikishuka below 77% kitu cha kwanza kuathirika mwilini mwako ni ubongo, kwa hapa ulaya madakitari wanacho fanya ni kukulaza usingizini yaani coma na kukuweka ICU na kuendelea kukutibu ukipona hauta kuwa 100% fit, na utakuwa na athali za kiafya na mentali maisha yako yote.
 
Ugonjwa unatisha sana ila hizi vaccines labda zitasaidia kuumaliza kabisa au kuupunguza nguvu kwa wale ambao watapata vaccination.
 
Kuna huyu mtanzania anaitwa Dr. Leonard Chamuriho, huyu ni nani hasa katika historia ya Tanzania?

Nini mafanikio yake katika utumishi wa Tanzania? Naomba tumjadili kwa pamoja hapa free media JF
One of " The midnight six"
 
Mbwa kala mbwa
 
Ooh ok sawa hapa sasa nimekupata vizuri mkuu BAK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…