TANZIA Dkt. Isaac Ndodi afariki dunia

TANZIA Dkt. Isaac Ndodi afariki dunia

Katika mafundisho yake ya ndoa na malezi aliwahi kusema, Popote panapotafutwa haki lazima kuwe na vita.

Ukiona kwenye ndoa mke anasema kwa kuwa yeye ni mfanyakazi na mume ni mfanyakazi, wote wana digrii sawa, mshahara sawa nk, ana haki sawa na mume hivyo wote wapike, wafue nk, hapo tayari kuna vita.

Ukiona chama cha siasa kinasema kina haki fulani na kinaitaka, hapo kuna vita dhidi ya chama tawala. Kwa hiyo ukipambana kupata haki ujiandae na vita
Sasa unataka nilipe kodi ya nyumba na nguo nikufulie? Bro jishikilie
 
Aliyezinguliwa na HK ni Dr Mwaka.
Kigwanomics alimzingwa Mwaka make jamaa alikuja na pigo za kitapeli kuvaa zile ndude wanazotutishia madokta... kwa kusema "hema..." huku kakupachika nacho kifuani huku yeye anasikilizia masikioni.
Sasa mwaka alikuwa anazuga navyo hivyo huku kapigilia mawani na yale maguo meupe ukimuona utajua dr si ndo huyu sasa kumbe tapeli tu linajua kuchanganya majani ya papai mixer mbegu zake + majani ya milonge longe!

Anyway pumzika salama mzee ndodi umepiga pesa ndefu sana kwenye mafundisho na diagnosis zako!

Nakumbuka nilitimba ofsini kwako mwaka 2010 mwishoni nikiwa nampambania mzee wangu though ikawa hakuna namna mshua akaniaga!!
Nimekuelewa sana mkuu, nakupongeza sana kwa kumpambania Mshua hadi dakika za mwisho pia pole kwa Mzee kutangulia kifo hakizoeleki hasa kwa mtu wako wa karibu.
 
A discerning spirit, ukiwa makanisani hiyo roho hutumika vizuri kwa kumwombea huyo mtu, ikiashiria mtu huyo anakabiliwa na changamoto.
Ukiwa upande mwingine shetani anaitumia vibaya pia.So it depends uko channel gani kiroho.
Kule uliondoka??
 
Preshq ni hatari Sana.

Nakumbuka alifundisha kumeza punje ya kitunguu saumu kupunguza peshq na kula malimqo kutibu vidonda vya tumbo.
 
Nimekuelewa sana mkuu, nakupongeza sana kwa kumpambania Mshua hadi dakika za mwisho pia pole kwa Mzee kutangulia kifo hakizoeleki hasa kwa mtu wako wa karibu.
Dah... yaani mkuu acha tu!
Mshua alivuta kipindi mi nikiwa yankee ndo kwanza nipo kwenye ajira mwaka wa pili!
Kaondoka kaniachia mzigo mzito juu ya mabega yangu!
Just imagine kipindi hicho wadogo zangu baadhi wapo chuo wengine sec schools halafu mi ndo nilionekana kwake angalau ndo wakuja kumpiga tafu mzee kuhusu madogo ada na nini halafu ndo akatoweka yaani ghafla tuu!
Nilimpambania mshua nikakopa ofsini hela ikakata bado hajapona! Ile narudi job kusaka namna nyingine... Mshua nyuma akavuta!
Huyu Ndodi kameza hela yangu nyingi tu zaidi ya 1M. Wakati huo mshua yupo wodini public hosptl nao wananiletea mizinguo eti bill kubwa NHIF haiwezi cover! niliwacharukia baraa coz mshua alikuwa mtumishi mwandamizi toka miaka ya 70s huko mpaka 2010 kachangia parefu sana!
Dah! RIP Mshua it pains!
 
RIP NDODI , Mwaka 2011 nilienda pale Magomeni alikuwa amekodi ukumbi wa Hotel na sikupona kabisa Migraine (Kipanda uso ) pamoja na kuchukua 90,000 tangu kitapeli kabisa

Nikaja kupona kwa kutumia mafuta ya ABASODA tu, Jamaa alikuwa anaongea kama kameza CD.
 
Back
Top Bottom