Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!

Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!

Kazi ya TISS sio kuangalia ndege bali ni kuangalia Usalama wa nchi kwa ujumla.
Tatizo vitu vidogo tunavikuza kana kwamba vina umuhimu kuliko Watanzania zaidi ya 50Million.
Ndege imekamatwa kama bond ya fidia/deni la zamani enzi ya uhujumu uchumi na utafishaji,sasa inahusiana vipi na TISS.?
Kama yapo madeni yanayohitajika kulipwa walipwe, na sisi kama Taifa kama tunadai mahala nasi tulipwe ili tuendelee kuwalipa wanao/watakao tudai.
 
Mkuu huyu msiba ni TISS na Kipilimba ndio anamtuma

Cyprian Musiba siyo TISS na wala DG Kipilimba hamtumi ila yupo Mtu muhimu nchini Tanzania kwa Kushirikiana na Mwanae Mmoja Kiongozi Mpumbavu fulani kwa Kushirikiana na Watendaji wa Idara wasio na Maadili ndiyo wanamtumia Cyprian Musiba huku wakimlinda na kumjaza Kiburi. Kwa sasa huyu Cyprian Musiba anatumia huu mwanya wa kuwa karibu na hao Watu wawili ( ambao kwa sasa wanadhani kuwa Tanzania yote ni Mali yao kama Ng'ombe zao ) walizoziacha huko Vijijini Kwao na Kuwatishia Watu kuwa nae ni mwana Usalama wa Taifa na bahati mbaya wapo Watu wanaoamini kuwa Yeye ni mwana Idara ( TISS ) wakati wala hayupo huko na hana hata Sifa mojawapo ya kuwa mwana TISS. Nasisitiza tena Cyprian Musiba siyo mwana TISS. Tatizo kubwa DG Kipilimba ni Kukubali Kutumiwa na Wanasiasa hasa wa Chama Kimoja kwa Maslahi yao huku akijua kabisa kuwa ni Kinyume na taratibu za Kanuni Kuu ya hiyo Idara Nyeti na Muhimu katika nchi. Mtamlaumu sana DG Kipilimba ila ukweli ni kwamba walishamtega katika Tego lao na Yeye kwakuwa hana Ukomavu kivile wa Ujasusi ( zaidi ya ule wa mambo ya IT ) pekee nae akauvagaa huo Mtego na sasa wanamtumia wanavyotaka.
 
Mkuu asante sana kwa hili, ila kwa sasa na vile tiss ya leo iko huwezi ilinganisha hata kidogo na mabigwa kaa CIA, M15, au the dreaded and most feared spy agency in the world, the israel MOSSAD.

Hapo miaka ya nyuma, TISS ilikuwa imara kabisa, hata huko Kenya tiss ilikuwa inaheshimiwa kabisa, lakini TISS ya leo imejaa wanafiki wa UVCCM, na wewe unajionea vile mambo inakwenda.

Hii TISS ya leo imekuwa kazi yake ni kuteka na kuua, haswa wapizani au watu ambao CCM haiwataki, kumbuka Zachariah kule Mara mkuu?

Hii tiss ya leo ni A BRANCH OF CCM PERIOD,
Acheni siasa na mihemko.

Imani yangu kwa idara ni kubwa mno.
Lakini ukweli ni kuwa haijawahi kuwa imara au mahiri kuliko Mossad au CIA au MI6, tuwe wakweli tushauri ukweli tuache kupotosha.

Huyo Kaburu hayupo peke yake ktk kuratibu na kutekeleza hili tukio, kama umesoma ile email kwenda kwa Kabudi basi utajua Steyn nae alikuwa anapewa 'intel' na watu flani wenye kuweza kupata taarifa nyeti za yanayoendelea chini ya zuria ndani ya serikali.

Kaburu ana tentacles nyingi na ndefu kuweza kufanya aliyofanya. Kuna sponsor wake nyuma ya pazia.
 
Kwa mara ya tatu tena nakuandikia Mzee wangu Dr Modestus Kipilimba, mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama wa taifa, TISS.

Natamani sana, Rais Magufuli awe wa kwanza kusoma hii mada kabla yako.

Nimeshindwa kuendelea na kazi niliyokuwa naifanya usiku huu kwenye Computer, moyo wangu umekosa amani kabisa hadi niandike hii mada.

Dr. Kipilimba, unadhani bado unastahili kuongoza Idara nyeti na muhimu Kama hii ya TISS?

Kwanini mikononi mwako serikali ya awamu ya tano inadhalilika sana kimataifa?

Kwanini Idara yako imeruhusu uwepo wa watu Kama Musiba wanaokashifu viongozi wakubwa hadharani?

Sikufundishi kazi, ila nashangaa kwanini hujui kuwa idara kama TISS ndo Roho kamili ya Tanzania.

Kifo cha TISS ni kifo cha Tanzania, kwanini hujifunzi magumashi ya CIA, MI5, Mossad na mashirika mengineyo kama TISS?

Ninaposema magumashi nadhani umeelewa vizuri kabisa, maana nikielezea itahitaji kitabu.

Uimara wa TISS ndo Uimara wa Tanzania, na udhaifu wa TISS ndo udhaifu wa Tanzania.

Tunajua ya kwamba dawa ya Deni ni kulipa, lakini ilikuwaje TISS ikashindwa kubaini kuwa Steyn kafungua shauri mahakamani dhidi ya Tanzania kudai mali yoyote ya nchi ikamatwe?

TISS ingeitaarifu serikali basi, ndege isingeenda SA, na hivyo wangetafuta namna nyingine ya ku-solve tatizo.

Ni aibu kubwa mno nchi kudaiwa na raia mmoja Halafu mali ya nchi kukamatwa kwa Deni nje ya nchi, hii fedheha kubwa.

TISS mngeweza kuepusha hii fedheha. Kama TISS, ilishindwa kubaini njama za kutaifisha mali ya nchi, je itaweza kujua nini kinapangwa Somalia na Alshabab kwa mfano juu ya nchi?

Dr Kipilimba, TISS chini yako ni dhaifu mno, nakushauri u resign tu. TISS chini ya Dr Hansy Kitine na hayati Imran Kombe ilikuwa imara kupindukia.

Nakumbuka Tukio moja (siwezi kulitaja) nilikuja kushtuka mission accomplished muda mrefu kumbe yule jamaa alikuwa TISS na akapotea kama jini.

TISS ya leo imejaa vijana wa UVCCM, wasiojua lolote kuhusu intelligence wala miiko yake. Idara hii imegeuzwa kuwa ya kisiasa ili CCM itimize ndoto zake za alinacha za kutawala milele. Inashangaza sana, yaani Idara haikuweza hata kuzuia maandamano ya kuharibu Diplomasia yetu na SA.

Watumishi wa Idara hii wanatakiwa wawe wafia nchi (wazalendo kweli kweli) siyo wafia CCM au CHADEMA.

CCM itakufa, CHADEMA itakufa, lakiniTanzania ipo tu!

Sikupenda nitoe comment kwenye uzi huu lakini naona ni vema mambo kadhaa yawekwe wazi...unajuaje kuwa TISS hawakujua lolote kuhusu huyo mzungu wa Afrika Kusini? Halafu kwa ushahidi upi kwamba TISS imejaa UV-CCM na kwamba eti TISS imegeuzwa kuwa ya kisiasa kwa faida ya CCM?? Allegations za aina hii ni very serious you have to substantiate with facts...Of course TISS wanaweza wakawa na mapungufu yao kama taasisi lakini tuwe na uhakika wa kile tunachosema au kuandika dhidi ya taasisi hiyo...tusiropoke tu na kuipakazia mambo mbalimbali...
 
Kwa mara ya tatu tena nakuandikia Mzee wangu Dr Modestus Kipilimba, mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama wa taifa, TISS.

Natamani sana, Rais Magufuli awe wa kwanza kusoma hii mada kabla yako.

Nimeshindwa kuendelea na kazi niliyokuwa naifanya usiku huu kwenye Computer, moyo wangu umekosa amani kabisa hadi niandike hii mada.

Dr. Kipilimba, unadhani bado unastahili kuongoza Idara nyeti na muhimu Kama hii ya TISS?

Kwanini mikononi mwako serikali ya awamu ya tano inadhalilika sana kimataifa?

Kwanini Idara yako imeruhusu uwepo wa watu Kama Musiba wanaokashifu viongozi wakubwa hadharani?

Sikufundishi kazi, ila nashangaa kwanini hujui kuwa idara kama TISS ndo Roho kamili ya Tanzania.

Kifo cha TISS ni kifo cha Tanzania, kwanini hujifunzi magumashi ya CIA, MI5, Mossad na mashirika mengineyo kama TISS?

Ninaposema magumashi nadhani umeelewa vizuri kabisa, maana nikielezea itahitaji kitabu.

Uimara wa TISS ndo Uimara wa Tanzania, na udhaifu wa TISS ndo udhaifu wa Tanzania.

Tunajua ya kwamba dawa ya Deni ni kulipa, lakini ilikuwaje TISS ikashindwa kubaini kuwa Steyn kafungua shauri mahakamani dhidi ya Tanzania kudai mali yoyote ya nchi ikamatwe?

TISS ingeitaarifu serikali basi, ndege isingeenda SA, na hivyo wangetafuta namna nyingine ya ku-solve tatizo.

Ni aibu kubwa mno nchi kudaiwa na raia mmoja Halafu mali ya nchi kukamatwa kwa Deni nje ya nchi, hii fedheha kubwa.

TISS mngeweza kuepusha hii fedheha. Kama TISS, ilishindwa kubaini njama za kutaifisha mali ya nchi, je itaweza kujua nini kinapangwa Somalia na Alshabab kwa mfano juu ya nchi?

Dr Kipilimba, TISS chini yako ni dhaifu mno, nakushauri u resign tu. TISS chini ya Dr Hansy Kitine na hayati Imran Kombe ilikuwa imara kupindukia.

Nakumbuka Tukio moja (siwezi kulitaja) nilikuja kushtuka mission accomplished muda mrefu kumbe yule jamaa alikuwa TISS na akapotea kama jini.

TISS ya leo imejaa vijana wa UVCCM, wasiojua lolote kuhusu intelligence wala miiko yake. Idara hii imegeuzwa kuwa ya kisiasa ili CCM itimize ndoto zake za alinacha za kutawala milele. Inashangaza sana, yaani Idara haikuweza hata kuzuia maandamano ya kuharibu Diplomasia yetu na SA.

Watumishi wa Idara hii wanatakiwa wawe wafia nchi (wazalendo kweli kweli) siyo wafia CCM au CHADEMA.

CCM itakufa, CHADEMA itakufa, lakiniTanzania ipo tu!
admin futa huu uzi, nakuomba, huyu ni mpinzani aliyeandika.
hii idara iachwe, haijadiliwi hadharani, huyu Kipilimba ana weledi uliotukuka, tumwache.
 
Au wewe ndie Kitine mwenyewe umeamua kumfundisha/kumkumbusha kijana majukumu yake dhidi ya nchi yake na sio ccm? Hongera sana mkuu
 
Akili za awamu ya tano ndio zimegotea hapo wala usijiulize zaidi ndugu, jiwe anafikiri nguvu anayoitumia dhidi ya vyama vya upinzani nchini basi anaweza kulazimisha jambo kupitia nguvu badala ya haki.
Yaani muandamanaji mmoja amebeba bango eti Nyie Wasauzi tuliwasaidia kuwashinda makaburu duh!

Sasa ina maana kama uliisaidia nchi kupata uhuru ndo uingilie utaratibu wake wa kujiendesha kama taifa huru?
 
Kwa mara ya tatu tena nakuandikia Mzee wangu Dr Modestus Kipilimba, mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama wa taifa, TISS.

Natamani sana, Rais Magufuli awe wa kwanza kusoma hii mada kabla yako.

Nimeshindwa kuendelea na kazi niliyokuwa naifanya usiku huu kwenye Computer, moyo wangu umekosa amani kabisa hadi niandike hii mada.

Dr. Kipilimba, unadhani bado unastahili kuongoza Idara nyeti na muhimu Kama hii ya TISS?

Kwanini mikononi mwako serikali ya awamu ya tano inadhalilika sana kimataifa?

Kwanini Idara yako imeruhusu uwepo wa watu Kama Musiba wanaokashifu viongozi wakubwa hadharani?

Sikufundishi kazi, ila nashangaa kwanini hujui kuwa idara kama TISS ndo Roho kamili ya Tanzania.

Kifo cha TISS ni kifo cha Tanzania, kwanini hujifunzi magumashi ya CIA, MI5, Mossad na mashirika mengineyo kama TISS?

Ninaposema magumashi nadhani umeelewa vizuri kabisa, maana nikielezea itahitaji kitabu.

Uimara wa TISS ndo Uimara wa Tanzania, na udhaifu wa TISS ndo udhaifu wa Tanzania.

Tunajua ya kwamba dawa ya Deni ni kulipa, lakini ilikuwaje TISS ikashindwa kubaini kuwa Steyn kafungua shauri mahakamani dhidi ya Tanzania kudai mali yoyote ya nchi ikamatwe?

TISS ingeitaarifu serikali basi, ndege isingeenda SA, na hivyo wangetafuta namna nyingine ya ku-solve tatizo.

Ni aibu kubwa mno nchi kudaiwa na raia mmoja Halafu mali ya nchi kukamatwa kwa Deni nje ya nchi, hii fedheha kubwa.

TISS mngeweza kuepusha hii fedheha. Kama TISS, ilishindwa kubaini njama za kutaifisha mali ya nchi, je itaweza kujua nini kinapangwa Somalia na Alshabab kwa mfano juu ya nchi?

Dr Kipilimba, TISS chini yako ni dhaifu mno, nakushauri u resign tu. TISS chini ya Dr Hansy Kitine na hayati Imran Kombe ilikuwa imara kupindukia.

Nakumbuka Tukio moja (siwezi kulitaja) nilikuja kushtuka mission accomplished muda mrefu kumbe yule jamaa alikuwa TISS na akapotea kama jini.

TISS ya leo imejaa vijana wa UVCCM, wasiojua lolote kuhusu intelligence wala miiko yake. Idara hii imegeuzwa kuwa ya kisiasa ili CCM itimize ndoto zake za alinacha za kutawala milele. Inashangaza sana, yaani Idara haikuweza hata kuzuia maandamano ya kuharibu Diplomasia yetu na SA.

Watumishi wa Idara hii wanatakiwa wawe wafia nchi (wazalendo kweli kweli) siyo wafia CCM au CHADEMA.

CCM itakufa, CHADEMA itakufa, lakiniTanzania ipo tu!

It seems some people who presume that they have read books and smart in administrations and investigative matters don’t know the work of TISS. I don’t see as to why you are castigating Dr Kipilima! Nchi kwa sasa inaingozwa vizuri sana kuliko vipindi wa awamu ya tatu na nne. Awamu hii ya tano mpaka sasa imefanya mengi na vyombo vyote vya usalama vinawajibika vizuri. Kumbuka Mwl Nyerere alituachia viwanda lukuki, alituachia mashirika ya umma yalikuwa yakiendeshwa vema, alituachia research institutes imara LAKINI yote/vyote vilifisidiwa!!!! Je kipindi hicho kulikuwa hakuna TISS ya kuishauri kuwa viongozi wa serikali walikuwa wanaingia mikataba ya kuuza nchi????? Leo hii, kipindi cha awamu ya tano, kwa sababu ya utendaji mzuri wa TISS Reli, Mawasiliano na mengine mengi yamerudishwa! Ninaimani pia nyumba walizojigawia zitarudishwa. Kwa hiyo hiyo maandishi yako ya kumlaumu Dr Kipilima au TISS ni akili za narrow minded people ambao hawaoni yanayofanywa na awamu ya tano! Mfano mzuri ilikuwaje pwani yote ya Tanzania pamoja na bandari ya Bagamoyo kuuzwa kwa China na Oman 2014 kwa kipindi cha miaka 200!!!! Kama siyo TISS ya Kipilima Rais Dr Magufuli angalijuaje? Wajerumani walitutawala kwa miaka 40, Waingereza miaka 30 na sasa 2014 viongozi wazawa walidiriki kutukabidhi kwa Oman/China kwa miaka karibu 200!!!!!
 
Rudia tena kusoma mada upya, Usilete tabia za ki CCM hapa
 
Umeandika na Kuelezea vizuri mno Kiongozi na nitashangaa kama siyo kusikitika wasipokuelewa na Wahusika kufanyia Kazi. Hauko mbali na ukweli kuwa TISS sasa kuna Mapungufu makubwa hasa ya Kiutendaji japo kuna lawama zingine za chini chini ambazo nahisi nazo zinaweza kuwa ni sehemu ya Utendaji wao usioridhisha wa sasa kwamba huyo Boss Wao Mkuu hakuandaliwa kuwa hapo, hana Uwezo thabiri wa kuwa DG na kwamba wale ambao Idara iliwaandaa Amiri Jeshi Mkuu alipopelekewa Majina yao aliwadharau akidhani kuwa walikuwa ni Watu wa Mstaafu ( aliyemwachia Kijiti ) huku wengine akiwachukia kwakuwa alipewa taarifa za Kiumbea kuwa hawakuwa upande wake katika Harakati zake za kuwa hapo alipo sasa na kwamba walikuwa ' Loyal ' kwa Mzee Mamvi.

Hoja yako kuwa Vijana wa TISS wa sasa wengi Wao ni kutoka ndani ya CCM naweza kukubaliana nalo kwa 95% kwani wapo ambao wanajulikana kuwa walikuwa ni Makada Watiifu wa hicho Chama na sasa nao ni sehemu ya TISS na walipo wa hovyo hovyo hata wakikaa Vijiweni hawajui Kujificha na hupenda ama Kuropoka na Kujisifia kitu ambacho kwa hiyo Tasnia ni HATARI mno.

Misingi Mikuu ya Kuajiri Vijana ambao ulikuwepo nadhani tangia awamu ya Kwanza hadi ya Tatu imekiukwa kabisa na kwa taarifa yako tu Kiongozi TISS ilianza Kuharibika katika Awamu ya Pili na ya Mwisho ya Kiongozi wa Awamu ya Nne na yanayoendelea sasa ( katika Awamu hii ya Tano ) ni muendelezo wake sema tu nao umekuwa ni Mtindo wake.

Bado sijalithibitisha hili ( bado nalifanyia utafiti wangu binafsi ) ila nasikia kuwa TISS ya sasa ukiachilia mbali ili uchukuliwe huko yakupasa Kwanza uwe ni mwana CCM kuna hii kwamba kwa sasa ili iwe rahisi kwa Wewe Kuajiriwa huko inabidi pia uwe unatokea Mikoa ya Kanda ya Ziwa au uwe karibu ya Kiongozi Mmoja wa Mkoa ambaye kwa sasa anatajwa kuwa ndiyo Mratibu Mkuu wa Kuwaingiza Watu huko TISS ambaye nimedokezwa kuwa huko nyuma alikuwa anaingia Makao Makuu yao anavyotaka ila baadae alidhibitiwa baada ya ' Swahiba ' wake ' Robie ' kuhamishiwa Mkoa Mmoja unaolima sana Tumbaku nchini Tanzania ambako pia alishushwa Cheo kutoka kile Kikubwa tu alichokuwa nacho TISS.

Kamwe usitegemee kuwa na TISS imara kama hizo za akina CIA, KGB / FSB au MOSSAD au MI5 na MI6 kama wanaoajiriwa wengi wao ni wale ambao Kwanza ni ' Failures ' katika ngazi za Kitaaluma, hawana Akili ( hasa za Kuzaliwa na siyo zile za Kufundishwa ) na wale ambao wameingizwa huko kwa Mgongo wa ama Baba, Mama, Mjomba, Hawara ( Ngono ) na hata kwa Kutoa Rushwa na ambao kwa bahati mbaya kwa sasa ndiyo wamejazana huko na ndiyo wanaichafua sana TISS Kiutendaji.

Nami naomba niishie tu hapa Kiongozi ila nimefurahi mno jinsi ulivyolileta na kuliezea hili vizuri kabisa. Hongera na Ubarikiwe.
Wakati twiga wanapanda ndege,dawa za kulevya zimetapakaa kila kona,bandarini madudu kibao ,wafanyakazi hewa,madini kutoroshwa hovyo,ndio kipindi hicho TISS ilikua imara?
Acheni upumbavu for nothing,mmeshikwa pabaya na bado
 
Back
Top Bottom