Dkt. Doto Biteko amwakilisha Rais Samia Uwekwaji Wakfu Askofu mteule wa jimbo katoliki Iringa

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Askofu wa Mafinga, Mhashamu Vincent Mwagala wakati alipowasili katika Ibada ya kumsimika na kumuweka wakfu Askofu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali iliyofanyika katika Viwanja vya Kichangani, Mjini Iringa, Aprili 27, 2025.

Dkt. Biteko anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sherehe za kuwekwa wakfu Askofu Mteule, Romanus Elamu Mihali kuwa Askofu wa Jimbo la Kitume la Iringa.
snapins-ai_3619923244770115440.jpg
snapins-ai_3619923244727930560.jpg
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Askofu wa Mafinga, Mhashamu Vincent Mwagala wakati alipowasili katika Ibada ya kumsimika na kumuweka wakfu Askofu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali iliyofanyika katika Viwanja vya Kichangani, Mjini Iringa, Aprili 27, 2025.

Dkt. Biteko anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sherehe za kuwekwa wakfu Askofu Mteule, Romanus Elamu Mihali kuwa Askofu wa Jimbo la Kitume la Iringa.View attachment 3317494View attachment 3317495
Jitenge na waovu
 
Kwa nini inasemewa anamuwakilisha?

Kwa nini Biteko asiwe ndiye mgeni rasmi kabisa ??
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Askofu wa Mafinga, Mhashamu Vincent Mwagala wakati alipowasili katika Ibada ya kumsimika na kumuweka wakfu Askofu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali iliyofanyika katika Viwanja vya Kichangani, Mjini Iringa, Aprili 27, 2025.

Dkt. Biteko anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sherehe za kuwekwa wakfu Askofu Mteule, Romanus Elamu Mihali kuwa Askofu wa Jimbo la Kitume la Iringa.View attachment 3317494View attachment 3317495
Ameanza kususa...tutamuona akiombewa na ndugu zetu tarehe 10 mei
 
Kama ana majukumu mengine si wanamwalika mtu mwingine anayepatikana
Guys, nadhani ubishi mwingine haunaga maana yeyote, hili jambo la kutuma mwakilishi limeanza leo? Kwenye mikutano hata ya nje huko si inafanyikaga hivo hvo? Cha ajabu ni kipi hapa? Sio jambo jipya na wala Samia sio wa kwanza kufanya hivo. JPM for instance, lini kaenda nje ya nchi kwenye mkutano na marais wenzie? Hakuna, sio cha AU, UN or SADC sometimes even EAC mwamba alikua anatuma mtu, labda JK kwasababu alikua ni funny wa safari but hata yeye kuna wakati alikua ana delegate
 
  • Kicheko
Reactions: Lax

Huwa kuna vikao maalumu vya AU, UN, EAC na SADC ambavyo wakuu wa nchi wanatakiwa waahudhurie, vikao vya aina hiyo mkuu wa nchi anaposhindwa ndio inaleta mantiki kusema ametuma mwakilishi, hakuna vikao vya kanisa au msikiti ambavyo mkuu wa nchi au kiongozi yoyote wa serikali ana wajibu wa kuhudhuria kwa hiyo hakuna mantiki kusema ametumwa mwakilishi.
 
Waumini wakatoliki wa mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya wamepata furaha baada ya leo Mhashamu Romanus Elamu Mihali, Askofu wa Jimbo Katoliki Iringa ambaye leo amewekwa wakfu na kusimikwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo hilo.
1745757779026.jpg

Misa Takatifu imeadhimishwa na Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam katika Viwanja vya Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu Kihesa Jimbo Katoliki Iringa.

Hongera sana Mhashamu Romanus Elamu Mihali kawahudumie wanairinga.
 
kabisa mkuu, ila mi hua najiuliza lengo au umuhimu wa kumualika raisi ni upi?

hivi ule walaka wa TEC umepata majibu au kanusho lolote toka serikalini au hauna madhara
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Mbona mnajihusisha na dini alafu wao mnasema wanachanganya dini na siasa.
Kwani ukihudhuria wewe kama wewe kuna shida gani bila kumhusisha samia?
 
hivi ule walaka wa TEC umepata majibu au kanusho lolote toka serikalini au hauna madhara
TEC haina nguvu hiyo kama tunavyoaminishwa jukwaani mkuu --- ccm bado tupo nao kipundapunda hivi hivi --- mimi siwezi amini kama serikali ikawaheshimu tec mkuu --- sisi wananchi hatuheshimiki waje kuheshimiwa tec
 
Back
Top Bottom