Dkt. Bashiru Ally pole lakini maneno huumba

Daah! Hatimaye naye amefukuzwa kwenye bustani ya Eden. Naye kuanzia sasa atakuwa anawaonea tausi kwa mbaali
Tena kwa ruhusa...[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bashiru mwezi February alikuwa anaishi nyumba ya Katibu mkuu ccm, March akaamia nyumba ya Katibu kiongozi,
Sasa anahamia nyumbani kwake msesewe.
Utalii wa ndani [emoji1787][emoji1787][emoji2093][emoji2093]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani Dr aliwakosea nini? Haaa haaa kwahiyo Dr Bashiru ni jimbo la mama Samia na kina mdee jimbo la Ndugai haa haa haa maisha haya!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Msechu Kawaambia
Mwamba Wetu Imara Ona Amelala πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…