Tanzania tumeandikiwa barua mpaka siku mbili kabla ya ndege kwenda South Africa, tukaambiwa ndege ikienda itashikiliwa.
Hapo huhitaji kazi kubwa ya Usalama wa Taifa.
Ni uzembe uliotukuka.
Kumbe taarifa/notisi ya mahakama ilishafika katika madawati ya wakubwa. Kuna mbuzi wa kafara ashapatikana!Tanzania tumeandikiwa barua mpaka siku mbili kabla ya ndege kwenda South Africa, tukaambiwa ndege ikienda itashikiliwa.
Hapo huhitaji kazi kubwa ya Usalama wa Taifa wala nini.
Ni uzembe uliotukuka.
Kwa hiyo TISS ya Kitine na Kombe haikuwa na hao vijana wa UVCCM?. Mabosi wa hao vijana wa CCM hawakuwa ni wana-CCM?.
Unao ujumbe mzuri na wenye kueleweka, umeharibu mwishoni ulipoamua kuingiza masuala ya kisiasa.
Hapo sasa ndiyo walipofeli. TISS ya ukweli ilipaswa kuwa imekwisha mfanyia 'operesheni' Bashite na angekuwa history kufika leo. Huyu Bashite ameibagaza sana Taasisi utadhani haina wataalamuIdara Kama CIA, Mossad,MI5, na FSB wangemzima Bashite bila Rais kujua,TISS haina magwiji wa ujasusi ni vilaza watupu wamejaa humo.
Enzi za Nyerere TISS, ilikuwa na magwiji wa ujasusi kupindukia
Dah wanyooshe fundi wangu ! 😅😅Nitafakari utapata jibu, wataishia kumpata mtu mwingine wakidhani ndo mimi
Hapo pa kumkamata Kigogo 2014 yule wa Twitter ni pagumu. Kwa taarifa anazo share kwenye twitter anaonekana kuwa Kigogo siyo mtu mmoja bali ni watu wengi wenye mamlaka na ambao ni wazalendo wa kweli ndani ya TISS.Kama mmeshindwa kumkamata kigogo hadi leo, jamaa anawatesa hadi najisikia aibu, sembuse iwe mleta mada.
Mtapoambiwa ukweli jaribuni kukubali.
Kabisa mkuu.Usichokijua ni bora tu kukaa kimya. Una uhakika gani kuwa hizi allegations zako TISS walikuwa hawazifahamu?
Una uhakika gani kuwa TISS hawakishauri lolote kabla ya haya kutokea?
Tanzania tuna bahati ya kuwa taasisi imara. Hata wewe wakiamua kudeploy resources na kukufikia usiku huu wanakupata.
Usiku mwema!!
Ndio itabidi wakamate mmoja wa miliki wa akaunti hiyo, kama mliweza kumkamata wa tanga giza why not kigogo2014?Hapo pa kumkamata Kigogo 2014 yule wa Twitter ni pagumu. Kwa taarifa anazo share kwenye twitter anaonekana kuwa Kigogo siyo mtu mmoja bali ni watu wengi wenye mamlaka na ambao ni wazalendo wa kweli ndani ya TISS.
Ukiaacha ile 'rogue group' niliyoiongelea kabla then kuna hiki kikundi cha waketeketwa kinachoitwa Kigogo 2014. Usijali nani ana miliki akaunti bali angalia taarifa wanazotoa na muda wanaotoa.
Kigogo siyo mtu mdogo wala mtu mmoja. Inawezekana hata mara nyingine wnaposema wanamsaka unaweza kukuta anayetamka kuwa wanamsaka naye ni member wa Kigogo
Kama una akaunti twitter utanielewa. Wale ambao akaunti zao zimewekwa tick wako verified unaweza ukawapata. Ambaye hayuko verified huwezi kumpata. Unapofungua akaunti Twitter wala haikudai uweke email yako kama inavyotaka FaceBook.Ndio itabidi wakamate mmoja wa miliki wa akaunti hiyo, kama mliweza kumkamata wa tanga giza why not kigogo2014?
Sasa hivi kuna vijana wadogo wakiangalia filamu na kusoma vitabu vya habari za ujasusi na intelijensia wanadhani wanajua hayo mambo kuliko wenye fani yao, kuliko waliofunzwa wakahitimu na kuutumia ujuzi wao huko 'field'.It seems some people who presume that they have read books and smart in administrations and investigative matters don’t know the work of TISS. I don’t see as to why you are castigating Dr Kipilima! Nchi kwa sasa inaingozwa vizuri sana kuliko vipindi wa awamu ya tatu na nne. Awamu hii ya tano mpaka sasa imefanya mengi na vyombo vyote vya usalama vinawajibika vizuri. Kumbuka Mwl Nyerere alituachia viwanda lukuki, alituachia mashirika ya umma yalikuwa yakiendeshwa vema, alituachia research institutes imara LAKINI yote/vyote vilifisidiwa!!!! Je kipindi hicho kulikuwa hakuna TISS ya kuishauri kuwa viongozi wa serikali walikuwa wanaingia mikataba ya kuuza nchi????? Leo hii, kipindi cha awamu ya tano, kwa sababu ya utendaji mzuri wa TISS Reli, Mawasiliano na mengine mengi yamerudishwa! Ninaimani pia nyumba walizojigawia zitarudishwa. Kwa hiyo hiyo maandishi yako ya kumlaumu Dr Kipilima au TISS ni akili za narrow minded people ambao hawaoni yanayofanywa na awamu ya tano! Mfano mzuri ilikuwaje pwani yote ya Tanzania pamoja na bandari ya Bagamoyo kuuzwa kwa China na Oman 2014 kwa kipindi cha miaka 200!!!! Kama siyo TISS ya Kipilima Rais Dr Magufuli angalijuaje? Wajerumani walitutawala kwa miaka 40, Waingereza miaka 30 na sasa 2014 viongozi wazawa walidiriki kutukabidhi kwa Oman/China kwa miaka karibu 200!!!!!
Movie za kiintelijensia zimewapoteza vijana wengi, hawajui watanzania wanalala usingizi mzuri 24/7 hawajui vijana wako makazini kuhakikisha nchi yetu inakuwa na amani iliyonayo leo hii.Sasa hivi kuna vijana wadogo wakiangalia filamu na kusoma vitabu vya habari za ujasusi na intelijensia wanadhani wanajua hayo mambo kuliko wenye fani yao, kuliko waliofunzwa wakahitimu na kuutumia ujuzi wao huko 'field'.
Ujuaji mwingi huku hali halisi hawajui kitu. Wakisoma au kuona jujuu tu yaliyo chujwa(filtered) basi wanadhani wamejua kila kitu.
Shame on you,don't think all days are MondayUngeendelea na hiyo kazi yako ya kuchafua serikali na taasisi zake. Mkurugenzi wa TISS atakuwa mtu wa mwisho kabisa kupokea lawama na kuwajibika, in fact Dr. Kipilimba anafanya kazi kutokana na mabadiliko makubwa ya kisiasa, kiuchumi na uongozi wa awamu ya tano.
It seems some people who presume that they have read books and smart in administrations and investigative matters don’t know the work of TISS. I don’t see as to why you are castigating Dr Kipilima! Nchi kwa sasa inaingozwa vizuri sana kuliko vipindi wa awamu ya tatu na nne. Awamu hii ya tano mpaka sasa imefanya mengi na vyombo vyote vya usalama vinawajibika vizuri. Kumbuka Mwl Nyerere alituachia viwanda lukuki, alituachia mashirika ya umma yalikuwa yakiendeshwa vema, alituachia research institutes imara LAKINI yote/vyote vilifisidiwa!!!! Je kipindi hicho kulikuwa hakuna TISS ya kuishauri kuwa viongozi wa serikali walikuwa wanaingia mikataba ya kuuza nchi????? Leo hii, kipindi cha awamu ya tano, kwa sababu ya utendaji mzuri wa TISS Reli, Mawasiliano na mengine mengi yamerudishwa! Ninaimani pia nyumba walizojigawia zitarudishwa. Kwa hiyo hiyo maandishi yako ya kumlaumu Dr Kipilima au TISS ni akili za narrow minded people ambao hawaoni yanayofanywa na awamu ya tano! Mfano mzuri ilikuwaje pwani yote ya Tanzania pamoja na bandari ya Bagamoyo kuuzwa kwa China na Oman 2014 kwa kipindi cha miaka 200!!!! Kama siyo TISS ya Kipilima Rais Dr Magufuli angalijuaje? Wajerumani walitutawala kwa miaka 40, Waingereza miaka 30 na sasa 2014 viongozi wazawa walidiriki kutukabidhi kwa Oman/China kwa miaka karibu 200!!!!!
Hizo zilikuwa enzi za ujima!Uimara wao uko hapo na huishia hapo tu kumtafuta pythagoras na kumtesa na kumteka.
shame on them.
Sisi uvccm tule wapiDah umeandika uzi wa kutoka moyoni mwangu kabisa.
Sio siri TISS wanatuangusha sana watanzania nimewai kueleza huko nyuma kuwa TISS ipo kisiasa zaidi kuliko kiuchumi.
Kama Magufuli anataka kweli nchi ya viwanda wauangalie mfumo wote wa hiyo I Dara, ila kama anatamani yeye au CCM yake mpya kutawala milele waiache ilivyo, lla kwa maoni yangu TISS ifumuliwe na kuundwa upya.
Kibaya zaidi wanadhani wanajua recruitment and grooming ya watu wa idara inafanyika vipi.Movie za kiintelijensia zimewapoteza vijana wengi, hawajui watanzania wanalala usingizi mzuri 24/7 hawajui vijana wako makazini kuhakikisha nchi yetu inakuwa na amani iliyonayo leo hii.
Ubarikiwe sana kuna mambo mengine inabidi ukae kimya tu siku ziende, kwa kuwaibia sasa hivi vijana wako vizuri mno tofouti na miaka ya nyuma.Kibaya zaidi wanadhani wanajua recruitment and grooming ya watu wa idara inafanyika vipi.
Huenda wamekaririshwa na watu waliopitia idara zamani. Kwani hawaoni mabadiliko ya recruitment process hata idara za kawaida za serikali haipo kama zamani?
Kama kuajiri mtu wa kada za kawaida kumeboreshwa sasa serikali au idara ya usalama wa taifa itakuwa wazembe kiasi gani kutofanya mabadiliko na kuendelea kutumia njia za zamani zisizo bora na kisasa?
Ina maana huko idarani na serikali kuna watu wasiojua kitu au hawana akili na yeye huku mtaani ndio ana akili nyingi sana kuliko wote waliopo serikalini?
Anataka waje hapa kutoa ufafanuzi junsi wanavyo ajiri, walivyo chukua hatua mbalimbali kwenye matukio tofauti? Sasa hiyo itakuwa idara ya usalama wa taifa au kitengo cha uebezi cha chama au cha serikali?!!!
Tuwaache hawa watu wafanye kazi zao na tushukuru kwa kazi zao tunapata muda wa kutafuta pesa ya bundle na kuwatukana mitandaoni.